Serikali imeagizwa kulipa 441M kuwafariji familia wa shambulizi la Garissa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Serikali ya Kenya imeagizwa kulipa fidia ya shillingi milioni 441 kwa familia za wanafunzi 147 waliofariki katika shambulizi la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa. Familia ya kila mtu aliyefariki itapokea shilingi milioni 3, huku walionusurika wakipewa kiasi tofauti cha fidia.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 1