I do like this attitude and spirt! Keep it up boys till we reach finals and bring CAF TROPHY to TZ. For us every team we face is a tough opponent and a stumbling block on our way towards achieving our goals
Ila wachezaji waache ubinafsi kwenye mechi ya vital o tungefunga zaidi ya nane ila kunasehemu ya kutoa pasi wachezaji wanalazimisha kufunga mfano kwa Aziz ki na max nafasi walipata zakumtoa pasi ambazo zingekuwa magoli ila wakataka wafunge wenyewe ushirikiano ukiwepo magoli mengi sana yatafungwa na msipo lizingatia Hilo huko club bingwa michezo migumu inayofatia ubinafsi utaicost team
uko sawa, ila wakati mwingine huwa ni tofauti kama timu ishapata matokeo na ikiwa inatafuta matokeo. pia unakuta timu imezidiwa sana hasa ktk kutengeneza nafasi, hapo ndo utahisi ni ubinafsi ila wao wanacheza pata potea aone labda goli linaweza kupatikana
HII NI ISHARA KWAMBA MAONI YETU MNAYAFANYIA KAZI,KEEP IT UP ,WE PRAY AND PLEDGE IF THERE IS ANY MEANS OR WAY OF PHYSICAL IMPROVEMENT TO HAVE A LEVEL OF EUROPEAN TEAMS STANDARD WE WILLSURELY WIN AFRICAN CLUB CHAMPIONS LEAGUE CUP,AS WE ALWAYS FAIL LACKING PHYSICAL BATTLES MENTALY NOT QUALITY. KEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEP IIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIT UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP,TIMU KAMA HAYA MA FOUNTAIN NA TABORA NOT OUR STANDARD .
Kolokwinyo zavala! Hakikisha unaendelea kumeza panadol za kutosha ili angalau upunguze maumivu lakini tambua Panadol haziondoshi mateso.. kwa hiyo endeleeni kuteseka kisha go to hell!😂😂😂😂😂
Tujitaidi kujisajili ili kuendelea kupata wachezaji wazuri daima mbele nyuma mwiko🇹🇿🔰✔️
kweli kabsa
Kabsa kbsa😊
Nimeona kitu kinanipa wasis baka kamanda baka kajishika msuli wa nyuma ya paja
mtu wa maan kabisa
Hakika
IPO SIKU KUNA TIMU KUBWA AFRICA HII ITAKUJA KUPATA AIBU KUTOKA KWENYE HILI JESHI LA GAMOND IPO SIKU 👏👏
Yanga daima nyuma mwiko hongera wachezaji wote kwa ushindi 1 rais wa yanga 👏👏👏👏👏👏
I do like this attitude and spirt! Keep it up boys till we reach finals and bring CAF TROPHY to TZ. For us every team we face is a tough opponent and a stumbling block on our way towards achieving our goals
Kweli Yanga wapo kiuwelred zaidi, na Wana jambo zito msimu huu.
Mungu akubali dhamira na malengo yetu yatimie aamin
Allah awanusur n madua mabay y mahasid kwa uwez wa Allah tutaimaliz safar salam.
