SABAYA AMTAJA RAIS SAMIA BAADA YA KUACHIWA HURU, "AMEFANYA KWA WENGI, ALIWEKA MFUMO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 250

  • @devothangondy4322
    @devothangondy4322 2 ปีที่แล้ว +12

    Nakuombea kaka angu sabaya Mungu akuponye na uwo uvimbe kichwani

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu kasimama na sabaya na wenzio🤲🤲🤲

  • @salomeyuvenali3700
    @salomeyuvenali3700 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mbariki kijana wetu🇹🇿🙏

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah

  • @rebekamwambatata9512
    @rebekamwambatata9512 2 ปีที่แล้ว

    Poreni.na.ongela.sana.kaka.zangu.mungu.awalinde.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana

  • @husseinkhaji895
    @husseinkhaji895 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama ulifanya hayo ukome maana duniani tunapita cheo ni dhamana

  • @nancymwangi7926
    @nancymwangi7926 2 ปีที่แล้ว +8

    huyo tajiri aliyewabandikiza kesi ashughulikiweeeeeeeee

    • @jimj8285
      @jimj8285 2 ปีที่แล้ว

      Weeeh weeeh Nancy weweee!!! Jifunze kufua chupi zako ukimaliza kutombwa!!! Coz wewe unakojolewa ukitombwa then unaendelea kuvaa chupi yako wiki nzima! Unanuka bwaaaNa!!! Then Acha kujitia vidole kwenye Kuma na kuinusa nyau weyee!!!

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +10

    Mungu ni mwema siku zote. Mungu sio athumani.

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 ปีที่แล้ว +6

    Haya ndugu zetu na chama chenu kipya ni UMOJA Party haraka sana chukueni kadi zenu mapema kimya kimya #tukutane2025

  • @granciamsanisa5369
    @granciamsanisa5369 2 ปีที่แล้ว +9

    Sabaya Mungu anakupenda alitaka utambue ukuu wake wakati wa Shida na Raha Barikiwa.

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 ปีที่แล้ว

    Wale wote mliotaka Sabaya afungwe mkimsema ni mjambazi mtaficha wapi sura zenu.

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +4

    huyu jamaa enzi za Magufuli alijiona mfalme sana akiwatesa sana wapinzani kupitia ukuu wake wa wilaya

    • @prosperitymaarifa1336
      @prosperitymaarifa1336 2 ปีที่แล้ว

      Acha hizo na wewe..

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว

      @@prosperitymaarifa1336 ubabe wake ulikuwa huuoni? au kwakuwa ni mwana ndugu wa sabaya

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmahongole5663 peleka ushahidi zwazwa wewe

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 ปีที่แล้ว +3

    Natumaini serikali itamulipa Sabaya kapsto yake Sabaya Kama alivyolipwa Tundu Lisdu na Gaudí Mbowe

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 ปีที่แล้ว

    Pole saaaaana SABAYA hayo ni mapito tu AMANI KWAKO

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 ปีที่แล้ว

    Nyie watanzania😭😭😭😭😭asante MUNGU kwaajili ya Sabaya

  • @ezekielkiduge8730
    @ezekielkiduge8730 2 ปีที่แล้ว +7

    Kama mashitaka sabaya wenzake yalikuwa ya ni ya uongo ,basi haki imetendeka lakini kama mashitaka hayo yalikuwa ya kweli MUNGU ni mhukumu wa haki.

  • @selinamichael6504
    @selinamichael6504 2 ปีที่แล้ว

    Umkumbuke MUNGU mpaka utakapokufa na usimwache MUNGU kakangu na uwasaidie watu.MUNGU amekusaidia ukamtumikie tena.uwe mwaminifu kwake kwani tulikuombea kwa MUNGU msamaha Kam Kuna mahali ulikosea akusamehe na awasamehe wote na awakumbuke.nanyi pia msisahau kuombea wenzenu.nausifanye kisas kwa yeyote aliyekuudhi ukiwa katka kesi yako.na uwambie na wenzako Kwan MUNGU anaona.samehe wote na muwe na aman nao.kwan MUNGU anapenda anayesamehe nae anamsamehe kakangu.mbarikiwe!!!

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kichogo vp tena sabaya. Pole sana. Ata kama utatoka lakini unaujua ukwel.

