MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 13

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @neemamoshi2121
    @neemamoshi2121 9 หลายเดือนก่อน

    2024 Bwana Mungu naomba unipake mafuta na mkono wako uwe thabiti kwangu na ushughulike na adui zangu wote.

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 9 หลายเดือนก่อน

    Napokea Kumiliki na kutawala katika Jina la Yesu Kristo Amen 🙏

  • @odinamigowe2430
    @odinamigowe2430 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu naomba kufahamu ni nini natakiwa kufanya ili Mungu ajivunie kuwa na mimi. Maana mimi bado ni mchanga sana kiimani ila natamani sana kumjua Mungu ili atawale maisha yangu yote. Maana naona mahali hapa ni pazuri sana natamani nafsi yangu ikae katika uwepo wa Mungu siku zote. Natamani nifanyike chombo cha thamani na si cha uharibifu. Naomba kujifunza kutoka kwako mtumishi wa Mungu ili niweze kukuwa kiroho. 🙏

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 9 หลายเดือนก่อน

    Asanthe Yesu kwa kuwa unanifurahia mimi na Nyumba
    yangu na watoto wangu na ndugu zangu wote asanthe Mungu Amen 🙏

  • @JanethKiwia
    @JanethKiwia 9 หลายเดือนก่อน

    Ameni Mtumishi

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 9 หลายเดือนก่อน

    Natembea na Furaha ya Bwana

  • @witnessphilmoni5470
    @witnessphilmoni5470 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen Nayaweza mambo yote katik yeye anitiaye nguvu🙏

  • @florahbarnabas
    @florahbarnabas 9 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏽🙏🏽

  • @ndinahnsaji8294
    @ndinahnsaji8294 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @adelinendesanjo5328
    @adelinendesanjo5328 9 หลายเดือนก่อน

    Hatma yangu na ya Uzao wangu itaitwa Beila🙏🏻

  • @odinamigowe2430
    @odinamigowe2430 9 หลายเดือนก่อน

    Katika mambo yote ninayotamani mwaka huu ni MUNGU peke yake kutawala maisha yangu na uzao wangu ili katika maisha yetu MUNGU ajivunie uwepo wetu katika dunia hii

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 9 หลายเดือนก่อน

    Eeh Bwana unipake mafuta kwaajili ya Kazi yako

  • @lodvee1717
    @lodvee1717 9 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @nsiaussiri1025
    @nsiaussiri1025 9 หลายเดือนก่อน

    Amen