@djmushizo singeli ni mziki kubwa sana haina haja yakupiga jingo za ngoma treding za bongo fleva tutengeneze mziki wetu huendi sababu ya singeli kutokua na mwendelezo wa treding ni kwa sababu Djs mnaingizia sana treding songs za piano na bong fleva kwenye beats zasingeli tufanye mziki wetu mbona singeli inajitosheleza tu kusimama peke yake. Sema nn ngoma kali
Ngoma Kali Sana 💯 dj moshizo wee dj🚀

Umetisha
Nakubali
Kubabakeee 🎉
Oya baunsa killy yuko serious na kazi
Duuuh baunsa wa asake sasa😊
Nakubali family 💯💥💥
Nakubal.kaka mkubwa kazi zuri
Kubabakeeeee hatali
Nomaaaa
We mushizo weeh wewe aaa wewe
Umetisha
Kaka hujawai feli💯💯💯💯💯
Noma sana
🔥🔥
Utawauwaaaaaa
Unyamaaaa
Yamoto San
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