Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi ili wawe na uzima, mgonjwa ndiye anahitaji tabibu, mzima hana haja na tabibu. Chid benz abadilike kwa jina la yesu na kwa damu ya yesu aache yote yaliyoharibu maisha yake.
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia?? Acheni unafiki na kupotosha Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza.
Na kanisani watu wanashangilia 😭😭 Mwenyezi Mungu nakuomba sana uniepushe na ufakiri. Nipe maisha mazuri na uniepushe na maradhi. Mwenyezi Mungu niongozi mimi, familia yangu na watu wote wanaoamini uwepo wako. Njaa mbaya sana, inaweza kuyumbisha imani ya mtu anayekuamini..... 😭
Ila watu wengine mnamatatizo Sana aisee😂 we fikiria mtu mzima kama wewe unakuja kuomba Dua zako na za familia Yako kwenye post ya Millard ayo Tena public we mwenyewe fikiria kama uko sahihi dah😂
@@vincentcharles4385 Mwenyezi Mungu akulipe malipo yanayokustahiki kulingana na kosa ulilolitenda. Hauwezi kumtukana mzazi wangu nikakusamehe kirahisi. Mwenyezi Mungu namuomba akuoneshe madhara ya kuingilia mambo yasiyokuhusu. Hapa ni youtube sio kijiweni ulikozowea kutukanana na wahuni wenzio.
@@Oldskulgemini9991 ungekuwa na maarifa kidogo tu! Ungewakataza hata viongozi wa dini wasipost video za kuntaja Mungu mtandaoni maana kumejaa matangazo ya hovyo na video zinazomkashfu Mungu. Kwakuwa halali ni halali na haramu ni haramu mwenye maarifa anatambua nini ni nini!?.
Duh! Nabii ubarikiwe sana. Ungejua ambavyo waimbaji wa secular wana hamu sana na Mungu, na jinsi wanayo hamu ya kuingia kumwabudu ila wanaogopa wakristo kuwa-judge (Hata kama wapo na 'Dhambi') . Duh kweli wakristo tubadilike na tujue hatujaitwa kwa ajili ya waliokoka tayari, ila kwa bado walio gizani waone nuru na mwangaza na ambapo Nuru na Mwangaza ni Yesu Kristo Mfalme wa Wafalme. Alafu Chid kauwa vazi sana! Unyama! Kenya

Nabii au tapeli tu kama matapeli wengine, Nabii analindwa na mabaunsa kama Diamond na hata kumpa mkono sio rukhsa nabii gani huo wa mchongo dini ina mbwembwe hii hata unabii unajipa tu mwenyewe wazee wa madili mjini🤣
Kila mwanzo wa kuamini hua unaanza na tabia zako za asili, naamini hii ni hatua ya awali ya huyu chid kuanza kumtafuta Mungu, hakuna aliyeumbwa anamjua Mungu ila sote tulipokea injili tukiwa ni vituko kabisa vya watu, Sitaki kumuhukumu nabii maana sijamueka mimi aliko Na zaidi namuachia Mungu ndiye anajua ni kwanini kuna mtu kama yule wakati huu
Watu hawajamsoma Chidi, alienda ku pay respect kwa ajili ya niffer, sema huyo dingi mchungaji miyeyusho mtu anakupa pole kwa ajili ya mwanao mnamzuia mkono, ushamba huo kuchoreshana, huyu mzee mimi sijamsoma kwa kweli, yaani kamuona chidi kababaika mara ametoa hela, chidi hajaenda kuomba hela ameenda kutoa pole ya msiba, maisha haya
Amshike mkono then ajishike kinywani, au ashike bacteria aisee ndo maana magonjwa hayatakwisha sababu yakuendekeza utamaduni wa kijinga.. we unajua kapita wapi au kashika nn huyo chidi JITAMBUE BASI
@@AjiaMohamed-rt5pb sawa heri yako wewe mwerevu kila mtu anaona na ana judge kutokana na jinsi alivyotafakari baada ya kuipokea ile picha, mpumbavu na mwerevu wote wanahitajika huwezi kuitwa mwerevu wakati mpumbavu hayupo. Kwangu mimi siogopi kuitwa mpumbavu ila something is not right about huyo nabii wenu
@@-vu2cs anawashika mkono wangapi master cheki hiyo clip vizuri kisha tafakari, acha kushabikia shabikia sometime tumia macho yako vizuri kisha changanya na ubongo wako kutafakari kuwa chid alienda kufanya nini kwa yule mzee? Kwangu mimi niliona ameenda kumpa pole ila mzee akadata kaongea nonsense kampa mpaka hela wakati jamaa hakumuomba Kila kitu nilichokiona pale kwa yule mzee ni no sense
@@mwanzacarpenter tatizo unajurge kwa hisia Broo tumia ubongo wako vzuri kupambanua mambo ktk uhalisia wake,,, Kwan lazima amshike mkono.?.. au Kuna uhusiano gan kumshika Chid mkono na Huduma ya Mzee?? afu kingine una mhukumu Mzee hali yakuwa ahukumiaye ni MUNGU.
