😳 KIMENUKA! VAR IMETHIBITISHA! CAF IMETOA TAMKO KALI KWA SIMBA SC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    WAPUMBAVU NYIE KESHA PEWA BEKI BORA WA WIKI NA PESA JUU MTAJIJU UTOPOLO NYIE ❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE OYEEEEEE

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 วันที่ผ่านมา +2

    Libya raia wao vichwa vibovu sana. Gadafi aliwapenda sana wakahisi wanajipendekeza wakamuua. Hivyo dunia tu iwatambue ni waaina gani na iwatrit wanavyotaka

  • @AbdullahKilindo
    @AbdullahKilindo 2 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa hiyo mngependa iwe penati mngefurahisana

  • @joshualusato2099
    @joshualusato2099 วันที่ผ่านมา +1

    Ninyi m najua sana sheria za mpira kuzidi refa ambaye wajibu wake ni kutafsiri hizo sheria

  • @MillanFAHMI
    @MillanFAHMI 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ujui mpira ww

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo VAR niya kwenu hapo au huyo mchezaji kajirusha

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hamna mchambuzi Apo,we mbele ya mwamuzi Apo Apo we unasema penati, Chamalone amegusa mpira.

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 2 วันที่ผ่านมา +2

    CAF HAWEZI KUWA WAJINGA KIASI HICHO kama GOLI la YANGA lilikataliwa KABISA sembuse penalti ya MASHAKA kama ILE? VP kuwapiga na kuwarushia chupa za MAJI JE na cc tuwapige WAKIJUA KWETU?

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahiyo macho yenu ndoo VAR AU UTOPOLO MKUBWAAA NYIE

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko วันที่ผ่านมา +1

    Ok nshort Ile ni ngumu kwamacho ya kawaida hata var pia huwz wka penat

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani penati ni goal inategemea

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hebu vilivyopita vimepita sasa nyie mnataka wapewe penati haya wakening imetoka hiyo

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ehee kwa hiyo ?

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 วันที่ผ่านมา +2

    TUFANYE WAMESHINDA WAO AL AHLI MOJA SIMBA BILA VP HAPO 😂😂😂😂 KELELE NYIIIINGI

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hyo ndio sheria ya mpira hakuna namna

  • @JaydanJohn-b4x
    @JaydanJohn-b4x 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo mazito haya 😅😅😅

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 วันที่ผ่านมา +3

    Pumafu wee, kwahiyo mpira ulitolewa nje na nan?

    • @Prosperkaluta
      @Prosperkaluta 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alianza kumfanyia dhambi mchezaji kabla hajautoa mpira nje.

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian วันที่ผ่านมา +1

    Tuwapige na sisi

  • @Cristiano.UR123
    @Cristiano.UR123 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmmh

  • @abdullatifushambe4435
    @abdullatifushambe4435 วันที่ผ่านมา

    Var ilishindwa kufanya maamuzi kwa yanga acheni hizo

  • @AdabertChilumba
    @AdabertChilumba วันที่ผ่านมา +1

    Mbona kichwa cha habari na maelezo ni viti viwili tofauti? Acheni upumbavu basi

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni mbinu za kula mb zako

  • @tanashatweet3292
    @tanashatweet3292 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahyo kumbe n goli halali😂😂😂😂