DIVA AMWAGA MACHOZI LIVE ATOA SIRI ZOTE ABDULAZACK AMEOA MTOTO MDOGO/KITANDANI SINA MAAJABU/NIACHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 939

  • @joyfaustine
    @joyfaustine 2 หลายเดือนก่อน +48

    Diva anaumia kwasababu sio muhini akipenda amependa❤Mungu atakupa wa kwako

    • @RacherBakari-qh2gx
      @RacherBakari-qh2gx 2 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli

    • @Queen-by6ei
      @Queen-by6ei 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kbsaa

    • @zakiashauri
      @zakiashauri 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @zakiashauri
      @zakiashauri 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mwanamme ni anapenda ustaaa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 หลายเดือนก่อน +42

    Dada yetu diva ,tunakupenda sana DIVA wetu ،tuko pamoja hadi wakutoe roho dadekiii zaooo❤❤❤❤

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @oyay2821
      @oyay2821 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ametokwa na povu kama lote😂😂😂

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 2 หลายเดือนก่อน +39

    Leo kiswahili kimenyoooka😮😮😮😮

  • @aj-gw1rl
    @aj-gw1rl 2 หลายเดือนก่อน +29

    Diva uliambiwa tangu mwanzo kuwa huyo mtu hafai ukawa mbishi hatimae umejionea mwenyewe. Pole sana❤❤

    • @tasneemhayati092
      @tasneemhayati092 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hata Sabrina alisema hadharani lakini ,Diva was inlove

    • @luciamsani
      @luciamsani 2 หลายเดือนก่อน

      Amejionea sasa si alikuwa sikio la kufa

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v 2 หลายเดือนก่อน

      Chezea kurogwa wewe😂

  • @WilsonWaryoba
    @WilsonWaryoba 2 หลายเดือนก่อน +46

    Huyu kaka nitapeli kweli anaonekana mnyanyasaji sana

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 2 หลายเดือนก่อน

      Sanaaaaaaa

    • @godfreybeatus8396
      @godfreybeatus8396 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe nawe umejaa kwenye mfumo

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 2 หลายเดือนก่อน +1

      We nawe akili za kuambiwa changanya na za kwakoo we unajaa tu kwenye mfumo mzima mzima khaa.!!

    • @beatricejohn1659
      @beatricejohn1659 2 หลายเดือนก่อน

      Serikali imchukulie sheria anadhalilisha wanawake Kwanza anawalipua akili ili wamlee

    • @Realme-xm3sh
      @Realme-xm3sh 2 หลายเดือนก่อน

      Kbs div acha akione tulimwambia😂😂nayule bint alilia vid hakujali akahis yeye atamuweza Abdul 😅😅😅😅leo kamin sasa😂😂

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +91

    Diva usikimbize watu kwenye hayo mahusiano usitaje majina ya watu waliokushauri sio vizuri.

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 2 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉

    • @Soudbako
      @Soudbako 2 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu dada kiazi kweli 😅

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli hakutakiwa ataje jina ndomana mambo ya ndoa bwana mshauri anaponzwa

    • @aliciamwalimu582
      @aliciamwalimu582 2 หลายเดือนก่อน +3

      Umesema kweli,huyu sio wa kuambiwa kitu diva mtu kakushauri au kakupa siri afu unakuja kumuanika adharan sio poa

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 watu kama Hawa usiwashauri kuhusu mahusisno utaumbuka

  • @chemstry409
    @chemstry409 2 หลายเดือนก่อน +27

    Siku zote UNAJISHAUA hujui kuongea kiswahili vizuri lakini leo Maasha'Allah unaongea kiswahili kizuri sana....HAHAHAHAAAAAA😂😂😂😂

  • @rosemarymaokola7239
    @rosemarymaokola7239 2 หลายเดือนก่อน +35

    Diva polee Sana unahaki yakuongea hyo mwanaume anakupanda kichwani Sana mshikishe Adabu

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 2 หลายเดือนก่อน

      Muongo huyo dada

    • @ChichiMdem-oh6vi
      @ChichiMdem-oh6vi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Simo muongo uchungu upo moyoninajua ndoa sasa ninamiaka 20 unacho kisema kweli

    • @ChichiMdem-oh6vi
      @ChichiMdem-oh6vi 2 หลายเดือนก่อน

      Wapo wanaroho mbaya

    • @allykiyanga5402
      @allykiyanga5402 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi huyu ni Shekh kweli au???