  • @johnbosco2901
    @johnbosco2901 ปีที่แล้ว

    Washenzi walifanya tanzanian niyakwao.wafunge kabisa

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 ปีที่แล้ว +4

    Nilikuwa naumia Sana huyu yaani Sisi tuliyozaa watoto wakiume tunachangamoto kubwa sana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema kuweza kuwezesha Sabaya kutoka ndani.kwani mtu anaheshimi kesho yake yule aliye muweka hayupo na wewe unawekwa ndani hii yote ni kuwa na KATIBA

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa Mbinguni akubariki Sana Sabaya

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 2 ปีที่แล้ว

    Ndio ujuie hata wale tunaowaamini kusimamia haki ni sehemu ya kutunga kesi za uongo na ngumu kwajili ya kuwafurahisha watu wenye pesa,lkn wanasahau kua MUNGU yupo anaishi

  • @SaidCannal
    @SaidCannal ปีที่แล้ว

    Kwa maelezo yao nami pia naunga hoja kumshukuru sana Rais kusimamia haki , wakati wa ukuu wa wilaya nilimfuatilia sana Sabaya alikua KIONGOZI mzuri wa kufuatilia shida za watu na kuwabana wakwepa kodi , nadhani ni Fitina za wahujumu nchi waliobanwa na Sabaya ndio hawakumpenda, lakini Mungu ameona na sharia imeona ndio maana mahakama ukiacha ya kwanza zilizofuata Mungu amezielekeza , Sabaya ni kada mzuri aliyefanya kazi Bila woga,

  • @devothangondy4322
    @devothangondy4322 2 ปีที่แล้ว +23

    Kama kweli haukuwa na makosa Mungu akulipie kisasi kwa adui zako wote ktk mashabiki wako pamoja na mimi nakukubali sana, niliumia sana lakini Mungu ametenda muujiza

    • @suzymasawe8666
      @suzymasawe8666 2 ปีที่แล้ว +2

      Mimi mwenyewe nilimtetea sana mtaan kwetu mimi n wa hai sikuamin kilichomtokea mungu awalipie

    • @fanuelykitambule5542
      @fanuelykitambule5542 2 ปีที่แล้ว

      🙈🙈🙈

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว

      @@suzymasawe8666 alikuwa anafikia kwake na kumulekeza wabaya wako wanakoishi ili wasurubiwe na were second degree offender pamoja na kuachiwa kwa rafiki kiaina

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 ปีที่แล้ว

    Hata uwe na sura mbaya kama kiboko ukiwa na ukiwa na pesa unakuwa mzuri kama Queen of the sheba. Sabaya alipokuwa na pesa na uluwa alikuwa more handsome. Lakini sashimi amekaa kama aliyetemwa na chatu. Dih pesa bwana.

  • @msabinyanda113
    @msabinyanda113 2 ปีที่แล้ว

    Shahidi wa jambo lolote siku zote huwa ni mhusika na Mungu

  • @joycemfuru4752
    @joycemfuru4752 2 ปีที่แล้ว

    Waambieni watoto wenu wajirekebishe

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli alimponza Sabaya..
    Hizi kinga mnazoweka kwa rais alafu wanaotumwa wao hawana kinga.
    Sabaya ubabe uache na kama hutajifunza basi utakua sikio la kufa.

    • @muhammedsuleyman6501
      @muhammedsuleyman6501 2 ปีที่แล้ว +1

      Si alijua atakaa milele madarakani

    • @wardw3022
      @wardw3022 2 ปีที่แล้ว +1

      Hii kesi ilibidhi ishe ikiwa ya mbowe iliisha hii nayo pia ilfika kikomo

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna lolote
    Hili jamaa leua watu wengi sana
    Na kubaka wake zao huku waume zao wakilazimishwa kuangalia
    Kama kwa sababu ya uccm mmeliachia Mungu hatoliachia
    Kabisaaaa

  • @beberurafiki1273
    @beberurafiki1273 2 ปีที่แล้ว

    Opareshen kinundu itafanyika lini?

  • @babusbabu3699
    @babusbabu3699 ปีที่แล้ว

    mkatuliee sasa cheo ukipata hudumiaa watu sio unyanyase watu na kujiona mungu mtuuu

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwaminifu sana siku zote na njia zake hazichunguziki,usiogope Sabaya mtumain mungu na mkabizi njia zako zote yeye atafanya,usimwache mungu nakusihi hata upitie magumu yanayo tisha wewe simama na mungu tu.

