Huu wimbo wa Kenya huu niliupenda sana kipindi kile nilipokuwa shule ya msingi, ilikuwa mwaka 2002, dahh ni nzuri yaan had utafikiri ni kwaya hahahahaaaaa Kenya hoyeeeeee naipenda kutoka Tanzania Manyara.
Saw some guys in Nairobi last week dancing on this tune last And i had to come here. Reminds mind me on my days in primary school, life was good 😢😢 Today its tuff 😂
Hii wimbo nikiwa mtoto ilikuwa inacheza Kwa radio station zote Kenya, ukienda shule watoto wote wanaimba tu "wao husema fungeni milango ankujaaa" the good old days ata hakukuwa na TV ni jirani akona Great Wall ya black and white kila mtu anaenda kuona news za saa moja kwake
When I wos young boy I listen my dady sing this song becouse my family wos refuge at Tanzania from 1959-1994 so now when I listen this song couse me to remember my dady die to this year 😭😭😭😭😭😭
Came here 2024 do nielewe hii mistari visuuri❤
❤❤
Dah.. Nipo nayo tena na mwaka mpya 2020 kama tupo pamoja gonga like apa🔥🔥🔥🔥
Nani tuko na yeye 2020... Tupewe pesa pamoja 😪😋😋💪💞
Huu wimbo umenikumbusha megi
🤣🤣🤣
0692628806
🤣🤣🤣
Miaka Ile ya ujana wangu huu wimbo ulivuma Sana.
2020 wacha like
@Mary Jay mambo? Niaje? Stay safe, healthy and wealthy in this tough days of covid19.
Naupenda wimbo huu! Kweli unakumbusha zile enzi za utotoni
Huu wimbo wa Kenya huu niliupenda sana kipindi kile nilipokuwa shule ya msingi, ilikuwa mwaka 2002, dahh ni nzuri yaan had utafikiri ni kwaya hahahahaaaaa Kenya hoyeeeeee naipenda kutoka Tanzania Manyara.
Na mimi nasikiliza huu wimbo 2024, nikiwa Manyara.
Mimi pia manyara ✌️✌️✌️
Nani bado Anasikiza hii wimbo 2021 a memory
mimi
Npo hapa
Saw some guys in Nairobi last week dancing on this tune last
And i had to come here.
Reminds mind me on my days in primary school, life was good 😢😢
Today its tuff 😂
😅😅 today it's tuff 😂😂
So you people you no longer love this song ama......... May God grant us whatever we need 🙏🙏
Amen
Zile enzi hii inaplay juu yaja tausi ndege wangu, hit like tujuwane. Missing childhood days
Oyoooooo
Nzuri tu kutoka morrocco naipenda
NImeikubali kinoma sana hii ngoma
Kitambaa cheupe
Tausi ndege wangu
This gives me nostalgia, reminds me of when my mom was bringing me and my sister up, she was always listening to zilizopendwa😢
😂😂😂😂😂😂😂
Locked up in Nairobi ...miss my little daughter who is far...love the song
2023.. Woke up singing this in my mind and thank God 'baba nipee Pesa' worked as a search
2022 it's still a master piece....this song reminds me of my dad.... rest in peace dad🕊️😭
This was my mum's favourite song..listening to this song makes me remember her
Bentina Mariita amen
I like this song
Inanikumbusha mengi saana
Love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Still watching 2019, from Tanzania(Sakina)
I feel relaxed wen listening to this old songs. Who else here doha 2020 listening to it
Kimoja
Still watching 2019....
Can't forget my dad's Phillips radio..those days
People getting sturdy with this song is so wholesome❤
2020 Tanzania nani kaicheki
2021 and still feeling the vibe 🔥🔥🔥
Nilikubali Sana ili song 2021 Leo nalicheki twende sawa gonga kitu Kama nawe unalikubali
This song reminds me of early 2000.what a nostalgic experience
Good old music. I'm so in love with music from the old days. Sometimes I think I was born a generation late thani was supposed to.
right there with you pal!
Me too buddy
Feel the same way
You're an old soul...
This is good music and its what sauti soul is trying to maintain👌👌⚡⚡
Anyone here 2024, please like me❤
Rombo Kilimanjaro kipindi icho radio inashika kbc
The Older people will remain to be the best.
Mtu anieleweshe hii wimbo, Bwana ndo Mmbaya au Bibi...nilishindwa
Still watching it,,,, 2018 sunday morning woke up with this tune..... We shall forever miss these kind of songs
Wake-up-morning-school-time song, uvivu nayo😊
Nakupenda huu wimbo❤
That woman has this golden voice man...2020 Mpo lakini?
am here, i Love it
kitambo Sana uuwimbo Nikiw mdogo niripenda Sana kuusikia kazi nzuri Sana from tz
Aliyeletwa huku na Mariam wa Bss agonge like twende sawa
Class of 2023 let's check in and get hit by nostalgia 🥲
Zilizopendwa I still love this song when I was a little girl and now am a woman
how old? I'm now 30
Still am in love with this sec, may,2019
Wallahi nikiwa na miaka 5-12 hii ilkuwa moto
Hii wimbo nikiwa mtoto ilikuwa inacheza Kwa radio station zote Kenya, ukienda shule watoto wote wanaimba tu "wao husema fungeni milango ankujaaa" the good old days ata hakukuwa na TV ni jirani akona Great Wall ya black and white kila mtu anaenda kuona news za saa moja kwake
Nani anasikiliza huu wimbo 2019 twende pamoja
2020
Good music, we must make sure our kids listen to this... this should not be lost... good old times...