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 2 หลายเดือนก่อน +43

    Ndoa sio kitu cha lazima wanawake wenzangu😢tujifunze diva alikurupuk sana kiukwer uyu kaka ni mchafu wa tabia

    • @QueenQueen-i4k
      @QueenQueen-i4k 2 หลายเดือนก่อน

      Aina hii ya mwanaume Huwa hovyo kabisa

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kwa mdomo wa huyo mwanamke abdulrazak kuvumilia sna anaongea sana uyo dada mzuri yy, kingereza yy, kunyooka kunyooka yy , kamkoma mamake zake

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 2 หลายเดือนก่อน

      We huna cha ajabu

  • @skeeteranderson375
    @skeeteranderson375 2 หลายเดือนก่อน +39

    Analia mapenzi hakutegemea mwenzie kutambulishwa ,afu kumbe Kiswahili unaongea vzr bila kiswanglish makubwa

    • @Hashimmadenge
      @Hashimmadenge 2 หลายเดือนก่อน +1

      Pale anakua kazini ila hapa kapanic anahasira

    • @Fofo-z6t
      @Fofo-z6t 2 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa umeonee km angekua na hekma angenyamaza

    • @kellyclassic7515
      @kellyclassic7515 2 หลายเดือนก่อน

      Toka hapa mchawi wewe

    • @GraceMaftaha
      @GraceMaftaha 2 หลายเดือนก่อน

      Leo kiswaili kingii atujakuzoea ivyo😅

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe 2 หลายเดือนก่อน

      Yamemfikaaaa

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 2 หลายเดือนก่อน +31

    Diva anaongea kiswahili kizuri jamani😂😂😂

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hahaha kumbe anajua kiswahili jmn😅😅😅😅

    • @modestajamada3496
      @modestajamada3496 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ila waja😊

    • @EricaBizuru-jp9by
      @EricaBizuru-jp9by 2 หลายเดือนก่อน

      @@modestajamada3496 Eeh anakiweza kabisa 😂😂😂

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana Diva nikumbia muda tu ulipolewa nikuambia kwa kweli kosa arudi kosa nashukuru umetoka kwa kweli yaani family hiyo yake acheni nao cicle yake usishitlrikiana nao huyu kijana sawa na mbakiji na huyu mtoto shida alipewa laki saba ndio biashara kafungua kweli toxix hatakuwa hata mfanyia mambo yakiwi kufanyiwa anasema mke kweli kaoa kijakazi kwa kweli kwanza unaona ana nuru amechoka kwa mapenzi hatari yeye siku siku hajifanya anifanyisha kazi pesa nambiwa nivahe baibuhi hata hereni hakuna

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mm cjakuelewa hii msg Kuna sehem umekosea

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@KhadijaMasoud-m6u

  • @florangido202
    @florangido202 2 หลายเดือนก่อน +8

    Asa povu la nini!!
    Tu ulisha move On, Unamzungumzia wa nini!!!
    Unge kaa kimya, Ingekuwa Bora Zaidi.
    Roho Inakuuma bana.
    Kwa kimwanaume gani!!

  • @SalhaMwampagatwa
    @SalhaMwampagatwa 2 หลายเดือนก่อน +17

    Pole sana mdogoangu muache akuongelee mpaka atachoka mwenye ajitambui uyo mwanaume pole sana ajielewi uyo achana nae mamaangu kipenzi

    • @OmarMwatum-gj7py
      @OmarMwatum-gj7py 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uyo Abdoul ajirudie emo jman hiyo loo loo ya wanawake wanalia kil siku ajil yake atapit shida

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu dada ni shida

    • @EdnaMbowe
      @EdnaMbowe 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu Abdul ni tapeli walah

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@husseinmillingana mwanaume nae

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 2 หลายเดือนก่อน

      @@chunaabdullah1333 wewe ndio mwanaume

  • @himnakhatib1050
    @himnakhatib1050 2 หลายเดือนก่อน +33

    Makubwa 😮 mzungu kawa mswahili leo😂😂😂😂

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatimaharoun-np8uv
      @fatimaharoun-np8uv 2 หลายเดือนก่อน

      Kunoga mambo😂😂😂

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 2 หลายเดือนก่อน

      Tena kiswahili cha kiswahili😂😂

    • @GraceMaftaha
      @GraceMaftaha 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @GraceMaftaha
      @GraceMaftaha 2 หลายเดือนก่อน