Inasikitisha sanaaaa hyo jamaa anajiita nabii wakati kila jumapili jamaa anapiga pesa ya maana acheni kubadilisha maneno ya mungu kwa pesa isiyo na thamani dunia tunapita tu jamani muogopeni aliewaumba kwani hakika yesu ni muislamu na alikuja kuwaambia watu wamsujudie Allah. Mrejeeni Allahu akbar.
abii analindwa na Mabaunsa kama Shetani Diamond na hata uombe kupeana mkono nae hakuna ruhusa mpaka atake mwenyewe, hii ni ishara kuwa hawa watu ni wahuni tu kama wahuni wengine wa mjini hakuna cha Unabii wala Utumishi wa Mungu ni wasaka tonge tu, Mtumishi wa Mungu ni viongozi wa dini ya haki katika uislamu hawana mabounsa kama hao na wala hawadhuriwi na yeyote coz hawaja mdhulumu mtu yeyote na wanaishi maisha ya kawaida na ya huru kabisa ila kulindwa hivyo mpaka kwenye hayo majumba yao ya kihuni inatokana na dhambi nyingi walizonazo na dhulma dhidi ya watu wengine,Rashid ametumia ubishi wake tu kutoa huo mkono🤣🤣🤣🤣
Eti nabii au mtume mungu tusamehe muko kwenye gizaaa hakuna tena nabii wa mtume baada ya washaopita unaenda kutegemea binadamu mwenzako akuombee mwenye kutatua matatizo na maradhi na kila kitu ni mungu tu alhamdulilh yarab kunijalia kua muislam na unifishe nao kwa ndio nuru
Kanisani na misikitini huwa mnaenda kumsikiliza nani kule? Kuna mungu anaehubiri kule? Si ni binadam aliepewa kipawa cha kuhubiri? Acheni kukariri ujinga
Yaani jama kasimama juu anakuangalia kizarau,unajaribu kamsalimia anakataa,unapewa shilingi mbili kizarau alafu unaondolewa ...duh nimemdharau sana chidi
Mungu anapotaka kukuinua hutumia njia nyingi sana ambazo kwa mwanadamu was kawaida huenda zikawa hazifanani na uhalisia ,huezi jua mini kilichomfanya aende kwa nabii mkuu ila yeye mwenyewe na mungu aliyemuongoza huko ndo wanaojua,tuache Ku over think na tuamini kama nabii alivyomtamkia baraka basis mungu atimize na itakuwa vizuri mambo yake yatakapo funguka jamani
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia?? Acheni unafiki na kupotosha Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya
@@lonsman inachukua muda kumshawishi MTU aokoke haswa kwa MTU kama chid ambaye tayari Ames haji hang any a sana so pesa nadhani alipewe ili imshawishi kwamba hata kanisani Luna msaada kuliko huko aliko maana hats yesu aliwatengenezea pombe wakanywa ili wapate kujua kwamba uwezo was mungu ni mkuu
Et njaa kaomba pesa au ugali au ww ndo unasema wangap wameenda pale ivi unajuwa nn maana ya urafik yy kaenda kwa nihaba ya rafik yake mbona amsemi kama kaenda kutowa pole kwa baba ya rafik yake unawaza 🤔 njaa tu bas ww ndo upo na njaaa ulijuwaje chid yupo na njaa ww ndo mpishi wake au mke wake au mama yake au dada yake acha umama apa ndan kama una Cha kusema kausha komweeeee lako ww 😊
Yesu alikuja kuokoa walio potea .bona mnamsema sana kwani nyie mmekamilika jamani mimi namwona yuko sawa kukimbilia kanisani haijalishi yuko vip mnao mwona hafai kwamungu anafaa kwasababu haibi cha mtu nyie ambao hamna njaa ishini na utajiri wenu hata matajiri kwa yesu waligawa mali zao wakawapa maskini mungu .muokoe mtoto wa mwenzio usimsemee mabaya hujui keshoyako itakuwaje namuombea abadilike kwakweli mungu atatenda
