ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Tayari mumeandamana.Hongera sana Mbowe Aikael Freeman
CHADEMA BONGE LA DUDE ,LIMETIKISA NCHI NZIMA MAMAE
Mbowe kwa hali hii inamaanisha ww ni mkubwa sana tena sana viva chadema
Tanzania ni inchi maskini sana pole
Mtekaji amewazid polisi ujanja,,,ameuzidi Sheria,,,Mtekaji Yuko Juu ya mfalme,,,Angekuwa chini angekuwa alisha Kamatwa siku 1..
Polisi mwuwe na hofu ya Mungu kila mtu ana familia.
Hamna kaz ya kufanya nyie mnashindwa kukamata wauaji huko
Yaani hii inchi we acha tuu
Hata hiyo ni kazi yao tulia dogo
@@jassonnelly3445 we ndio dogo hujielewi mnapelekwa pelekwa 2
@@kisrahcogar8538 sasa napelekwa na nani sina shobo na siasa naishi maisha yangu sitegemei chochote sidai chocho
Chadema hakika makamanda
Ishara tosha mshahara ni mzuri
Kweli chadema nimewakubali mmesababisha jeshi lionekane kupiga mazowezi bila kupenda big up for cdm
GHARAMA zinatumiaka jamani
Ingekua angalau Kila jumapili mnafanya hivyo ingependeza sana Kamanda au hiyo ni Tisha Kwa chadema???
Kumbe askali mko wengi hivi? Sasa kumbe watu wanatekwaje? Viva mbowe✌️✌️✌️
Ebwanae kumbe chadema wanatisha hivi, duuh
Mngekuwa mnafanya hayo kwa ajili ya watanzania tungelala milango wazi ila kwa ajili ya CCM mpo tayari kulala bila kula mnalinda serikali
Baadala ya kuzuia waharifu mnahangaika tu
Naona mnajiandaa kuuwa watu kama mlivozoea kuua
Saula tena?Mbona hamsauli sasa makamanda?
Vichwa vyenu ni maji ndio maana mnapelekwa pelekwa tu kama makondoo, mnaishi kwenye mabanda ya mbwa, pumbafu zenu
Weken siraha chin kam nyie n wanaume
Intimidation 😢
Hakuna jpya nyie😂😂😂
Hapa mara Kesho warisha wachezeshewa panga za kufa MTU, yaani Kesho nisikutame na mrisha
Waandamane washenzi waone
Vitambi ss mbele😂😂😂 vipohoi
Mbowe unastali pongezi kwa kutikisa nchi wewe ni babalao
Askari vitambi😅
Watu wanatekwa na kuuwawa hamfuatilii Wala kuwakamata,,, mkisikia watu wanataka kuandamana kupinga utekaji na mauaji mnawazuia....AJABU mno🤔
Mue mnafanyaga hivyo kulindan. Laiya na malizao na watikaji muwashuhulikie basi msiachie mpaka watuwatakekuandamana ndiyo muamke
Sasa ivi raia mmeanza kuwashambulia polisi
Hiyo nguvu ingetumiaka siku zote hivo nadhani matumikio ya utekaji yangepungua
Isingepungua coz niwao wanateka
Wapeni shuruba hao😂
Ujinga hautaisha Tanzania haya bwana nyie ni wakinamungu
Safi sana polic. Maashaallah❤❤❤
Hahaaaaaa watu bwana hapo mungu anawazoom anacheeeeka
Vitamb
Baada ya kuwasaka watekaji wanaangaika na maandamano ya chadema
Umeona hapo kulikua na maandamano?
Hao ni miongoni mwa watekaji
😂😂😂😂😂😂
Hahahaa police 😂😂😂😂