Mfanyibiashara Kariakoo amwashia moto Mwigulu mbele ya Mjaliwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika viwanja vya Mnazi mmoja kwaajili ya mazungumzo na wafanyabiashara wa Kariakoo.
    Ni takribani saa saba wafanyabiashara hao wamemsubiri kiongozi huyo tangu saa moja asubuhi katika ukumbi wa Anaurtoglo wilayani Ilala Dar es Salaam walikokaa awali na baadae kuhamia Uwanja wa Mnazi mmoja.
    Baadhi ya kero zitakazowasilishwa katika mkutano huo ni kamata kamata ya wafanyabiashara inayofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Sheria ya usajili stoo inayopingwa na wafanyabiashara hao.

ความคิดเห็น • 5

  • @yassirMohammed-jq7vg
    @yassirMohammed-jq7vg ปีที่แล้ว

    kweli nchi ina watu

  • @eatlawe
    @eatlawe ปีที่แล้ว +1

    Dalili ya mvua ni mawingu!

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว

    Mama akiondoka na mwigulu nitajifunza kula biaaaaaaaa

  • @NixonGerson
    @NixonGerson ปีที่แล้ว

    Mwiguli atolewe tu Hana LA maana ... mwizi ...

  • @NixonGerson
    @NixonGerson ปีที่แล้ว

    Kiukweli waziri mkuu fuatilia malalamiko ya wananchi ili tu tusiingize nchi kwenye vita ..utakimbia wewe na wanao ,ndg zako watabaki laana Yao itakurudia kwa watakachofanyiwa .. tupo wala haina muda