Manabii wa uongo utawajua kwa matendo yao ,Mwimbaji wa kidunia ameenda kanisani kupokea wokovu lakini Nabii anambariki ili aendelee kumtumikia shetani ktik hizo nyimbo na anatamka kumrudishia nyota,Neno la Mungu linaonya kuwaendea wasoma nyota..pia huyo ni muislamu ,Neno linasisitiza Toba ,angemuongoza Toba ili amkiri Kristo na kuachana na miziki ya Dunia Warumia 10:9 ,pia Nabii analipiza kisasi kwa waliomfanyia ubaya ,Kristo alikuja anatuagiza mpende adui yako kwa kumuombea Toba ....hapo utawajua manabii wa uongo kwa matendo yao Mathayo 24:11 Baba wa Mbinguni hapendi hata nafsi ya mtu mmoja ipotee 2 Petro 3:9 ila huyu anawapoteza wengi watu maarufu wanaenda kanisani kwake kufata less sio wokovu wakristo ,anajipa ukuu kuliko Baba wa Mbinguni ,wakati Mungu alisema agawani utukufu na mtu yoyote wala kitu Chochote ... Mathayo 24:24 Tupo nyakati za mwisho sio Kila kanisa ni kanisa la Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote ...Bali ipo miungu mingi duniani na mabwana wengi na makristo wengi 1 Wakorintho 8:5 ...zichunguzeni hizo roho kwamba zatokana na Mungu au la 1 Yohane 4:1 .....Mungu awabariki.
Hata yesu hakuja tafuta walio wakamilifu bali waliopotea so unaejaji wewe nani unambingu yakuwapeleka watu au unajiona umekamklika sana hakuna aijuaye kesho
Aaah kwenda kanisani ni njaa aah wabongo bna hapo ulipo unawezakuta babako alikuwa na hela ila kafulia Hana chochote kwa sababu hatumjui aaah sawa,acheni atafute njia iliyo sahihi labda ataludi kweñye gem Tena
Huyo ambae munamuita nabii mnafikiri kama ndo Muungu Au sio 🤔sasa subiri Allah achukuwe kuimba chake akaone jinsi mungu alivyo na Adhabu kali na si yakutaniwa kama mnavyofnya hivyo kukufuru kufuru tu kila siku ndo mwisho wa siku utaenda kujuwa
Angekuwa Kibondo Kigoma ama🤣🤣🤣🤣🤣 hata uwe mbali kiasi gani hakuna mwisho mwema kwenye maisha yasiyo na baraza za Muumba wako, wewe unaingiza hela unakula bata na familia yako unajaza upuuzi kwenye vichwa vya wanadamu wenzako kazi gani hiyo kama sio ushetani😂😂😂😂 mimi hata msanii aseme amefanikiwa kiasi gani namuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine maana mwisho maisha haya ya duniani anaenda kusaga meno milele kwenye jehannam, kama ww ni muumini utakubaliana na mm kama ni KAFIRI utaniona ni mtu wa ajabu sana😂
Dini ni akili alivyotaka kumtamkia chidy akasita ndo mtumishi akaona isiwe tabu ngoja nitoe kibunda kwanza baada ya hapo chidy akasanda na kuwa mpole na kukubali kutamkiwa
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia?? Acheni unafiki na kupotosha Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza. Jambo lingine la pili ni kwamba huyo anayemwombea mwingine anaomba kama yeye ndiye mwenye mamlaka maana hajataja jina la Yesu wakati anaombea and yet watu mnashangilia without knowing the god that the man is praying to, Is he the God? Ama yeye ni Yesu kwamba ana mamlaka kama Mungu?? Someni maandiko acheni kushabikia watu badala ya kumtafuta Mungu na kuisimamia kweli yake
Hiyo pesa aende kujitibia mguu au ni kumsaidia pia,,anauburuza siku nyingi,,,,,usije kuoza tu na kukatwa,,wengi wanampa pesa je havuti tena?muhimu ni matibabu kwanza
Ndo maana nimewahi kusema kua mtu akiwaambia kua Mungu anarinda viumbe, ujue huyo mtu ni masikini. Pata pesa, kua na vitu ataanza kujua maana ya maadui. Utatafuta kila mlinzi
Ahaaa! Na ndomana hii ngoma yake na roma ina trend sana mbaka najiuliza kwanin? Haikuag hiv kwa chidbenz ku trend no1 youtube na platform zingine why imekua ghafla hiv kw 3:44 a hii ngoma mpya???