  • @SafariMsafi-um1pz
    @SafariMsafi-um1pz 6 หลายเดือนก่อน

    Ila sabaya hana kosa kama alikuwa anapora mali za matajiri nivizuri kuliko hawa wanao pora mali za masikini wembe ni ule ule sabaya

  • @weramunisi7490
    @weramunisi7490 2 ปีที่แล้ว

    Majambazi TU hao serikali inawakumbatia janja janja wanacheza na akili za watanzania tu

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 ปีที่แล้ว

    Yaani hao majamaa na sabaya mwenyewe ukiwangalia tu kweli hawakusingiziwa nyuso zao zinaonyesha wazi si watu wazuri kabisa hawawezi kusingiziwa lazma ni watu wakupenda dhulma na unyanganyi

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 2 ปีที่แล้ว

    Na kesi za wengine zipelekwe fasta hivyo hivyo

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว

    Jela ni mbaya , sabaya mpaka mwili.umepungua

  • @musasalum2873
    @musasalum2873 ปีที่แล้ว

    Akagombee ubunge pamoja na mbowe jimboni hai

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo nundu alikuwa nayo before

  • @freddymakundi5843
    @freddymakundi5843 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli wa kila tuhuma ni MUNGU na sabaya tu wanajua
    Mahakama huamua kutokana na uzito wa ushahidi na siyo ukweli wa jambo. Hivyo tumwachie MUNGU achukue nafasi yake kwani mahakama imeshamaliza kazi yake.
    Haki

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว +1

    Nashukulu mungu sana kiukweli sabaya Alikuwa ananipa mawazo sana. Nashuku mahakama na mmsamia pia.sabaya mungu akulinde usiku na mchana

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 2 ปีที่แล้ว

    Pia ni aibu kwa waliotoa hukumu ya miaka 30 wakati walikua wanajua ukwel.lkn wakalazimisha

  • @godsonlaizer1988
    @godsonlaizer1988 2 ปีที่แล้ว +1

    Si fedha Wala werevu wa mawakili
    Bali ni huruma tu ,namaadui walokufanyia hayo usiwahukumu kwa hayo ,Bali wasamehe na kuwaombea rehema ,kwa kufanya hivyo mungu atakuinua tena ,

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa naumia kiukweli kuhusu sabaya

  • @eliastephano4696
    @eliastephano4696 2 ปีที่แล้ว

    Mahakama za Bongo hewa tu yan mshkaji alikuw katili apa hai ivo et leo kaachiwa amna kazi apa aixee

  • @alsonsemoka5019
    @alsonsemoka5019 2 ปีที่แล้ว +3

    Ashenalee

  • @josephmarwamanyanki1490
    @josephmarwamanyanki1490 2 ปีที่แล้ว

    Utakuwa umejifunza mengi

  • @mussamc641
    @mussamc641 2 ปีที่แล้ว

    Ndo ukome sasa dunia ishakufunza

  • @godfreyntangana4769
    @godfreyntangana4769 2 ปีที่แล้ว

    hii niaibu kwa alicho kuwa anafanya kwa sabaya na mbowe aibu zinamkamata anawachia

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 ปีที่แล้ว

    Wamlipe wamempotezea muda bure

  • @194summer
    @194summer 2 ปีที่แล้ว

    Mkishapaga shida ndio mnajuaga kuna Mungu

  • @rucaserasto8154
    @rucaserasto8154 ปีที่แล้ว

    kumbe hat majambaz wanamjua mungu alooo

  • @odethadismas1410
    @odethadismas1410 2 ปีที่แล้ว +6

    Tumshukuru Mungu kwa neema yake, hadi viongozi hawa kuachiwa huru kupitia mahakimu wenye hofu ya Mungu iliyowaongoza kutenda haki kwa viongozi hawa, ndugu zangu watanzania hakuna mwanadamu aliyekamilika siku zote tutubu na kumrudia Mungu.Tusiwe wenye visasi,kisasi ni cha Mungu pekee, sabaya mshukuru Mungu kwa mema aliyokutendea na usimwache kamwe.

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 2 ปีที่แล้ว

      Hivi ungekua ni yule aliyekatwa masílkio ungejisikiaje??? Ungesamehe tu uendelee na maisha bila masikio?au mke wako amebakwa au wewe mwenyewe ulibakwa ungesamehe tu na maisha yaendelee?

