KAZI NI KAZI: Kutana na vijana wanaoendesha maisha kwa kucha bandia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Kwenye #KaziNiKazi Alhamis hii; kutana na vijana wanaoendesha maisha yao kwa kutengeneza na kuweka kucha za bandia kwa kina dada, magumu wanayopitia na jinsi wanavyoendesha maisha yao kwa kazi hiyo
    Ni kuanzia saa 12:30 Jioni ndani ya UTV chaneli namba 108 katika kisimbuzi cha #AzamTV
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 5