Njaa nimbaya sana,Allah atujalie mwisho mwema in shaa Allah
Amiiiiiiiiiiin 🤲
Allahuma Amiin ❤ 🤲
Mwenyezi Mungu Bado Ana kusudi na CHID BENZ Mwenyezi Mungu mfanyie wepesi, Amina!!!
African prophets have bodyguards....af wanasem tunalindwa na mungu
Sad😢
Inasikitisha sana
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi ili wawe na uzima, mgonjwa ndiye anahitaji tabibu, mzima hana haja na tabibu. Chid benz abadilike kwa jina la yesu na kwa damu ya yesu aache yote yaliyoharibu maisha yake.
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia??
Acheni unafiki na kupotosha
Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza.
Inna lillahi wainna ileyhi raji3un.
We unatomba
Mnashangilia hiphop kanisani inasikitisha sanaaa hakika mtume wa mwisho ni muhamad s.a.w acheni kuibiwa kwa kuectiwa miujiza
Na kanisani watu wanashangilia 😭😭 Mwenyezi Mungu nakuomba sana uniepushe na ufakiri. Nipe maisha mazuri na uniepushe na maradhi. Mwenyezi Mungu niongozi mimi, familia yangu na watu wote wanaoamini uwepo wako. Njaa mbaya sana, inaweza kuyumbisha imani ya mtu anayekuamini..... 😭
Ulitaka washangalie babaako anavyoshikwa pumbu,maku wewe,shoga mmoja
Ila watu wengine mnamatatizo Sana aisee😂 we fikiria mtu mzima kama wewe unakuja kuomba Dua zako na za familia Yako kwenye post ya Millard ayo Tena public we mwenyewe fikiria kama uko sahihi dah😂
Ameen❤
@@vincentcharles4385 Mwenyezi Mungu akulipe malipo yanayokustahiki kulingana na kosa ulilolitenda. Hauwezi kumtukana mzazi wangu nikakusamehe kirahisi. Mwenyezi Mungu namuomba akuoneshe madhara ya kuingilia mambo yasiyokuhusu. Hapa ni youtube sio kijiweni ulikozowea kutukanana na wahuni wenzio.
@@Oldskulgemini9991 ungekuwa na maarifa kidogo tu! Ungewakataza hata viongozi wa dini wasipost video za kuntaja Mungu mtandaoni maana kumejaa matangazo ya hovyo na video zinazomkashfu Mungu. Kwakuwa halali ni halali na haramu ni haramu mwenye maarifa anatambua nini ni nini!?.
Duh! Nabii ubarikiwe sana. Ungejua ambavyo waimbaji wa secular wana hamu sana na Mungu, na jinsi wanayo hamu ya kuingia kumwabudu ila wanaogopa wakristo kuwa-judge (Hata kama wapo na 'Dhambi') . Duh kweli wakristo tubadilike na tujue hatujaitwa kwa ajili ya waliokoka tayari, ila kwa bado walio gizani waone nuru na mwangaza na ambapo Nuru na Mwangaza ni Yesu Kristo Mfalme wa Wafalme. Alafu Chid kauwa vazi sana! Unyama! Kenya
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia??
Acheni unafiki na kupotosha
Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza.
Nabii au tapeli tu kama matapeli wengine, Nabii analindwa na mabaunsa kama Diamond na hata kumpa mkono sio rukhsa nabii gani huo wa mchongo dini ina mbwembwe hii hata unabii unajipa tu mwenyewe wazee wa madili mjini🤣
Tukome kuangalia mambo Kwa macho ya kinyama, na tuzame rohoni Ndugu zanguni
GOD IS ONE GOOD STEP BENZINOO..