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +1

      @@felixmsale9244 acha unafiki nasema acha unafiki mbona waliyo muua braitoni huku WAMEJIVALIA UNIFORMS ZA CHAMA CHAO MAISHA YAO YA NAENDELEA NA UNAJISIFIA VIZURI? CHUKI TU ZIME KUJAA KUTAFAKARI DHAMBI ZA ADUI YAKO

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 2 ปีที่แล้ว

      @@jenyyusuph4973 Hata hilio sio sahihi .Nachosema mimi dhambi inasamehewa na kitubio.na Dunia ya maendeleo inatawaliwa kwa HAKI NA SHERIA hivyo DHAMBI yyte inasamehewa na KITUBIO .hata kwenye vitabu vya Dini vinasema Hivyo.hivyo sidhani kama unatumia Lugha sahihi kuongelea juu ya Unafiki .Hakuna binadamu anayestahili fadhila /Ubora /heshima kuliko mwingine.Binadamu wote wameumbwa kwa Nyama na Damu.na wana Utashi na Hisia Hivyo tunachapashwa kupigania ni Utawala wa SHERIA na HAKI .ktk Ujenzi wa Jumuia bora Kila siku ikuchayo sio kosa wala unafiki binadamu kua Na mawazo tofauti.

  • @johnonkoba740
    @johnonkoba740 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa alipwe fedha zake

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว

    Amshukuru rais kwa kumuonea huruma hakuna Cha mahakama

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 ปีที่แล้ว

    mwizi tu huyu na alitumia madaraka yake vibaya

  • @revocatuslugola6354
    @revocatuslugola6354 ปีที่แล้ว

    Sabaya umetesa cana watu ungefungwa tu

  • @ntopangonyani6964
    @ntopangonyani6964 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu jambazi anaachiwa huru kweli, huyu amebaka, amepora na kudhulumu. Ila Mungu yupo na hulipa hapahapa duniani, huyu amewabambikia watu kesi, ameharibu mali za Mbowe kwa hila leo hii anaachiwa.

    • @hassankatema2574
      @hassankatema2574 2 ปีที่แล้ว

      Toa ushahidi wewe fala sio unaropokaropoka tu kwa sababu una bando#mfu

    • @jellynesssemu9406
      @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว

      @@hassankatema2574 kabisa atoe ushaidi kama anajua. Mungu pekee ndo anatoa hukumu

  • @harunarashid6404
    @harunarashid6404 ปีที่แล้ว

    Ahsante🙏🏿 mungu

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Apo ndo mjifunze kua ukipata matatizo wanao kuja kulia ni masikini na siyo tajili viongozi muajali sana wananchi jeshi la wananchi ni kubwa one love

  • @krizofrancisco1287
    @krizofrancisco1287 2 ปีที่แล้ว +1

    Viva sabaya

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sabaya, kijana mdogo sana imeniuma

  • @johnbosco2901
    @johnbosco2901 ปีที่แล้ว

    Wakati anatesa watu mliona sawa

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว +3

    Jmn wametoka kweli? Dah wamesota Sana Sana polen sana

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 ปีที่แล้ว

    Kama ameachiwa nipeni bamba ya mh sabaya

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 ปีที่แล้ว

    Amna lolote ote na mamayenu wezi tu

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

    Ezekia yupi wewe mama?

  • @upendooffice2342
    @upendooffice2342 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo pamoja na sabaya

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 2 ปีที่แล้ว

    Duu acha nijipitiee

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb ปีที่แล้ว

    Muache ujambazi

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatua alizopitia huyu brother zinatosha kujua maisha ni ya namna gani na nni maana ya maisha

  • @husseinkhaji895
    @husseinkhaji895 2 ปีที่แล้ว

    Mwaka ni kidogo sana

  • @hamadlucago8951
    @hamadlucago8951 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema ssna

  • @globalhabari
    @globalhabari 2 ปีที่แล้ว

    BOFYA HAPA KUONA CHURA ANAYETAMBUA KAMA UNA UJAUZITO AU LA ......th-cam.com/video/lsEnuscLcY8/w-d-xo.html

  • @brigmtafutanjia4561
    @brigmtafutanjia4561 2 ปีที่แล้ว +7

    Hakika Mungu unastahili !

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 2 ปีที่แล้ว +6

    Hukumu duniani, Haki mbinguni.

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 ปีที่แล้ว

      SAWA, LAKINI HAKI UKIIPINDISHA DUNIANI,! MBINGUNI NI KIPONDO JEHANAMU!! MFANO NIHUO!!!!

