Kenya twasherehekea mashujaa wa uokozi hotelini Dusit

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Shambulizi la jengo la Dusit eneo la 14 Riverside limedhibitisha uzalendo wa wakenya katika wakati mgumu. Kuanzia Douglas Kanja - kamanda wa GSU, Musa Yego - kamanda wa Flying Squad, George Kinoti - mkurugenzi wa jinai, Inayat Kassam - raia ambaye alijitolea kuwaokoa wananchi sio tu katika shambulizi la jana bali pia wakati wa shambulizi la westgate septemba mwaka 2013. Maafisa wa kitengo cha recce, na wale wa jeshi, wahudumu wa kujitolea wakiongozwa na abbas gullet na wengine wengi ambao kwa njia moja au nyengine wametukumbusha kuwa umoja ni nguvu! Tazama.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 228