Amen hallelujah hallelujah, nawapongeza sana watumishi wa mungu Kwa wimbo huu unapo tukumbusha Siku ambapo tutakapo mlaki mungu wetu tukivuka mambo ya mwili huu . Hakika nimebalikiwa sana ,may the Lord bless you for this great work you did . Amen and amen hallelujah
Ahsanten kwa kaz nzuri Mungu awe pamoja nanyi
Mmenibaliki saana, naomba Mungu tupate nanyi wawinguni ndio tuimbe pamoja wimbo mpya
Mbona maneno yanapishana na midomo
Heri kuwa na tumaini in Christ alone amen for the good song yakutupea tazwira nzuri ya hiyo time
Ndugu zangu nawakubali sana uimbaji wenu
Beautiful choir
Lwamgasa Adventist chior
Numbu kwema?
Mungu awabariki
Such a beatful song
Asanteni sana Na Mungu awabariki
Kama mtunzi wa nyimbo za choir.Utunzi huu mzuri sana barikiwa choir, Mungu aendelee kuwatumia
AMINA NAWE BALIKIWA PIA
Hongereni sana,Audio iko poa pongezi kwa producer lakini wa video amezingua picha
Mbn wanaume wachache hivy
Amen hallelujah hallelujah, nawapongeza sana watumishi wa mungu Kwa wimbo huu unapo tukumbusha Siku ambapo tutakapo mlaki mungu wetu tukivuka mambo ya mwili huu .
Hakika nimebalikiwa sana ,may the Lord bless you for this great work you did . Amen and amen hallelujah
Hongereni sana nimeburudishwa nawimbohuu hongereni bibi mlio upamba wimbohuu mungu awape maishamarefi
Amina Ubarikiwe Nawewe
Jmn hongereni San mungu awabariki wote🥰🥰jmn had raha🙏
Barikiwa sana na Bwana Angel said
Amina balikiwa pia
Bibi mpaka kieleweke
MUNGU awabariki sana
AMINA
Audio iko poa sana ila video bado haijaitendea haki audio hii,, ametumia camera mbili zenye uwezo tofaut kabisa picha zingine hafifu
Sawa mtumishi tutajitahidi next time
Stive umeua kaka hiii audio swafiii
jamani watu wanataka mawasiliano ya mpiga solo tunaomba plz
Salaam
Amina Mungu awatumie zaidi kwa jumbe za matumaini kupitia muziki.
Balikiwa pia
Balikiwa pia
Barikiwa Sana Muyengi
Kazi nzuri sana Mungu awabariki
Wimbo mzuri Sanna
barikiwa Sana
Amina BWANA ATUKUZWE
Pongeza kwa mpiga solo ananibariki nahitaj masiliano nae tunamhitaj
Ukimwitiji mpigasolo utampata bila shaka na ubarikiwe sana
wewe wapi?
@@saluluzuga3978 Nipo Lwamgasa geita
Kumbe upo gasa tuko pamoja
Nawakubari sana lwamgasa Muende mbali
Ubarikiwe sana
Asanteni sana mungu awabariki