Kila mwanzo wa kuamini hua unaanza na tabia zako za asili, naamini hii ni hatua ya awali ya huyu chid kuanza kumtafuta Mungu, hakuna aliyeumbwa anamjua Mungu ila sote tulipokea injili tukiwa ni vituko kabisa vya watu,
Sitaki kumuhukumu nabii maana sijamueka mimi aliko
Na zaidi namuachia Mungu ndiye anajua ni kwanini kuna mtu kama yule wakati huu
Watu hawajamsoma Chidi, alienda ku pay respect kwa ajili ya niffer, sema huyo dingi mchungaji miyeyusho mtu anakupa pole kwa ajili ya mwanao mnamzuia mkono, ushamba huo kuchoreshana, huyu mzee mimi sijamsoma kwa kweli, yaani kamuona chidi kababaika mara ametoa hela, chidi hajaenda kuomba hela ameenda kutoa pole ya msiba, maisha haya
Sio wa kwanza chid kupewa pesa na uyo mzee acha upumabavu
Amshike mkono then ajishike kinywani, au ashike bacteria aisee ndo maana magonjwa hayatakwisha sababu yakuendekeza utamaduni wa kijinga.. we unajua kapita wapi au kashika nn huyo chidi JITAMBUE BASI
@@AjiaMohamed-rt5pb sawa heri yako wewe mwerevu kila mtu anaona na ana judge kutokana na jinsi alivyotafakari baada ya kuipokea ile picha, mpumbavu na mwerevu wote wanahitajika huwezi kuitwa mwerevu wakati mpumbavu hayupo. Kwangu mimi siogopi kuitwa mpumbavu ila something is not right about huyo nabii wenu
@@-vu2cs anawashika mkono wangapi master cheki hiyo clip vizuri kisha tafakari, acha kushabikia shabikia sometime tumia macho yako vizuri kisha changanya na ubongo wako kutafakari kuwa chid alienda kufanya nini kwa yule mzee? Kwangu mimi niliona ameenda kumpa pole ila mzee akadata kaongea nonsense kampa mpaka hela wakati jamaa hakumuomba
Kila kitu nilichokiona pale kwa yule mzee ni no sense
@@mwanzacarpenter tatizo unajurge kwa hisia Broo tumia ubongo wako vzuri kupambanua mambo ktk uhalisia wake,,, Kwan lazima amshike mkono.?.. au Kuna uhusiano gan kumshika Chid mkono na Huduma ya Mzee?? afu kingine una mhukumu Mzee hali yakuwa ahukumiaye ni MUNGU.
Inasikitisha sanaaaa hyo jamaa anajiita nabii wakati kila jumapili jamaa anapiga pesa ya maana acheni kubadilisha maneno ya mungu kwa pesa isiyo na thamani dunia tunapita tu jamani muogopeni aliewaumba kwani hakika yesu ni muislamu na alikuja kuwaambia watu wamsujudie Allah. Mrejeeni Allahu akbar.
abii analindwa na Mabaunsa kama Shetani Diamond na hata uombe kupeana mkono nae hakuna ruhusa mpaka atake mwenyewe, hii ni ishara kuwa hawa watu ni wahuni tu kama wahuni wengine wa mjini hakuna cha Unabii wala Utumishi wa Mungu ni wasaka tonge tu, Mtumishi wa Mungu ni viongozi wa dini ya haki katika uislamu hawana mabounsa kama hao na wala hawadhuriwi na yeyote coz hawaja mdhulumu mtu yeyote na wanaishi maisha ya kawaida na ya huru kabisa ila kulindwa hivyo mpaka kwenye hayo majumba yao ya kihuni inatokana na dhambi nyingi walizonazo na dhulma dhidi ya watu wengine,Rashid ametumia ubishi wake tu kutoa huo mkono🤣🤣🤣🤣
Mungu amekukumbuka Chidi beanz
Sijaona baya hapo hata ww unaweza ukawa siyo wa Imani hiyo Ila maisha ya kikuvuruga unaweza jikuta umeenda
Eti nabii au mtume mungu tusamehe muko kwenye gizaaa hakuna tena nabii wa mtume baada ya washaopita unaenda kutegemea binadamu mwenzako akuombee mwenye kutatua matatizo na maradhi na kila kitu ni mungu tu alhamdulilh yarab kunijalia kua muislam na unifishe nao kwa ndio nuru
Kanisani na misikitini huwa mnaenda kumsikiliza nani kule? Kuna mungu anaehubiri kule? Si ni binadam aliepewa kipawa cha kuhubiri? Acheni kukariri ujinga
Daah asee 😢😢 NJaa mbaya sana
Yaani jama kasimama juu anakuangalia kizarau,unajaribu kamsalimia anakataa,unapewa shilingi mbili kizarau alafu unaondolewa ...duh nimemdharau sana chidi
Chidi ana mkwaju mpya na geo davis angalia behind the scene ya ngoma yao iitwayo "bouncer tumbiri"
Mimi naona tu mkono wa bodygud 😅😅😅
Mungu anapotaka kukuinua hutumia njia nyingi sana ambazo kwa mwanadamu was kawaida huenda zikawa hazifanani na uhalisia ,huezi jua mini kilichomfanya aende kwa nabii mkuu ila yeye mwenyewe na mungu aliyemuongoza huko ndo wanaojua,tuache Ku over think na tuamini kama nabii alivyomtamkia baraka basis mungu atimize na itakuwa vizuri mambo yake yatakapo funguka jamani
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia??