      ​@user-z😂😂😂s4qz4wm2n

  • @IDARUSCHIBUNGU
    @IDARUSCHIBUNGU 2 หลายเดือนก่อน +3

    🤣😂🤣😂punguza presha Diva umepatikana umekula kwako Abduli ongeza mwengine

  • @farmherosagaone
    @farmherosagaone 2 หลายเดือนก่อน +16

    Diva, you are dealing with a narcissist who does not care about your explanations or complaints-they thrive on attention, whether it is positive or negative. Their behaviour is driven by a need for energy, and any reaction from you only fuels them. Focus on finalizing your divorce and stop engaging with him, whether in person or on social media. The moment you stop arguing or giving him any attention, he will lose his power and control over you. Narcissists are abusive, selfish, manipulative, immature, and insecure. Their survival depends on bringing others down while playing the victim. Stay strong and keep your distance, even when he tries to provoke you. Grey rock him-and remain indifferent and unresponsive. It will frustrate him and strip him of the control he craves

    • @gloriamkongwa4486
      @gloriamkongwa4486 2 หลายเดือนก่อน

      It's true narcissist are very dangerous, you can't change them

    • @Sammiebestie
      @Sammiebestie 2 หลายเดือนก่อน

      It's very hard to deal with narcissist person especially a man​@@gloriamkongwa4486

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu Mwanamme mbaya na muongo sana alisema kanuna nyumba mara sjui napandisha tapeli mkubwa

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 2 หลายเดือนก่อน +55

    Diva unamkumbuka Sabrina wewe si ulitamba 😂😂 imekurudia mwenyewe sasa hivi

    • @amoremimik5270
      @amoremimik5270 2 หลายเดือนก่อน +4

      Sawasawa. Umesema kweli ndugu yangu. Diva alimshushua Sabrina akajiona wa maana,kiko wapi😢

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 2 หลายเดือนก่อน +4

      Malipo ni hapa Duniani wallah

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน +3

      Tena alivimba haswa😂

    • @stellamwakatulile
      @stellamwakatulile 2 หลายเดือนก่อน +3

      Alimpeleka mpaka porisi Leo yamekua ayo

    • @elidaburton8737
      @elidaburton8737 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jehanamu haiko mbali jamani ni hapahapa

  • @kumbukaobeth7103
    @kumbukaobeth7103 2 หลายเดือนก่อน +5

    Diva jamani wewe dada, mshukuru Mungu amekuepusha na aina hii ya mwanaume, ingewezeka usimuongelee kabisa let him go

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi anavyoongea ndio anapona.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 2 หลายเดือนก่อน +4

    Eh eh eh ,Mungu tuongoze usituache wenyewe ,mnapenda kujulikana ,nandiowatu wanatufanya biashara ,huyo kaka mtihani ,hamuogopi Mungu naanamchezea Allah ,nimjaalana huyo ,Diva,achana naehuyo anapenda umpe kiki ili aishi ,muuza sura huyo

  • @salmakiti1517
    @salmakiti1517 2 หลายเดือนก่อน +7

    Waume wako na shida kweli pole sana mama Mungu atakupa mtu sahihi

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 2 หลายเดือนก่อน +2

    Diva you have said it all mamaa. Superwoman ❤❤

  • @mrsab303
    @mrsab303 2 หลายเดือนก่อน +14

    We understand you Diva ❤❤❤❤❤❤❤

    • @loycejohnmuhamb2421
      @loycejohnmuhamb2421 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa. Tunamwelewa❤

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi 2 หลายเดือนก่อน

      She had no respect for her husband and his family. She's too much of her self and she's very childish good for her.

  • @AzizaMmuta
    @AzizaMmuta 2 หลายเดือนก่อน +8

    Adi msukule anajua kwa kiswahili, ulimliza dada sabrina sana ww kimekulamba

  • @Zawadi-ye1vc
    @Zawadi-ye1vc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Kweri diva mbona nikachanganikiwa🤷Leo Kawa muswahili nakupenda sana ❤funzo kwa wanawake

  • @KulwaMbeko
    @KulwaMbeko 2 หลายเดือนก่อน +8

    Diva kaongea sana kwa uchungu😢😢😢😢😢😢

  • @husseinmwanga
    @husseinmwanga 2 หลายเดือนก่อน +14

    Deep down she still love this guy the way she talk i notice something

    • @FelistersMejumaa-xi2ge
      @FelistersMejumaa-xi2ge 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante umelijua hilo kumbe ♥️🥰

    • @gracewairimu800
      @gracewairimu800 2 หลายเดือนก่อน

      It's ain't easy to leave a Narcissist yani nikama wanakuaga wachawi uyu akipigiwa sim tu anarudi nyumbani na msamaha anaomba yeye😂

    • @zakiashauri
      @zakiashauri 2 หลายเดือนก่อน

      Anamfanyia uswahili ila alivyoongea kachoka huyu mwamba ni mbwa

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 หลายเดือนก่อน +4

    Diva achana nae, He was squeezed you up to the born. Achana nae.Mungu atakupigania. Rudi kanisani na Mungu atakushindia.

