🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  9 วันที่ผ่านมา +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @JuventusNyachia
    @JuventusNyachia 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ni maamuzi mepesi sana kwa nyakati hizi,maana hana kipya cha kuongeza zaidi ya kukipigia dili yeye na vibaraka wake,awapishe watu wenye uwezo wa kukijenga zaidi.

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi 9 วันที่ผ่านมา

    Mbowe anafaa sana huna mpizani utashinda

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mh mbowe kama hutaki mtu agombee hiyo nafasi ya mwenye kiti basi funga mjadala gombea mwenyewe Wewe ndio mwenye chama futa hiyo nafasi iwe yako mpaka mwisho usitusumbue na machaguzi ya kijinga jinga huku unajua matokeo

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe anatamaa na uongozi, awapishi na wengine .kwann hataki kuachia ngazi??

  • @195941233
    @195941233 9 วันที่ผ่านมา +1

    Siyo mwanademokrasia

  • @AtuganileBarack
    @AtuganileBarack 8 วันที่ผ่านมา

    Ningekua Mimi mbowe ningekaa pembeni kwani mbinu zake zimepitwa na wakati tunamshukuru kwa kutufikisha hapa Sasa inatosha tunahitaji mambo mapya

  • @abdallavictory6723
    @abdallavictory6723 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ni mwansiasa mkomavu siyo Mwanharakati, ndiyo maana ni vigumu mtu ambaye hajui siasa hawezi kumuelewa.

  • @davidnyambuche352
    @davidnyambuche352 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa kuna mkono wa ccm

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe mifano yako dhaifu sasa hapo kama vyama tofauti wakati wanachama wenzako acha tamaa

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 8 วันที่ผ่านมา

    Toka 2004-2024 =20 years kwenye kiti kama Kiongozi wa CHADEMA, is enough bro, utafanya nini chatofauti mu 5years kyenye ahukuweza kufanya mu 20years..?

  • @AtuganileBarack
    @AtuganileBarack 8 วันที่ผ่านมา

    Kusema wamemwomba agombee hizo ni kiki hakunajipya hapo wenye d mbili tumekwisha elewa

  • @JovithaDomisiani
    @JovithaDomisiani 8 วันที่ผ่านมา

    😅 me