Daima mbele nyuma mwiko 💛💛💛💛💚💚💚💚
Love yanga
Mungu ibariki yanga baba inshallah tutashinda daima mbele nyuma mwiko
Ila wachezaji waache ubinafsi kwenye mechi ya vital o tungefunga zaidi ya nane ila kunasehemu ya kutoa pasi wachezaji wanalazimisha kufunga mfano kwa Aziz ki na max nafasi walipata zakumtoa pasi ambazo zingekuwa magoli ila wakataka wafunge wenyewe ushirikiano ukiwepo magoli mengi sana yatafungwa na msipo lizingatia Hilo huko club bingwa michezo migumu inayofatia ubinafsi utaicost team
uko sawa, ila wakati mwingine huwa ni tofauti kama timu ishapata matokeo na ikiwa inatafuta matokeo. pia unakuta timu imezidiwa sana hasa ktk kutengeneza nafasi, hapo ndo utahisi ni ubinafsi ila wao wanacheza pata potea aone labda goli linaweza kupatikana
All the best chama langu💚🖤💛
Ndio maana mnashinda sana, mbajiandaa vizuri kila wakati. Pongezi kwenu💚🇹🇿🇹🇿💛
Nawaombea mje na Ushindi, mpambane kweli Kagera uwa inakomaa sana.👍👍👍
Leo wa kwanza🎉🎉🎉
Safi sana Jeshi Langu
Hakuna Kucheka na Kima
Yanga kama Real Madrid 🔥🔥
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
Let us proud of our team
BALEKE 🎉🎉🎉🎉
Mzize ni drogba mtupu🎉🎉
Timu hii ni Bora sana
Chama baba chamaaaaaaa🎉🎉🎉💛💛💚💚🔰
keep building the greatest Team ever seen in our Country
Good luck!
Mungu awabariki sana!
Tujisajili jamani tunapenda wachezaji wazuri awaji bila kuwa na pesa
jamani tuji sajili na uana chama
Chama langu 😇🔰🔰🔰🔰🔰
kila atua dua daima mbele nyuma mwiko
oneni watu wanavomwaga jasho alafu m2 ukipigwa hamsa mnallalamika kaeni kwa kwa ku2lia wapinzani wa yanga
Hangalia sehemu ya mazoezi timu km za mbele wanavyolelewa alafu mtu anapigwa 10 mnasema wanatumia madawa unakili kweli weee
Ndo kazi yao, hakuna kulala wanasafari ndefu sana bado kabisa
🙏🙏🙏💪💪💪
HII NI ISHARA KWAMBA MAONI YETU MNAYAFANYIA KAZI,KEEP IT UP ,WE PRAY AND PLEDGE IF THERE IS ANY MEANS OR WAY OF PHYSICAL IMPROVEMENT TO HAVE A LEVEL OF EUROPEAN TEAMS STANDARD WE WILLSURELY WIN AFRICAN CLUB CHAMPIONS LEAGUE CUP,AS WE ALWAYS FAIL LACKING PHYSICAL BATTLES MENTALY NOT QUALITY. KEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEP IIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIT UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP,TIMU KAMA HAYA MA FOUNTAIN NA TABORA NOT OUR STANDARD .
Ili zoezi walilomalizia kina aucho unaweza kufa mapaja😂😂😂
Yanga laha San mazoezi mazuli san
My team 😂🎉
Huu ndo uchawi wenyewe sasa! Hakuna uchawi ktk mpira wa kisasa kama huu!
Madawa ya wachezaj wetu yanaazia hapa
Jamn I yanga au ipo free masoni
Sanda huku wanapiga kelele sana jamani
🔥🔥🔥
A ziz ki. Hayupo
my team 👊
Ongeran San from USA 🇺🇸
Yang
Daima mbele
Anzeni kumnoa Baleke aive na yy
Hizi mambo huzikuti kwa Madunduka😂😂
Takiri yao anaelewa ya kuwaweka kambi km hiyo alafu hao viongozi wao wanaueledi wa mpira
ALISEMA ANAOGOPA WACHEZAJI 2 ENGINEER HERSI NA ALI KAMWE 😂😂😂HAKUKOSEA 💚💛💚💛
Halafu kuna mwehu mmoja anasema yanga wanatumia madawa ya kuongeza nguvu ......hivi hawaoni mazoezi mnayoyafanya
❤❤❤
Aya ndio mambo tiliyakosa muda mrefu tuwashukuru walowekeza
Mm nampenda boka nipo Kenya ukweli msinishangae
Background music ni nzuri sana ila mpunguze kidogo sauti ili tuburudike.vizuri zaidi. Yanga raha jamani.
