Mjadala Mzito Kuhusu Historia ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, Dorothy Semu, na Salum Bimani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Wakati chama cha ACT-Wazalendo kinatimiza miaka kumi mwaka huu tangu kuanzishwa kwake, umefanyika mjadala wa kina kuelezea safari tangu kuanzishwa chama hiko mwaka 2014. Mjadala huu ni sehemu ya matukio katika Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia wa chama hiko uliofanyika mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

ความคิดเห็น • 9

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hawana chochote acheni uhuni big up chadema

  • @edmundnditi
    @edmundnditi หลายเดือนก่อน

    Ukisema ACT ni CCM basi unataka kusema Uchaguzi wa 2020 CHADEMA ilishirikiana na ACT ikijua inaungana na CCM

  • @benithomwapinga9931
    @benithomwapinga9931 5 หลายเดือนก่อน

    Zitto ni muongo sana hivi wewe ndio musisi wa hicho chama kweli?Acha uongo umeikuta Act ulichofanya wewe ni kuingia na kuibadili majina tu hukuwa muasisi,na Baregu hakuwahi kuwa Act

  • @JumaDoce
    @JumaDoce 5 หลายเดือนก่อน

    Nuneni act ndio inanawiri sio Ilê tena yakina wale waliokubali kununuliwa kama mbuzi wa mnadani na kuhongwa ukurugenzi wa maji

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 5 หลายเดือนก่อน

    Ulitaka kufanya mapinduzi ndo maana ulifukuzwa

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 4 หลายเดือนก่อน

    Zitto ni kiongozi

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab4369 5 หลายเดือนก่อน

    sema baba semaaaaaah

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab4369 5 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏

  • @EliakimMollel-r2q
    @EliakimMollel-r2q 5 หลายเดือนก่อน

    Ma ccm haya hamna lad has mnaboa