Ubarikiwe mno mtumishi hakika mafundisho yako yamenifanya nimepona moyo hakika ninakwenda viwango vya juu katika jina la yesu kristo ninaeñda kupokea mwaka kishujaa na kibabe
Sikuwa nimesikiliza ujumbe huu ila leo nimesikiliza na jambo aliloliongea limenikuta mimi leo hii, nikasikia sauti inaniambia sikiliza mafundisho ya uponyaji wa moyo, Na baada ya kusikiliza nimekusudia kusahau na kukimbizana na maisha. MUNGU akutunze Mwalimu
Aminaaa sana Mungu nakurudishia sifa na utukufu kwani unanijua kuniponya moyo wangu hakika nimejifunza kitu na nimefunguliwa kwa viwangi vywa juu hakika sinta vuka mwaka nikiwabeba watu walio nikwaza moyon mwangu nambeba Yesu aliye nidia pale msalabani akasema yote yamekwisha 😅😅😅😅😅😅 furaha ni dawa ya moyo ulio umizwa
Aminaaaa mungu za kuyakomboa maisha yangu kila pando usilolipanda utaling’oa kwa damuya yesu , naomba unipe aman ya moyo
Ubarikiwe mno mtumishi hakika mafundisho yako yamenifanya nimepona moyo hakika ninakwenda viwango vya juu katika jina la yesu kristo ninaeñda kupokea mwaka kishujaa na kibabe
Mungu akubariki mno nakuwa mpya kila naposikiliza mafundisho, umekuwa kusudi la Mungu.
Sikuwa nimesikiliza ujumbe huu ila leo nimesikiliza na jambo aliloliongea limenikuta mimi leo hii, nikasikia sauti inaniambia sikiliza mafundisho ya uponyaji wa moyo,
Na baada ya kusikiliza nimekusudia kusahau na kukimbizana na maisha.
MUNGU akutunze Mwalimu
Amina ubarikiwe
Aminaaa sana Mungu nakurudishia sifa na utukufu kwani unanijua kuniponya moyo wangu hakika nimejifunza kitu na nimefunguliwa kwa viwangi vywa juu hakika sinta vuka mwaka nikiwabeba watu walio nikwaza moyon mwangu nambeba Yesu aliye nidia pale msalabani akasema yote yamekwisha 😅😅😅😅😅😅 furaha ni dawa ya moyo ulio umizwa
Asantee mung na mm Leo nimepokea uponyaji wa moyoo❤
Mungu amtunze sanaa mwlm wetu na,azidi kumpa hekim na kibalii kikubw
Yesu naliita jina lako nami niwe salama ....
Amina Mungu abariki mbingu dunia
Najiunganisha na ibada hii
Niponywe moyo wangu
Aminaaaaaaaa
amen amen amen barikiwa sana sana
Najiu nganisha nikiwa morogoro na barikiwa sana
Najiunganisha nikiwa moshi Kilimanjaro