  • @ZabibuKinoni-tj4jt
    @ZabibuKinoni-tj4jt 2 หลายเดือนก่อน +23

    Pole sana diva muombe sana mungu atakusaidia achana nae

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Just advice her to grow up and stop being childish😂

    • @oyay2821
      @oyay2821 2 หลายเดือนก่อน

      Ametokwa na povu kama lote😂😂😂😊

    • @miraclesmercyandgrace
      @miraclesmercyandgrace 2 หลายเดือนก่อน

      Diva wewe ni shujaa tafuta amani ya moyo, nenda kanisani na utaona mkono wa Bwana. Una historia kubwa nzuri sana mbele yako. Stay strong and be blessed.

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 2 หลายเดือนก่อน +4

    Diva ungekaa kimya sasa unaonekana umepanic si unampenda bado, unge move on kimya kimya watu wanakuona kumepanic

  • @Mbarakoman2023
    @Mbarakoman2023 2 หลายเดือนก่อน +40

    Mwanzo Nilijua diva haujui kiswahil vizur

    • @salimsoyo8118
      @salimsoyo8118 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha miyayusho tu

    • @agnesjohn3125
      @agnesjohn3125 2 หลายเดือนก่อน +5

      anajua adi mafuta ya taa😂

    • @RamlaMburi
      @RamlaMburi 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@agnesjohn3125😅😂

    • @Mbarakoman2023
      @Mbarakoman2023 2 หลายเดือนก่อน

      😅 muba

    • @RayChausa
      @RayChausa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@agnesjohn3125😂😂😂😂😂😂Ana kiswahili kimenyooka

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 หลายเดือนก่อน +9

    Pole Diva umepitia Mengi, pumzika fanya yako.Jinyamazie Diva.

  • @Shara-f9l
    @Shara-f9l 2 หลายเดือนก่อน +5

    Pole Diva. Ila nimependa unavyo ongea hapa.

  • @annagesura8375
    @annagesura8375 2 หลายเดือนก่อน +19

    yani ningekuwa wew ningefunga mdomo unapomuongelea anapata kichwa

    • @MwacheoHanzada
      @MwacheoHanzada 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tumuache atoe yamoyoni huenda atapata nafuu ya moyo

    • @Zenamkuta
      @Zenamkuta 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ayajakukuta wewe ndugu

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu sheikh gani anazaa nje ya ndoa. Dini yetu hairuhusu kuzaa bila ya ndoa. Anatuchafulia dini.

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 2 หลายเดือนก่อน

      Sema ukweli mana kunawanao msifia wakati kweli amekosea

    • @shufaamnyoty5626
      @shufaamnyoty5626 2 หลายเดือนก่อน

      Hilo ni shehena sio shekh

  • @HusnaSimbila-ig7ks
    @HusnaSimbila-ig7ks 2 หลายเดือนก่อน +94

    😅😅😅😅Kumbe anajua kunyoosha kiswahili vizuriiii amepanik sanaaa

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman

    • @naomimwahosi8177
      @naomimwahosi8177 2 หลายเดือนก่อน +12

      Sioni kama amepanick anaongea tusiyoyajua, na anaakili bora katoka

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 2 หลายเดือนก่อน

      Anaongea bwana😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂et meno kayatoa😂😂

    • @asiaside9558
      @asiaside9558 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GodfreyHamadi
    @GodfreyHamadi หลายเดือนก่อน

    duu nimeshanga sana diva kumbe nayeye mapenzi yanamumiza kumbe mapenzi yananguvu

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe yanaumaeeeeeh, unavyokua unayaingilia ya wezak Diva, leo ni leo na ataongea kweli kipindi ulikua unapewa mapenz na ulikua ujui kama yeye ahana pesa yakiwa njenje ndo unataka utuambie et yeye ni tapelii hapanaaa atukubaliani na mambo yako, Diva tulia tumeshajua maisha yako yalivyo

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huna akili, ndio maana hata Abdul amekuburuza, sasa unapomtaja Ricardo momo huoni kama unampa Audio Kwa Abdulrazack na hata watu wengine na hata Kwa babe wake, huna akili diva kweli huna pole sana,

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 2 หลายเดือนก่อน +8

    Si keshakuvuwa chupi Divaa 😅😅😅.. Si umelala nae uchi 😅😅😅 Basi kaa kimya tu keshakupiga rungu sana😅😅😅

    • @annajoseph9955
      @annajoseph9955 2 หลายเดือนก่อน +1

      Na kasema Hana maajabu eti diva hajui kucheza mpira kitandani mmmh

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@annajoseph99 hyu jamaa chizi hivi unaweza ongea mambo ya mkeo eti ajui kitu kitandani.

