ATI KUNA MVUA By Gideon Kasozi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @officialvivonce4127
    @officialvivonce4127 6 หลายเดือนก่อน

    Gideon umeimba vizuri sana nimejikuta addicted na wimbo huu kweli umeni bariki na MUNGU ainyeshee HUDUMA yako

  • @GakwandiAsiel-ol5kv
    @GakwandiAsiel-ol5kv ปีที่แล้ว

    Nina kushukuru sana mr. Gideon, napenda nyimbo zako na instrumental tangu utotoni sasa nimefikia miaka 46 naamini ni mpango wa Mungu ili kuwezesha wengi kuufikia ufalme wa Mungu Baba kupitia kwako. Ubarikiwe saaana!

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina. Sabato njema kwenu nyote mnao sikiliza wimbo huu

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki sana tena haongeze viwango vyenu nimebarikiwa sana

  • @jonathanmsuya6546
    @jonathanmsuya6546 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana, nazidi kubarikiwa kila ninapousikiliza

  • @maselebundala2300
    @maselebundala2300 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Gideon

  • @mkkasongo1185
    @mkkasongo1185 5 ปีที่แล้ว +1

    Sichoki kuufata wimbo huwo. Asante Bwana

  • @gloriousgal2001
    @gloriousgal2001 3 ปีที่แล้ว

    Spiritually uplifting! God bless

  • @jacintharweikiza318
    @jacintharweikiza318 4 ปีที่แล้ว

    Mungu apewe sifa.

  • @israelotieno4560
    @israelotieno4560 5 ปีที่แล้ว +2

    Soothingly beautiful.

  • @maselebundala2300
    @maselebundala2300 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @dadarehema
    @dadarehema 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @roryenjoytoys4798
    @roryenjoytoys4798 5 ปีที่แล้ว

    like 6😉

  • @cathykulwa8101
    @cathykulwa8101 2 ปีที่แล้ว

    Amen