Nlioota nimejiiinua juu karibu n nyumba na nilipofika upeo wa nyumba nikaoona ufuo wa bahari n ilikua samawati hivi, baadaye nikajipata kwenye mahindi n ilikua inavunwa ila haiijaisha n nikaamuka Maanake pleaseee
Jamani nimeota bahari inamawimbi makubwa sana kisha ikawa inatoa cheche za moto kisha nikawa namuokoa mwanangu alitaka kubebwa namaji hayo na ndani ha hiyo bahari kulikua nanyumba ambayo imeungua na moto hii inamaana gani please nisaidie tafsiri yake
My dear Mimi sielew mbona napojaribu kushikamana na dini na kuswali Sana Mindoto ya hovyo haziniachi , nimeota punda wanafanya mapenzi wengine wananisukuma natoka nje punda mdogo kalala mlangoni
Ahsante sana kwa utabiri ila jitahidi kutofautisha herufi R na L.
BAHARI siyo BAHALI
Hongera ubarikiwe madame Kwa maelezo
Niliota tulikuwa Kwa bahari nikaona vile watu wanaogelea na walikuwa wengi but mm sikuonlgelea
Nlioota nimejiiinua juu karibu n nyumba na nilipofika upeo wa nyumba nikaoona ufuo wa bahari n ilikua samawati hivi, baadaye nikajipata kwenye mahindi n ilikua inavunwa ila haiijaisha n nikaamuka
Maanake pleaseee
Cjapata jawab lang nmeona bahar Na familia yng imepanda ktk jahaz lkn mm cjapanda
My dear nifafanulie mimi huota naokota vyombo baharini nikiwa usingizini hii huwa ni nini?
imeandikwa katika vitabu vitakatifu ndoto za wazee kuanzia miaka hamsini kwenda juu tuzingatie, lakini hawa wasichana benefit of doubt
Mm nimemuona kasa kwenye bahari je hiyo inamaanisha nn?
Amen
Jamani nimeota bahari inamawimbi makubwa sana kisha ikawa inatoa cheche za moto kisha nikawa namuokoa mwanangu alitaka kubebwa namaji hayo na ndani ha hiyo bahari kulikua nanyumba ambayo imeungua na moto hii inamaana gani please nisaidie tafsiri yake
Dada mm naota sana ndoto ya bahari na naota sana ndoto za samaki wabichi sijui ndoto hizo inamaanisha nn,
Ndoto za samaki hukua bahati nzuri
Nimeota nacheza mpila mwezangu ukampinga akaaza kutoa damu puani
Nimeota niko Kando ya bahari ila maji ya bahari ni machafu Kama ya mto nini maana yake
Nn maana yke?
Naomba number yako
0759036936watsap
My dear Mimi sielew mbona napojaribu kushikamana na dini na kuswali Sana Mindoto ya hovyo haziniachi , nimeota punda wanafanya mapenzi wengine wananisukuma natoka nje punda mdogo kalala mlangoni
USIACHE kuswali kuepukana NAZO CHUKUA KITUNGUU SWAUMU na punje ya mkaa nuia WEKA kwenye mto unaolalia baada ya mwez unabadilisha mpk zitapoish
@@ladysasty my dear naweza Kupata no yako,.mi nasumbuliwa na mizimu
Natamani kuiuwa iniachie
Ukitak kulala weka kitunguu swaum chini y mto unaolalia izo ndoto zitakata
Too complicated