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @mao9622
    @mao9622 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @jacksongabriel4693
    @jacksongabriel4693 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema

  • @edwarddaniel5683
    @edwarddaniel5683 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkatende mema sasa
    Looks like Rais amehusika kutoka kwenu sina hakika hizi shukrani kwa Rais zinasemwa tu
    Moyoni mwenu mnajua mlichokifanya kipindi cha utawala

    • @adamsanga062
      @adamsanga062 2 ปีที่แล้ว

      Sabaya anajua Hindi alivyo umiza watu kwa kunivunja yupo mungu mtu

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 ปีที่แล้ว

    Wachaga bhna

  • @adinanitandala1880
    @adinanitandala1880 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 2 ปีที่แล้ว

    yote kwa yote mjue kua mroso alizulumiwa na hawa,,,
    pih mkumbuke MUNGU atampigania mrosso apo alionewa
    pole sana mroso

  • @tato8979
    @tato8979 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema 🙏🙏

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed7057 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuacheni siasa jamani hii kesi ilikuwa ni ya kisasi mama samia hausiki na kuachiwa huru

  • @justinemico1871
    @justinemico1871 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni Sana washtakiwa wa kisiasa Baada ya yote mkaishi Maisha mema.
    Vinginevyo viuno vyenu havitatumika nadhani mmeona wenyewe wakuu.

  • @bashiruamri2167
    @bashiruamri2167 2 ปีที่แล้ว +4

    Sabaya sabaya sabaya,nimekuita Mara tatu nataka nikwambie kuachiwa kwako nimachozi na maombi ya watu kwa mungu Mimi naishi mkoa kagera lakini pamoja nakuchafuliwa kwako watu tulikuwa hatuamini Asante mungu

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 2 ปีที่แล้ว

    Kongore Sana kijana Sabaya, wahurumie wote waliokuumiza.

  • @aminamsangi1385
    @aminamsangi1385 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema sana

  • @salamanhonya9677
    @salamanhonya9677 2 ปีที่แล้ว

    Pole kaka. Endelea Kumtumainia MUNGU.

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว

    Huo uvimbe kichwani nani kampiga Mh.Sabaya

  • @respigndukya903
    @respigndukya903 2 ปีที่แล้ว

    Nn maana ya kusema hukuwa unatarajia Hiki ,,,,kauri yako inaukakasi ,,,mchangiaji alyekuwa anacheka kwamba anafuraha

  • @MaaneML
    @MaaneML 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ndiye hakimu wa kweli. Kama ulitendea watu mabaya utakutana nayo katika lango la Mbinguni. Ukatubu na utubu Sana. Huruma imepita tu hapo na usijidai kuwa umeshinda. Mshukuru Sana Mh. Rais kwa huruma yake. Ukimtaja Mungu mtaje kwa ukweli Pasi Shaka. Tafakari Sana ndugu Sabaya.

    • @modetheo5182
      @modetheo5182 2 ปีที่แล้ว

      kwani wewe ni mkamilifu acha Mungu amefanya kazi yake.

    • @andrewmachibya3170
      @andrewmachibya3170 2 ปีที่แล้ว

      jee wewe nj mungu jee wewe mkamilifuuu jeee unauhakika na hayo ni kweli aliyatenda ama hakutendaa

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @upendooffice2342
    @upendooffice2342 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema sana sabaya mtu wa Mungu na hakika maajabu makubwa Mungu ametenda na ataendelea kutenda muijiza juu ya sabaya🙏🏾

    • @evalinemgendi2418
      @evalinemgendi2418 2 ปีที่แล้ว

      Tumshauri tuu awaombee maadui zake na awasamehe

  • @luciamsabi1131
    @luciamsabi1131 2 ปีที่แล้ว

    Tunamshukru Mungu kwa hatua hiyo,ni is ishara njema,kijana wetu,SHIKAMANA SANA NA MUNGU,na Mungu atakuonekania

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 2 ปีที่แล้ว

    Ila mungu habagui muuombeni hubariki wote anakubariki huku akiona uliofanya dhahiri na mafichoni

  • @marwamaisa659
    @marwamaisa659 2 ปีที่แล้ว

    Hilo nifundisho kwa viongozi ambalo linakuwa kama mfano kuwa hapa tz hakuna mtu ambayee yuko juu ya shelia leo kwako kesho kwangu viongozi wameona mfano hai.