  • @FatumaSelemani-x5t
    @FatumaSelemani-x5t 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole san my love ajifanya mganga mganga gan anae fanya uzizi mpige tukio moj tuu atokomee kusikojulikana

  • @godlema6104
    @godlema6104 2 หลายเดือนก่อน +9

    Dada asira zitamuuwa uyo dada kwaiyo mama mkwe wako analala chini kweli sasa kama ulikaa nae miaka yote ulishindwa kumnunulia kitanda mama yake

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo Sasa na amesema ana roho nzuri

    • @najmanuru2021
      @najmanuru2021 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@JacquelineMahumbekwahyo yy kaz yake aliolewa kulea mume na familia yake au mume ndo amhudumie yy? Nini maana ya mume ?

  • @Zawadi-ye1vc
    @Zawadi-ye1vc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekupenda Diva wangu Leo kwasisi kingereza kinadushinda umetufanya tusikie natuerewe natujifunze

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 2 หลายเดือนก่อน +7

    Diva tumekuelewa lakini ulisema uwezi kuongea kiswahili moja kwa moja 😂😂leo unaongea kama dafa angu maria aya pole

  • @MrutuAbdala
    @MrutuAbdala 2 หลายเดือนก่อน +2

    KUMBE diva ana kiswaili kizuri ivi mashaallah 😢

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ni sawa tumeelewa! Ila umekosea kumtaja Likado momo kuwa alikwambia utoke umefanya kosa

  • @FaridaKaduguda
    @FaridaKaduguda 2 หลายเดือนก่อน +15

    Yaani mpaka usemee😅😅😅 bado hujasema

  • @juliethfrancis6170
    @juliethfrancis6170 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana umesema kweli kabisa wengi tunapitia hivyo vitu ukichukua sheria wanakugeuka❤

  • @wingracealfred1978
    @wingracealfred1978 หลายเดือนก่อน

    Pole saaaaaaana Diva,

  • @doricehungu5817
    @doricehungu5817 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ila alisema hii interview mtaona atajibu yan hata hapajakuchaa

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 หลายเดือนก่อน

    Dada pole sana wanawake tunapitya mengi sana tusipo jitambuwa tutazalilishwa sana unaweza kutembea umevaa vizuri kumbe watu wanakuona upo uchi kabsaaaa🙌

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ya kwako nayo nje nje, acha kutufanya kama washamba Diva uwezi kuishi na mwanaume ambaye hana pesa wewe, wewe ndo uliachwa bhn na bado kumbe na wewe unatoa machozi, ndo shid ya mwanamke kuchelewa kuolewa ahuoni hata aibu kwa miaka uliyonayo kwendraaaaaaah

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 2 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu ndo alisema mahali yake ni ml500 leo anatokwa povu hivo, tafuta ela fanya kazi kula vizuri ishi vizuri haya mapenzi hayalazimishwi

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana hakuna kitu kibaya kama kumkana Yesu Kristo kwa ajili ya kitu au mtu,ila Mungu wetu ni wa huruma na rehema tubu nae atakusamehe na atakupa mume mwema ila na wewe acha,sifa,majivuno na majigambo.

  • @speciosermusika2009
    @speciosermusika2009 2 หลายเดือนก่อน +14

    Kama ni tapeli Kwani ulikubali kuolewa naye?Hukujua kama ni tapeli tupishe siye? Asiyesikia la mkuu huvuniika guu ulionywa sana Diva. kweli Umeona mwenzio sasa ana peta tu jifunze kutoka na makosa.

