KWA KAULI HII YA LISSU NI WAZI SASA AMEAMUA KUINUA MAPANGA | URAFIKI WAKE NA MSIGWA, MBOWE AMJIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naamini kama Mbowe atalazimisha kutawala kama mwenyekiti basi ujue chadema imefika mwisho ila kama mh. Mbowe atakubali kuachia naamini chadema itakuwa imara kuliko sasa, misimamo ya mh. Mbowe na mh. Lisu ni tofaut. Lisu kwanza ndio mambo mengine yaendelee.

  • @aloycemchuo7687
    @aloycemchuo7687 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi vyama havijafikia kuwekeana ukomo wa madaraka,vinahitaji ua
    ngalifu Sana la sivyo kunasiku wataingiza funza

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mapambano anayoyazungumzia Lisu siyo dhidi ya Mbowe, bali ni dhidi ya CCM, kwa sababu anaamini kwa hali iliyojitokeza katika chaguzi za hivi karibuni yaani 2019, 2020, na 2025, lazima chama kibadilishe aproch Lisu anataka kiendeshwe kiharakati zaidi wakati Mbowe anaamini katika upinzani wenye busara zaidi

  • @EagerOasis-ld8kq
    @EagerOasis-ld8kq 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mapambano dhidi ya ccm

  • @SulePonda
    @SulePonda 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe mlafi wa madaraka