Tukajisahiri tupate kadi ya uwanachama ili club ipate wachezaji bora
Daima mbele, nyuma mwiko!
hawa ndiyo watu wakazi sasa...!
sidhani kama haya mazoezi yako kwa madunduka hua nawaona wanarukaruka 2 kule kwenye mashamba ya mpunga
Viva yanga
Yanga taifa kubwa. Daima mbele nyuma mwiko. MNYAKYUSA toka ZANZIBAR
YANGA inaitwa Umoja wa Mataifa mikia ndio inaitwa taifa kubwa hata zamani kulikua na kanga zimeandikwa hivyo
Rudi nyumban zanzibar akuna kabila,wanajiita waswahili
Aziz ki where are you
Kwa hamisa mobeto
Jmn mngewaacha wapumzike ata Leo tu kuna timu hazitakuja uwanjani😂
Mabingwa balaa tupu❤
Hakuna kupowa
Mazoezi ya yangu sio mchezo jasho lazima likutoke la kutoshaa 😅😅😅😅
Faridi Musa sioni hat kucheza
Anatokea mjinga mmoja Anasema wachezaji wa Yanga wanatumia madawa yakuongeza nguvu
EXPENSIVE TRAIN FOR BRING CAF TRAPHOY IN TZ. DONT LISTEN WHAT THEY SAY JUST LOOK FORWAD. ONE DAY YOU" LL READ MY COMMENT.AFTER MISSION ACCOMPLISHED.
Ipo siku yanga tutawapiga 5 -0 alafu chama mzee
Ila sijamuona Max
Yupo mbona
@@frida-oi6kw au sijaangalia vzr
Ibrahim bacca unategea komaa mwamba wetu
Hakuna kupoa,,, next stop kaitabaaaaaaaaaaa wahaya twaja huko
Khee shekani yupo ?😂
𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐟𝐚𝐜𝐢𝐥𝐢𝐭𝐢𝐞𝐬 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐮𝐥𝐚𝐲𝐚 𝐭𝐮
Wanaume wanamwaga jasho tu,,,
Mkude kamwagika maji😅
Mbon kam kibwan shomar anaraa shida nn
Nani kamuona chama akisema mabululu
🙏🙏🔰🔰💚💚💛💛💛🔥🔥🏆
Kwani kibwana kafiwaa????😂😂😂😂
Kwaio pacome anajua kisawhili
Hajui hata
Watu.ktk kusajiri ndio km wazito furaha wanaitaka jitahidini kuwa wana chama kamili
Watu wanakula tizi uku la kuuwa mtu
Utopolo
Kolokwinyo zavala! Hakikisha unaendelea kumeza panadol za kutosha ili angalau upunguze maumivu lakini tambua Panadol haziondoshi mateso.. kwa hiyo endeleeni kuteseka kisha go to hell!😂😂😂😂😂
Kolo
Ubaya ubwela ndo huu Sasa! Kolozidad mpo!
Unasemaje bibie Deborah
WAACHE tu kutumia
KWANAMANA HII NI LAZMA WASEME WANATUMIA MADAWA DADEK...!
💚💛💚💛🫶🏻
yao hakumsalimia baka na baka ni kama alijua like hawakosawa
𝑴𝒚 𝒇𝒂𝒗𝒐𝒓𝒊𝒕𝒆 𝒕𝒆𝒂𝒎
𝙖𝙢𝙖𝙣 𝙬𝙬 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙣𝙜𝙪𝙧𝙪𝙬𝙚 𝙛𝙘 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 𝙪𝙣𝙖𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙬𝙬 𝙩𝙪 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙮𝙚𝙩𝙪 𝙠𝙚𝙣𝙜𝙚 𝙬𝙬 𝙨𝙖𝙣𝙙𝙖 𝙛𝙘
Haki mm nikwambie ukweli atanikifa Leo but nipo Kenya ila nampenda sana boka mwambieni namanisha