HURUMA😭! UJUMBE WA WEMA SEPETU KWA AUNT EZEKIEL WALIZA WATU "pole Wema utapata mtoto wako na wewe"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 38

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu Hana uchanguzi ipo siku ikifika na yy wema atapata pacha tukijaliwa na ati zekel mungu akuwekee watoto wako❤❤❤

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mashallah tabaraka Allah mungu akulindie inshallah hongera daa ❤❤❤

  • @LilianDeogratias-m4f
    @LilianDeogratias-m4f 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wema usiache kuomba mungu atatenda miujiza yake kuwa na Imani mbona ibraimu na mkewe sala walipata japokuwa umuli ulikuwa umeenda mwamini mungu sana Wala usisikilize maneno ya wanadamu maana imeandikwa kwamba ni heri kulia mbele za mungu kuliko kulia mbele za wanadamu hatakusaidia chochote pia kwa Aunt ezekeli ongera sana mungu akulinde nafamilia Yako yote pia uwalee watt wako katika misingi ya dini maana yesu alisema wahache wtt wadogo waje kwangu maana ufalume wa mbingu niwao

  • @CharityShanty
    @CharityShanty 18 วันที่ผ่านมา +12

    Namuombea wema mungu atampa watoto sita mapacha wakiume watatu,,,wakike watatu pokea hao watoto wemaa

  • @DorcassFrezia
    @DorcassFrezia 19 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu atampa mtoto 😊

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 15 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani muacheni mtoto wa mwenzio kwani mrizishuhudia hzo mimba alizotoa wako wangapi dunia hii hawakuona hiyo sura ya mtoto je nao walitoa mimba za kanumba mbona watanzania tunapoteza uahalisia wa kitanzania tuliokuwa nao tunaenda wapi tunakaa kumsakama mtu mpka bac tufike mahali tufunge midomo yetu pole mwanangu nyamaza milele Munguu

  • @HapyMichael
    @HapyMichael 20 วันที่ผ่านมา +2

    AMEN MUNGU ATAMPA TU HATA MIMI NAMUOMBEA SANA

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera anty Ezekiel hunafubaza kizazi chako kwa ustaa .

  • @mwasitiabubakarAbdallah
    @mwasitiabubakarAbdallah 17 วันที่ผ่านมา +1

    Inshaallah allahumma amiiy khery kwa uwezo wa allahu sw wema sepetu atapata uzao 🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @alinelumona8836
    @alinelumona8836 16 วันที่ผ่านมา +3

    Na ninyi wa Tanzania 🇹🇿huo umbea wenu utakwisha lini? Kwani Wema tu. Ndo ka comment mwenyewe tu. Mbona watu wengi wana comment yaani kwakweli ni shidaaa???? hiyo ni Hali tu ya Umbea. Mungu atawalaani bila kujua jmn. mwacheni Wema Na maisha yake Mungu Ndie muweza wa yote ipo siku yake tu. Na yeye wala asikate Tamaaa Sarah alipewa mtoto na umri mkubwa tu. Na akalea . Kwahiyo ni kawahida kwa Mungu hiyo wala Mungu hajamsahau Wema atapata mtoto ninalo Imani juu ya Wema ❤❤❤

  • @MaryamFarhat-f9u
    @MaryamFarhat-f9u 19 วันที่ผ่านมา +4

    ALLAH haja msahau yote nimitihani2 hwenda akaja akapewa mapacha 4 mukabaki midomo wazi

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 18 วันที่ผ่านมา

    Wema sio eti chapati mimba uwapata sema akiwa n strxx mimba sku zote hutoka haitaki strxx ila Mungu Yuko pamoja nae❤❤❤

  • @MussaMligo-t6h
    @MussaMligo-t6h 19 วันที่ผ่านมา +1

    Polesana niitafute nikusaidiewema😢

  • @YasmainOmri
    @YasmainOmri 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ishu inakuja ayo masajali aloyafanya hayazulu kizazi?? Mim kila siku namuombeaga wema apate mtoto tusimuhukum eti alitoaga mimba Kwan mastaa wangap wametoa mimba enzi zao nasas wana watoto apunguze masajali ayo nikumkufulu MUNGU