this song was part of my childhood, zile enzi za KBC radio
Such wonderful memories
Hahaha!!! It is wonderful
Wonderful enough
muziki muzuka, nakupenda, #zilizopendwa
Peninah mureka kwn hizo enzi za KBC ulikuwa unajielewa ww mbn we bado katooi uso wathibitisha huo wakati ndo ulikuwa wangu
Assanti sana ! Wimbo nziri kabisa!! Bravo, our neighbors Kenyan artist
Yaani hizo siku,,,huu wimbo na ule wa amka kumekuja,,twende kazini, tuijenge Kenya
si I have been looking for this song 😅😚😚😚
Remember from my Ugandan village, only know a little Swahili
Huwezi amini huu wimbo nilikuwa najua wa Injili miaka hiyo Ha ha ha🤣🤣🤣 missing those days
😁😁😁🏢Mimi pia
Love from Tanzania
Mimi pia lol 🤣🤣🤣
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Hahaha
When I wos young boy I listen my dady sing this song becouse my family wos refuge at Tanzania from 1959-1994 so now when I listen this song couse me to remember my dady die to this year 😭😭😭😭😭😭
muziki ndo huu ,,MTU ansimba toka moyon,,,,2019,,,,,mh Leo nyege nyegezi,,,,dah
😂😂😂😂😂
ujumbe yako mzuri sana
Watching 2019 from Texas
Wakati kulikua na wasichana sio Hawa MA slay queens WA siku hizi. Kuvaa kudance kiheshima.. Still here 2019 with who else
☝️☝️☝️✋✋
In 2020 en still listening,, bwana nipe pesa😻😻
This still my mom in law's favourite up to the moment.
Wow 2020 ndani ya bwana nipe pesa
This song though, superb content ,,,,,, I've been listening to this song for so many years ,,,,🤩🤩
2020 bado tuko
Ngoma za kale ndizo ngoma
You r real legends 💪
Natamani kuona hao dancers sai 😂
Hamonize
Watu wote wa zanzibari......gonga like 2020🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ooh!!my girl!!!!nakumba mbali_Richard mig from Tanzania
Back in childhood ,I love this,bring some more bro
Such muziki 🔥🔥
This song was Top in 1999 and still hit 2019😬
Was u alive
@@machagekihore123 was u? I was 9
naomba mniambie iyo nyimbo ya mwaka gani wowote anae sikiliz 2019❤
I think early 70s
70's really??? Hiyo simu alishoshika ilikuwepo 70's???
Nakumbuka nikiwa rombo kama farasa la kwanza amna redio za bongo ilikua redio za kenya tu redio KBC
haiya nashangaa kuskia hayo,tz hakukuwa na radio ?
November 2020 I remember listening to this on KBC idhaa ya taifa
Nakumbuka mbali sana.. r.i.p mama yangu mzuri.. dah.. naumia sana..
2018.Memories.I miss days of KBC.
They is a lot that this song reminds me of,, my mum struggled raising us but now am in a better position i always do good for her
Unbelievable this song curries a huge education and is the all centuries good sound of African culture, let it be a lesson to every body.
th-cam.com/channels/Xvl7dhvRkkJek5ZEAqlShA.html
Nkai mm nikajua wimbo wa kanisa my childhood world of imagination
2021 April 20th and still hits raw like it's yesterday
Realy emotional song..!!
Waaah covid 19 nostalgia saa hii ndio naelewa hii song
Still watching in oct 2018. Naiupenda sana
Since 19bc still watching it
Mziki mzur ni mzuri tu
Good good good... I miss class 5 ya year 2000
Memories,,, one of the favorites back then,,, #childhood was awesome
Tuko corona....na Niko hapa
sisi watu wakalee ndo tunaelewaa tu stakii kusikiaa fujo za watoto wa kikwetee💔😋😋kamaa na ww ni wakito like yko tujuanee jamanii
Still watching 2018😍😍😍
😍😉😉
I can't believe I usually watched this before going to school when I was in baby class
Kenya to the world
Timeless✨..2020😁
2024 tbt when my grandchild saw this chat pls like it's your grandmother❤️😅😅
😂😂
Muziki bila jasho I miss my old days for sure
Huyo mtoto mwenye kofia anajua kuect kama kweli 😂
I wish you did more music, so sweet
Wow the guitar in this song is out of this world ❤
can't get enough
2019 sep still a hit for me
Aibu ni mbaya.kaa nyumbani
Mtu anipee like 2021
2019 and going strong
Wow,nakumbuka mbali na hizi songs
Good flashback pale tukiwa watoi
Old is gold 2018
I was watching this back then as a kid... Now am married to that kind of wife 😂
🤣🤣🤣🤣
Mara hii nimeshakuwa mzee duu...miaka inakimbia kwa speed ya light...nilikuwa mtoto mdogo mno wakati hii ngoma ikihit
Burdan Tosha.. current music Loh..