Acheni unafiki na kupotosha
Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya
@@lonsman inachukua muda kumshawishi MTU aokoke haswa kwa MTU kama chid ambaye tayari Ames haji hang any a sana so pesa nadhani alipewe ili imshawishi kwamba hata kanisani Luna msaada kuliko huko aliko maana hats yesu aliwatengenezea pombe wakanywa ili wapate kujua kwamba uwezo was mungu ni mkuu
Chid kila nikikuangalia najiuliza nini 😢😢😢😢😢😢 Chuma namkubali balaaa
Hyo hela aliyopewa chid naitafakari sanaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Njaa mbaya jamani😢😢
Et njaa kaomba pesa au ugali au ww ndo unasema wangap wameenda pale ivi unajuwa nn maana ya urafik yy kaenda kwa nihaba ya rafik yake mbona amsemi kama kaenda kutowa pole kwa baba ya rafik yake unawaza 🤔 njaa tu bas ww ndo upo na njaaa ulijuwaje chid yupo na njaa ww ndo mpishi wake au mke wake au mama yake au dada yake acha umama apa ndan kama una Cha kusema kausha komweeeee lako ww 😊
😂😂😂😂😂😂❤ Mchane 2 ukwer na komwe lake
Babako mbona kafilisika husemi?
@@mubuyafrancis3979 tatizo anajifanya anamjuwa mtu wakati uwenda ata ajawah kutana nae au kuishi nae
Chidi kaenda zake kuchukua maokoto ya January kasepaaa😂
Keli maokoto😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwache aende maana kapigika kiafya, na kiuchumi. Pia aache madawa. Mungu atamsaidia
Njaaa Mbaya Sana Unasalit Iman Yko Kisa Njaa Siwezi Kuisalit Iman Yngu Kwa MAKAFIRI Kuingia Kanisani
Jaman kaenda kutoa pole ya msiba
Chid the King 👑
“macho ya mioyo yenu yatiwe nuru,
- Waefeso 1:18 a(Biblia Takatifu)
Mziki hauna mipaka... love is love
Uyo bodyguard jamani kama anataka kupigana na chid🤣🤣🤣🤣🤣
Yesu alikuja kuokoa walio potea .bona mnamsema sana kwani nyie mmekamilika jamani mimi namwona yuko sawa kukimbilia kanisani haijalishi yuko vip mnao mwona hafai kwamungu anafaa kwasababu haibi cha mtu nyie ambao hamna njaa ishini na utajiri wenu hata matajiri kwa yesu waligawa mali zao wakawapa maskini mungu .muokoe mtoto wa mwenzio usimsemee mabaya hujui keshoyako itakuwaje namuombea abadilike kwakweli mungu atatenda
nabii anaona mzki halali mungu atusadie njaa kubwa
Manabii wa uongo utawajua kwa matendo yao ,Mwimbaji wa kidunia ameenda kanisani kupokea wokovu lakini Nabii anambariki ili aendelee kumtumikia shetani ktik hizo nyimbo na anatamka kumrudishia nyota,Neno la Mungu linaonya kuwaendea wasoma nyota..pia huyo ni muislamu ,Neno linasisitiza Toba ,angemuongoza Toba ili amkiri Kristo na kuachana na miziki ya Dunia Warumia 10:9 ,pia Nabii analipiza kisasi kwa waliomfanyia ubaya ,Kristo alikuja anatuagiza mpende adui yako kwa kumuombea Toba ....hapo utawajua manabii wa uongo kwa matendo yao Mathayo 24:11
Baba wa Mbinguni hapendi hata nafsi ya mtu mmoja ipotee 2 Petro 3:9 ila huyu anawapoteza wengi watu maarufu wanaenda kanisani kwake kufata less sio wokovu wakristo ,anajipa ukuu kuliko Baba wa Mbinguni ,wakati Mungu alisema agawani utukufu na mtu yoyote wala kitu Chochote ... Mathayo 24:24 Tupo nyakati za mwisho sio Kila kanisa ni kanisa la Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote ...Bali ipo miungu mingi duniani na mabwana wengi na makristo wengi 1 Wakorintho 8:5 ...zichunguzeni hizo roho kwamba zatokana na Mungu au la 1 Yohane 4:1 .....Mungu awabariki.
