#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @HamisiMonge
    @HamisiMonge 23 วันที่ผ่านมา +4

    Ambokile ww.nimchambuzi.wangu.no 1 Tanzania ❤❤❤❤❤

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 23 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂uko sawa kiongozi🎉🎉🎉🎉

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 23 วันที่ผ่านมา +3

    Waambie hao mashabiki maandazi wanasema chama mzee hawajui mpaka sasa hv ana assist mbili na goli moja

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 23 วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea vizuri sana. Ligi ya Tanzania imebadilika sana. Timu zinaupinzani sana. Sasa baada ya kujipanga waanza kumtafuta GSM anaezisaidia timu zingine kuwa bora. Kwa hiyo ubora wa timu nyingi tanzania unaogopesha kina simba.

  • @user-ri5pc6es4m
    @user-ri5pc6es4m 23 วันที่ผ่านมา +2

    Upoa sahii kiongozi

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 23 วันที่ผ่านมา

    Safiii sana Ambokile uko sahihi 😂😂🎁🎁🙏🙏

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kila siku nasema simba walitawala soka wakati soka letu lilikuwa dhaifu tofauti na Sasa hv

  • @HashimSaid-c9h
    @HashimSaid-c9h 22 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kusema dibra ni DEBORA

  • @user-fi2gf6ks7h
    @user-fi2gf6ks7h 22 วันที่ผ่านมา

    Oya bloo unajua boli japo makolo hawakupendi kuchukua🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elipidiusgerazi1924
    @elipidiusgerazi1924 23 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaa ety oyaa apa beki zako mbivu😂😂

  • @Jimmsuva-be5dc
    @Jimmsuva-be5dc 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio hata pacome mwaka jana alikua anatokea bench mechi za mwanzo

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 19 วันที่ผ่านมา

    CHAMA ANAPATA RAHA SANA YANGA.
    ACHEZE DAKIKA TISINI ILI IWEJE.
    YEYE NI STAR INABIDI ACHEZE KWA MUDA MAALUMU KUPATA MATOKEO MAALUM

  • @birundula
    @birundula 22 วันที่ผ่านมา +1

    Camera man tafuta stand. Kuwa makini na kaz yako

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 23 วันที่ผ่านมา +2

    ALAFU LINAKUJA DUNDUKA MANDAZI TOKA MIKIA FC LINADAI CHAMA MZEE,WAKATI KTK USAJILI WAO WOOOTE MSIMU HUU HAWANA MCHEZAJI HATA MMOJA ANA KIWANGO CHA CHAMA

    • @ummymuya.2060
      @ummymuya.2060 23 วันที่ผ่านมา +1

      Kizuri ni kuwa wakati wengine wanakuwa wazee Chama anatoka UZEENI anaenda UJANANI. Chama alikuwa mzee alipokuwa Simba sasa amekuwa kijana! 😜

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 23 วันที่ผ่านมา

      KWA HIYO KUMSAJILI CHAMA NDIYO HERSI ANAWAFUNDISHA SIMBA KUSAJILI AMA KWELI HAPO WENYE AKILI WAWILI TU WATATU

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 23 วันที่ผ่านมา

      Alivyokuwa simba mbona ulimuita mzee ko kaa kimya

  • @malkikidiwa3008
    @malkikidiwa3008 23 วันที่ผ่านมา +1

    Hili jamaa Kila siku kuisema simba tu

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mshika kamera, kwani huna stand ya kuweka kamera yako?
    Naona mzungumzaji akiongea na camera inatikisika.
    Jaribuni kuepuka makosa yasio ya lazima.

  • @HamisiIssa-c8c
    @HamisiIssa-c8c 23 วันที่ผ่านมา

    Safi sn 2po pamoja

  • @WilfredSaidi-st3tn
    @WilfredSaidi-st3tn 23 วันที่ผ่านมา

    Ety haruki 😂😂😂😂waah😅😅😅😅 nachoka mm😅😅😅

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 21 วันที่ผ่านมา

    Unaongea ukweli mpaka wanataman wakupige mawe hapohapo ulipo😂😂😂😂

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 23 วันที่ผ่านมา

    Huwa wanasema, wanachukua wanaweka waaaa.

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 23 วันที่ผ่านมา

    Ya votal o ya baba chama kaanza

  • @IsayaIsayaMwakila
    @IsayaIsayaMwakila 22 วันที่ผ่านมา

    Saf mchambuzi sema ukweli sio wengine hawajui kuongea ukweli

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni mtoto wa Mzee Magoma? Anafanana nae sana sauti.

  • @user-mw6ym2vr9f
    @user-mw6ym2vr9f 22 วันที่ผ่านมา

    Kaka usimalize maneno

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 23 วันที่ผ่านมา

    YAANI HAO AKINA AWESU,KAGOMA ,WALIKATAA KWENDA YANGA SABABU WALIAMINI KULE YANGA HAWAWEZI HATA KUKAA BECHI,

  • @robertmatabalo5454
    @robertmatabalo5454 23 วันที่ผ่านมา

    Tujenge tabia ya kukubali ukweli

  • @user-wg2vl1rh4l
    @user-wg2vl1rh4l 21 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi utaumiza kichwa sana kufundisha watu wasioelewa.

  • @JeremiaMlay
    @JeremiaMlay 22 วันที่ผ่านมา

    Pia ame2fundisha kutokulipa mpaka 2nadaiwa

  • @HamphreyKimarano
    @HamphreyKimarano 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ninakujua wewe ulikuwa mfanyakaziwa GSM nyumbani kwake sikushangai

  • @elipidiusgerazi1924
    @elipidiusgerazi1924 23 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa ety oyaa apa beki zako mbivu😂😂