    • @hameezhami7795
      @hameezhami7795 2 หลายเดือนก่อน

      Sipendi tabia anataja watu ili iweje

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh unataja wtu tena waliokusahidia mama.weeee diva mbona.unavuruga vuruga unawachochea wtu tena nakupenda.lakini kwa hili diva wngu don't usiwe unawatqja watu kwa kuwaunganisha na hili...pole.lakini nonooo noo usifanye hiv unaongea ukweli lakini utaonekana ueleweki usihusishe waliokushauri..umepitq hapo kwa sababu thank God diva ni mafundishoo umepitq kujifunzaa love ❤

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 2 หลายเดือนก่อน +13

    Usitaje watu majina bhana waliokuadvice bhana

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 2 หลายเดือนก่อน

      Bado anampenda na ndio mana anausisha watu wengine ili tu apate faraja

    • @BAKHIYAOMARI
      @BAKHIYAOMARI 2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 หลายเดือนก่อน +1

    😁😁😁 asikwambie mtu mchambo wa kiswahili una Raha yake,😁😁 Leo hi dada full Swahili, pole sana, lakini ulipewa taarifa jamaa siye ukuamini,

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole fanya maisha yako mdogo wangu🙏💆

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 2 หลายเดือนก่อน +6

    👂🏾👂🏾👂🏾😳😳🫣🫣🤔🤔🤔Divaaaa Kifua Kitapasuka Hawezi Kuhema 🚑🚑🚑Wacha Uongooo umepatikana ushatumiwa Divaaaaaa Wacha Maneno Mengi ulipokuwa nae mbona hukuyasema🤔🤔Nawe umetumika Poleeee weweee Diva uliachwa Na laana za Sabrina Hizooo Shangaziiii kigagulaaa Leta mzungu Tumuone wewe bado kubwa jinga nyambavu 😏😏🫵🏾✍🏽🗣️🗣️📢

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukishiliki sana waganga lazima wakuoe tu

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 หลายเดือนก่อน

      @@OmanOman-dd5qk 🤣😂🤣💯💯💯✍🏽

    • @HusnaMuhidin
      @HusnaMuhidin 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @HusnaMuhidin
      @HusnaMuhidin 2 หลายเดือนก่อน

      Akumjua tapeli sasahivi ndo kajua yy sialusema ataolewa maali milion 500 wacha kimrrrrrrambe

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 หลายเดือนก่อน

      @@HusnaMuhidin 😂🤣😂🤣😂🤝

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน +45

    Huyu abdul ni jambazi wa wanawake

    • @OmarMwatum-gj7py
      @OmarMwatum-gj7py 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😅

    • @faizamohamed6993
      @faizamohamed6993 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน

      😜😜😜😜

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 หลายเดือนก่อน

      Litapeli kabisaa

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน

      @@salomewandya7257 Badoo haujasemaa 😂

  • @Zuwena-rn2gx
    @Zuwena-rn2gx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah diva kumbe mswahili hivi nilijua hujui kiswahili hee chezezea mume wewe haya pole

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ukome si ulikuwa unajigamba kama mm ntapata mume mwenye pesar maharishi millions 40 tujifunze binaadam majigambo sio mazuri ukijiganba basi anatolia mtu anapanga nae kama mm ntaingia pale na sitotowa hiyo pesaro.

  • @AishaAisha-q4t
    @AishaAisha-q4t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mapenzi niliyasahau kitambo staki niyape nafasi ya kunitawala yalitaka kunitoa roho cha msingi kuwa na moyo wa kuzalau dada unapomuongelea yy furaha kwake kwa nn umpe mtu furaha na ww unaihitaji mnyamazie maisha mengine yaendelee kunyamaza jibu la mjinga

  • @MaedaMm
    @MaedaMm 2 หลายเดือนก่อน +10

    Leo anaongea kiswahili nyambafu

  • @Hashimmadenge
    @Hashimmadenge 2 หลายเดือนก่อน +12

    Sali sana muombe mungu mkabidhi mungu kila kitu

    • @PJaofficial
      @PJaofficial 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu sio mungu

  • @joyfaustine
    @joyfaustine 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe diva anaongea kiswahili cha waswahili haswa .hakuingiza kudhungu hata kidogo😂ile sauti ya ravidai haipo kabisa.pole sana mdogo wangu

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kigagula😂😂🎉 kachachamaha

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂MANGE KIMAMBE🙌🙌😂😂😂

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 2 หลายเดือนก่อน

    Daah dada pole sana jaman diva Mimi namuelewa sana amechoka yamemfika shingon

  • @joycehamis4925
    @joycehamis4925 2 หลายเดือนก่อน +41

    Kumbe unajuwa kiswahili vizuri kabisa dah

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 2 หลายเดือนก่อน +13

      Leo Diva amesahau yeye ni muingereza 😂

    • @neemannko5363
      @neemannko5363 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@nahyialetomia9284😂

