Mkuu wa mafunzo ya kivita JWTZ ziarani Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wabariki wanajeshi wetuuu

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awalinde na awabariki murudi salama Amina.

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 3 ปีที่แล้ว +3

    JWTZ JESHI BORA DUNIANI

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu bariki vikos vyetu 💪💪💪

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki TANZANIA

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Africa yangu.

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 ปีที่แล้ว +6

    General Kapinga mbabe wa medani za kivita... Tanzania Oyee

  • @gadielpaulo8925
    @gadielpaulo8925 3 ปีที่แล้ว +5

    Salute kwa Jeshi letu Nuru yenu inaonekana kote Duniani nidhamu na utii wa hali ya juu

  • @tegezdomin8363
    @tegezdomin8363 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว +6

    Wanajeshi wetu wamekuwa mchango mkubwa sana barani Afrika ukianzia na wapiganaji wa frontline states wakiongozwa na Tanzania. Wengine wanabeza nchi yetu ati kwa kusema hakuna uhuru na haki! Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania.

    • @timbukwa9771
      @timbukwa9771 3 ปีที่แล้ว +1

      @Charles,,siku zao za kuumbuka karibu zinafikia ukingoni,

  • @djumakayembe8947
    @djumakayembe8947 3 ปีที่แล้ว +3

    Tuhitaji DRC iwe na amani yakudum plz

  • @issaisack5037
    @issaisack5037 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awalinde🇹🇿

  • @saidmhamed6664
    @saidmhamed6664 3 ปีที่แล้ว

    May the Lord bless TPDF

  • @yambamwamba1971
    @yambamwamba1971 8 วันที่ผ่านมา

    Mbona ulindaji wao sisi wanainshi hatuioni?

  • @victorajalaki6747
    @victorajalaki6747 2 ปีที่แล้ว

    hao wanao ingia ahina hiyo kibandia tu! manayake amsikii wa monisco munazidi kuongrza wengine ?

  • @flova7022
    @flova7022 3 ปีที่แล้ว +1

    Wongoni kumbe nao wami keshini...kapinga..ndunguru

  • @issahhussein1922
    @issahhussein1922 3 ปีที่แล้ว +2

    Sawa luteni

  • @julaimbwilo6710
    @julaimbwilo6710 3 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania tuyaombee majeshi yetu ya kulinda amani maeneo mbalimbali duniani waendele kuifanya kazi kwa weledi

  • @amosafrica2350
    @amosafrica2350 3 ปีที่แล้ว +6

    Dunia hii kuna watu wanafanya kazi kubwa ya kugusa uhai wa watu wengi lakini hawana umaarufu. Mungu tu ndiye anawajua na atawalipa. Ila kuna watu kitu kidogo tu cha kijinga ana trend dunia nzima muda mfupi! Maisha haya!

  • @husseinsimba7946
    @husseinsimba7946 3 ปีที่แล้ว +2

    THE NEXT CDF BELIEVE ME