Stories za jaba😂😂😂
Hata yesu hakuja tafuta walio wakamilifu bali waliopotea so unaejaji wewe nani unambingu yakuwapeleka watu au unajiona umekamklika sana hakuna aijuaye kesho
Hapo YESU ni yupi? Au huyo mwenye body guards?
Hongera nabiii geo
Najivunia kuwa muislaam. Kwenye uislaam huwezi kusikia upuuzii huu
Nabii anaogopa Mkono wa Chid Benz 😅😅😅😅😅😅😅
Mimi ni muislamu lkn naitaji maombi ya baraka maana nna vipaji lkn ndoto yngu jhaitimii mna kila ninacho fanya hakitimii
Sasa uyo chidi apo ameenda Kwa mgaga lakin ana feeling kama kaenda kanisan bila kujua mchungaji NI wa mchongo
Bodyguard kakaza anajifanya hamjui chidy benzinoo
Dahh sio poa kabisa yani 💯💯
Mzee ana shida huyu. Sema Chidi ego itamtesa sana. Ajishushe akubali, aanze upya.
Hiyo ndio shida yake na Qchief wanajiona wanajua sana ,uliyoongea ni sahihi kabisa
Na kwa vipaji vipo siyo kwamba wanabahatisha wa kuwasaidia ni wao wenyewe wakubali kwamba wanahitaji msaada
Aaah kwenda kanisani ni njaa aah wabongo bna hapo ulipo unawezakuta babako alikuwa na hela ila kafulia Hana chochote kwa sababu hatumjui aaah sawa,acheni atafute njia iliyo sahihi labda ataludi kweñye gem Tena
Bodigadi anamlinda mchungaji mchungaji Si analindwa na roho mtakatifu mbaka anazuia mkono wa chidbenzi asisalimiane na nabiii
Hata yesu alikuwa na wanafunz 12 ilikuwa huwezi kumfikia kizembe mpaka peter na wenzie wakubali
Wasanii wazamani wananjaa sana wajua Mzee anamawe😂😂
Matato yako AYANA malinda
Nabii anatania na chidi anamtania vile vile
#wanataniana
Huyo ambae munamuita nabii mnafikiri kama ndo Muungu Au sio 🤔sasa subiri Allah achukuwe kuimba chake akaone jinsi mungu alivyo na Adhabu kali na si yakutaniwa kama mnavyofnya hivyo kukufuru kufuru tu kila siku ndo mwisho wa siku utaenda kujuwa
😢😢😢😢😢mpaka nimejisikia machozi,chidi benzi angekuw mbali sana nahsi kuna namna 😢
Angekuwa Kibondo Kigoma ama🤣🤣🤣🤣🤣 hata uwe mbali kiasi gani hakuna mwisho mwema kwenye maisha yasiyo na baraza za Muumba wako, wewe unaingiza hela unakula bata na familia yako unajaza upuuzi kwenye vichwa vya wanadamu wenzako kazi gani hiyo kama sio ushetani😂😂😂😂 mimi hata msanii aseme amefanikiwa kiasi gani namuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine maana mwisho maisha haya ya duniani anaenda kusaga meno milele kwenye jehannam, kama ww ni muumini utakubaliana na mm kama ni KAFIRI utaniona ni mtu wa ajabu sana😂
Çhidi Benzi Nyota yako ingaeee
Yaani mchungaji si ana dharau huyu eti tupige tu mkono paa yaani kumpa mwenzake mkono hakutaka kumbe 😮
Njaa mbaya sana
Bodyguard kisiran Uyo dooohhh😂 Ila child Benz 😅😅😅hamuelew kang'ang'ana anataka mkono WA nabiii
Kweli Tutafute sana maokoto, yaani aliyefiwa ndo anatoa rambirambi😅
Hussein🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 yaan umenivunja mbavu.. binadam tuna mengi
😂😂😂 world isn't fair
Eti Rashidi😢
Bora aende uko maana uku mnamzalau
Wallah anaomba mkono anapigwa ka kangum ivii
Benzinooo ❤
Waislam ndugu yenu kafuata maokoto tu jaman msihofu January ngumu mjue😂😂😂😂
Shida mbaya san
Iseee kweli njaa mbaya.