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @BerthaModest
      @BerthaModest 2 หลายเดือนก่อน

      Yani😂😂😂

    • @OmarMwatum-gj7py
      @OmarMwatum-gj7py 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😅😅

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani yapo hayaa! Tunayapitia wengii! Tumuonee huruma saana na tulimwambia toka day one. Ila mapenzi ni upofu, wapo wengi wanaume kama hao na wana wake tunavumilia mengiiii! Na wa gumu kutoa TALAKA sielewi kwani hawapendi kutoa talaka. Pole Diva tuna yajuwa hayo tunayo. Huyu anakurusha Roho tu, acha usimjibu unampa KIKI usimpe Airtime huyu mpuuzi tu hajitambui kabisaa.

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe wewe umemuelewa diva vizuri sana waume waivo wapo na familia zao ziko ivo mtu kitu bila kuwapa kitu wanamtuma ndugu yao atafute mke mwingine we acha tu ambae ajamuelewa diva atamuona kama anamdomo lakini uyu kaka nitapeli kweli wa mapenzi

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 2 หลายเดือนก่อน

      @@joycemkeka3769 wengii sana! Tunao tunaishi nao, ila inabidi uwe shupavu kupambambana nao na bila kijali utachwa au ataowa, mradi na kazi yangu na kwangu aendeee harakaa. Ila huyu Abdul mswahili na mshamba sana, ana mtusha roho Diva aseme! Ingekuwa mimi ningemnyamazia kimyaaa! Nikafanya yangu ila inaumaaaa una weza kuiwa.

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we 2 หลายเดือนก่อน +12

    Wew acha kujidhalilisha mwanamke mwenzangu ungekaa kimya tu hayo unayoyasema unajidhalilisha

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 2 หลายเดือนก่อน +1

      Adui wa wanamke mwanamke ...

    • @najmanuru2021
      @najmanuru2021 2 หลายเดือนก่อน

      Kajidhalilisha na nini? ukimya ndo unakuta wengi mnakufa kwenye ndoa za kikatili kisa kuogopa kuongea

    • @ShangweSylus-nf6we
      @ShangweSylus-nf6we 2 หลายเดือนก่อน

      @@najmanuru2021 kwa hiyo anavyolopoka umemsaidia nini? Mbona kashindwa ku move on kutwa kutusumbua na hiyo ndoa yake kamshauri aitishe na waandishi wa habari ili aropoke vizuri aende na BBC ili aitangazie dunia aone kama itamsaidia chochote.kutwa anaonekana kituko tu

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 2 หลายเดือนก่อน

      @@ShangweSylus-nf6we mwanaume ndo ana haki ya kuropoka?? Muaache aseme jamii inachukulia wanawake daima ndo wabaya kumbe ukweli uko nyuma ya pazia

  • @abasibakari3297
    @abasibakari3297 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Dada move on na Inshaallah Mungu atakufungulia kila lenye kheri na wewe

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ili upone usimjibu, achana nae nakuhakikishia utapona haraka, tena yeye ndio atajutia kukupoteza

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 2 หลายเดือนก่อน +1

    Akicanganyikiwa ndo anaongeyavizuli kiswahili💯👌🏿🔥 😂

  • @LeoKinango
    @LeoKinango 2 หลายเดือนก่อน +12

    Ongea mwaya moyo upone hawa baadhi ya wanaume matapeli wanakera sana ukimpenda anakuona mjinga ukimuacha anachanganyikiwa dawa ni kuwaacha tuu waendelee na maisha yao na utapeli wao

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana diva km unataka ndoa omba MUNGU akupe yenye kher inshallah

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 หลายเดือนก่อน +32

    Tatizo lako unakifua divas knew ricadow alikuwambia mpka usme looo

    • @EricaBizuru-jp9by
      @EricaBizuru-jp9by 2 หลายเดือนก่อน +2

      Amechoma kibanda😂😂😂

    • @SuzyFkajjsis
      @SuzyFkajjsis 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kulikua kunahaja gani umtaje Ricardo

    • @ghulamhaji7856
      @ghulamhaji7856 2 หลายเดือนก่อน

      Ricardo anamambo ya kike kweli

    • @oyay2821
      @oyay2821 2 หลายเดือนก่อน

      Ametokwa na povu kama lote😂😂😂

  • @pilisamtyani9445
    @pilisamtyani9445 2 หลายเดือนก่อน

    Big up Diva my girlie....nimekuelewa....