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 19 วันที่ผ่านมา +5

    Wema hayuko serious achemshe karafuu akunywr asubuhi njioni ama majani ya mpera atapata mimba

  • @JosphineNzai
    @JosphineNzai 19 วันที่ผ่านมา

    Ongera.sana❤❤❤

  • @lovenessyallyjuma
    @lovenessyallyjuma 16 วันที่ผ่านมา

    Wema mungu awezi kumpa laabada akaungame zambi zake mungu amsahame sana kuna zambi ameshafanya ndomna mungu ajamjalia watoto

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 15 วันที่ผ่านมา

      KAMA NI DHAMBI MBONA NA WENYE WATOTO WANAZO?

  • @ReginaMeitanavi
    @ReginaMeitanavi 20 วันที่ผ่านมา +11

    Hata yeye atapata tu kwani aliewapa hao watoto ni Mungu alie hai,na anatoa kwa wakati wake,na kama aliweza kumpa Sara mtoto akiwa kikongwe wema ni nani asipokee mtoto kwa Mungu?Wema poke watoto kwa jina Yesu Kristo wa Nathareth

  • @SophiaShabani-p7l
    @SophiaShabani-p7l 19 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman Kama una shera comment toa faraja sio kumponda mtu hata mm namwombea Sana wema apate mtoto❤

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 16 วันที่ผ่านมา

      Sophia mkulago mambo

  • @VioletNgonyani
    @VioletNgonyani 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu atampa kwa wakat wake

  • @lisabeshy7894
    @lisabeshy7894 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu ndie anajua siku yake anaeza hata mpa twins kwa wakati mmoja ama hata watatu kwa wakati mmoja. So huenda huu mwaka niwake wakubeba wake Inshallah

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 17 วันที่ผ่านมา

    ndo maana mungu akaitwa mungu kwani walemavu wa miguu kawauba nani wewe ulie kamili kakuumba nani acheni maneno ya ajabu mtt anatowa mungu na asie pewa hapewa na mungu .kwahiyo kuzaa si kwa uhodarri na kutokuzaa si kwa uiinga yote majaliwa ya mungu .

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 15 วันที่ผ่านมา

    JAMANI KWANI WEMA NDO MWANAMKE PEKEE AMBAE HANA MTOTO NCHINI TZ.. MTOTO UKIPATA SAWA, NA USIPO PATA SAWA.. HAIKUNYIMI UFALME WA MBINGUNI.

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 16 วันที่ผ่านมา

    Mtoto atoka kwa mungu sie wa kwanza kukosa Mtoto muacheni kufafabisha kila wakati mitandaoni

  • @JosphineNzai
    @JosphineNzai 19 วันที่ผ่านมา

    Ongera.sana

  • @RodaMaganga-ye6ye
    @RodaMaganga-ye6ye 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ampe Mimba wema mara ngapi SI alisemaga alibeba Mimba ya kanumba akaitoa au hamkumbuki! Tatizo wanazichomoa! Sasaiv anawaonea wivu wenzake

    • @ZaiLituli-h5q
      @ZaiLituli-h5q 17 วันที่ผ่านมา

      😮

    • @LilianDeogratias-m4f
      @LilianDeogratias-m4f 12 วันที่ผ่านมา

      Hujui kama ilikuwa kweli au uwongo kwani ww nimara ngapi umetenda zambi na mungu kaendelea kukuona kama mwanawe

  • @Partmichiel
    @Partmichiel 15 วันที่ผ่านมา

    Mtoto wa mondi niwa wema

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana 18 วันที่ผ่านมา

    Kwan huyu wema alipeleka wap ile mimba ya juz aliyokua anajirusha kuitangaza

  • @ilmoprince4655
    @ilmoprince4655 18 วันที่ผ่านมา

    Watoto 4 sio 3

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 18 วันที่ผ่านมา

    Wema utapata mungu nimpaji atakupa tu