Chidi mwenyewe anacheka
Njaa simchezo 😂😂😂
Sasa huyo baunsa na ushamba wake alikuwa anazuia mkono wa chid benz ili iweje
Asipofanya hivyo atakosa mshahara😂😂😂
🤣🤣🤣
Akili kichwani,pesa mfukoni , Yesu moyoni
😂😂😂😂😂 jaman msinivunje mbavu
Huyu babu anasafilia nyota za watu no matter waaaa😂
Fact
Amen
Bodyguard ana njaa
Rashid ndo kafikia uku 😢😢
Uisllam so jina ni kuamini na kufata mamrisho yote na makatazo
Jina tu hana UISLAMU huyo
Kwann mchungaji kakataa kumpa mkono chidi? Hadi security anazuia
Hako kabaunsa kakushoto kanaweza kuua hata kuku kweli???😃
Chidii kafuata helaa 😂😂😂
Nilipanda nae abudy kumbe alikuwa anakuja kwa nabii😂😂😂
Uchidi mjinga sana jamani
Kosa lake nini
Hatariiiii alikofikia
Usilam wa Tanzania mbona unamashaka sana😢
sasa hawa bodyguardy mbn wanazingua kwahyo chidi akimshika mkono nabii atamdhuru ?
Watu bhana msaidieni basi makasiriko ya nn?
Unakaribia ufakiri kuwa ukafiri
nabii wa kiki
DAR STAND UP
Sasa huyo Mzee kuma huyo Bodyguard anataka kumzuia Chidi asimsalimie pastor ndio maana yake nini
Dini ni akili alivyotaka kumtamkia chidy akasita ndo mtumishi akaona isiwe tabu ngoja nitoe kibunda kwanza baada ya hapo chidy akasanda na kuwa mpole na kukubali kutamkiwa
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia??
Acheni unafiki na kupotosha
Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza.
Jambo lingine la pili ni kwamba huyo anayemwombea mwingine anaomba kama yeye ndiye mwenye mamlaka maana hajataja jina la Yesu wakati anaombea and yet watu mnashangilia without knowing the god that the man is praying to, Is he the God? Ama yeye ni Yesu kwamba ana mamlaka kama Mungu??
Someni maandiko acheni kushabikia watu badala ya kumtafuta Mungu na kuisimamia kweli yake
chidi kaenda kukusanya maokoto tu🤣🤣🤣🤣🤣
Mabaunsa wameuma ndimu rashidi ata haelewi lol
Wahuni woote hawa na matapeli huyu nabii wa uwongo na huyo vuta bangi
Nabii analindwa na mabaunsa
Anaye jiita nabii nae, analindwa na bodyguard nadhani kanisani ni pahali patakatifu
Adi police cyo bodyguard tu
Manabii wa uongo wengi sana sikuhizi, ni hivo tu huchukua muda sana mpaka kuja kuumbuka
Nyota ya Shidi imenunuliwa
Hiyo pesa aende kujitibia mguu au ni kumsaidia pia,,anauburuza siku nyingi,,,,,usije kuoza tu na kukatwa,,wengi wanampa pesa je havuti tena?muhimu ni matibabu kwanza
hata ningekuwa mimi ndo chidy kwanini nife na njaaa😂😂😂kashabeba kibunda chakee anasepaa zakee
😂😂😂😂😂
Chid benz in god's kingdom
God's kingdom???
😂😂😂😂
Which God ?
TB JOSHUA clone version 1.2.0
Maombi ombea nyumani kwako unafiki mtupu nawewe wivu tuu kaza uelekeo wako
Chidi Benz ana akili sana.
WAMPE TUU HAYO MAMILIONI AONDOKE
Mtihani mkubwa
NYIE MNAOFIKIRI HUYU NI NABII HAMUONI ALIVYOOKATAA KUSALIMIWA KWA KUSHIKWA MKONO MWANZONI,JE MNAJUA KWANINI BAADAE ALIMSALIMIA KWA KUMPA MKONO NASI PALE MWANZONI HUKU WALINZI WAKIMKATA ASITOE MKONO,SASA NJOONI INBOX NIWAPE MAANA MKOME KUAMINI KILAKITU.
maana yake nini kama unayojua?
Ndo maana nimewahi kusema kua mtu akiwaambia kua Mungu anarinda viumbe, ujue huyo mtu ni masikini. Pata pesa, kua na vitu ataanza kujua maana ya maadui. Utatafuta kila mlinzi
Huu ni ushetani
😂Mbona Inaonekana Chidi anakuzwa nyota yake Kifrimason...Ila cc tunaangalia tu michezo ya watu na kazi zao
Ahaaa! Na ndomana hii ngoma yake na roma ina trend sana mbaka najiuliza kwanin? Haikuag hiv kwa chidbenz ku trend no1 youtube na platform zingine why imekua ghafla hiv kw 3:44 a hii ngoma mpya???
Hajitambui kama yeye ni muislamu
Nabii analindwa 🤔