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi karibu tu utaongea kidigo au kisambaa maana kingereza Leo kimeruka

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 2 หลายเดือนก่อน

      Haya naonge maana yazambuiya uyaivedu ayo kwaweao haya kuzacha

    • @salimsoyo8118
      @salimsoyo8118 2 หลายเดือนก่อน

      Uuuwiiiii hahahahaha

    • @tulampogole9072
      @tulampogole9072 2 หลายเดือนก่อน

      bongo ukifa siku zimefika tuu
      Yaan Diva anahisi haya mambo yameanza kwake
      Tulia mdogo wangu utapata mwanaume wa kufanana nae

  • @BettyUrio
    @BettyUrio 2 หลายเดือนก่อน

    I understand you sis.you deserve better love

  • @dayanafelly1488
    @dayanafelly1488 2 หลายเดือนก่อน +3

    Diva akiwa anamchamba mumewe huwa ananyoosha kiswahil hatari😂😂😂

  • @FreshJuiceFoodSimpleCook
    @FreshJuiceFoodSimpleCook 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa Sasa hv ukipata ndoa iliyotulia ni kumshukuru Mungu.

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 2 หลายเดือนก่อน +7

    Watu wote walio kupa ushauri usiwataje sio vzuri .😂😂😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣👌

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂yamewahi nikuta vya kushauri shauri hivi sirudii tena

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 2 หลายเดือนก่อน

      @@jenymtafya3430 kwakwer 😄

  • @sadamasoud6636
    @sadamasoud6636 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dem mwenye sio mkali

  • @nyasolugoe8891
    @nyasolugoe8891 2 หลายเดือนก่อน +9

    Thank you, Divaaa,,Mungu yupo utapata aliyesahihi mamy,,

    • @ghulamhaji7856
      @ghulamhaji7856 2 หลายเดือนก่อน

      Yeye yupo sahihi kiasi gani?

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 2 หลายเดือนก่อน

      Vs anaumia sana

    • @husseinmillinga
      @husseinmillinga 2 หลายเดือนก่อน

      Diva anaumia, Acha UONGO

  • @pendomalisa9165
    @pendomalisa9165 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada nae anapenda kujiliza kwenye mtandao loooh si umwache sasa ww mbona unamsema kwenye mtandao alafu ww unakuja kutaka huruma kwa watu? 😅😅

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Abdurazaq cjui anawadanga vipi wanawake. Sbb wanaona na wanackia wenzao wemesha umizwa. Na bado wengine wanaingia hapo hapo.

  • @shabanizena2612
    @shabanizena2612 หลายเดือนก่อน

    For the first time yuko serious 😢

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kumbe Mswahili Tosha

  • @note_as_being_me2337
    @note_as_being_me2337 2 หลายเดือนก่อน +2

    Am proud of you @DIVA

  • @omranalbarwani7190
    @omranalbarwani7190 2 หลายเดือนก่อน +13

    Diva kaa kimya jamani!!!!!

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @miriamdastan1699
    @miriamdastan1699 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana diva Mungu akuepushe na hili

  • @cathe-wr7gb
    @cathe-wr7gb 2 หลายเดือนก่อน +3

    Muombe mungu sana!!! Atakupa msaada

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kweli ubaya ubwela.. yakumbuke ya #sabrina 😂😂😂😂😂

  • @AngyJoh
    @AngyJoh 2 หลายเดือนก่อน +10

    Pole diva,kumbe kiswahili unakijua vizuri

    • @OmegaJustine
      @OmegaJustine 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 2 หลายเดือนก่อน

      Leo amesahau ‘sijui Kiswahili!’

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 หลายเดือนก่อน

      🤣 🤣 🤣

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 หลายเดือนก่อน

      🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 หลายเดือนก่อน

      ​@nahyialetomia😂😂9284

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ustalabu hana abduli diva fata ustalabu wako huyu mwanaume ni mswaili sana huyu . Mimi nimeteseka sana kwenye ndoa kiukweli mimi sitaki.

  • @fatmaOmmy
    @fatmaOmmy 2 หลายเดือนก่อน +12

    Yaani diva umeyatimba nenda talaka itakufata nyoooooo!

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka yule dada aliekua mke wa Abdul alivyosema huyo mwanaume nimnyanyasaji diva ukawa unamtetea mumeo adi mnatafuta yule dada na police,leo kikowapi diva nawew kimekuramba

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kiswahili kizur cha kitanga mashallah