Mungu hutunza watu wake Hawa watu kitambo sanà miaka ya 90. Niliwaona makambako wakihubiri na kuimbà ...wakiwa na ngoma na gitaaaa tuuu......barikiwe sana
Baba yangu hongera Kwa nyimbo nzuri, zenye ujumbe wa kiroho tupu, zizamishazo roho na kuifanya imsogelee Mungu. Chochea chochea chochea, si MUDA mrefu tutaenda kupokea ujira wetu mbinguni.
Zimetulea sana hizi nyimbo wakati wa cassette. Wakati namaliza chuo nilizitafuta sana kwenye baadhi ya maduka Dar na Arusha sikuzipata..Mungu ni mwema zinapatikana sasa
Hizi ndizo jumbe zinazotakiwa nyakati hizi za uovu ulikithiri huku wanadamu tukidhania ya kuwa kuna upendeleo siku ya hukumu wkt Mungu wetu atatuhukumu kwa haki,.Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Kwa kweli huyo mama ni mfano mzuri sana kwa wanawake wengi wasioelewa maana ya ndoa ingawa wapo ndani ya ndoa.Kitu ambacho hata mabinti wengi wa Sasa hawezi kamwe💯♥️
Mungu hutunza watu wake Hawa watu kitambo sanà miaka ya 90. Niliwaona makambako wakihubiri na kuimbà ...wakiwa na ngoma na gitaaaa tuuu......barikiwe sana
Eeeeh MUNGU wangu nipekubadirika ole wangu mm sijui nitaonyesha nini kwa MUNGU
Kweli ndio leo nimehakikisha kumbe nyie ni Mr and Mrs all the best
Jaman sankopa bibiangu MUNGU aendelee kuwatunza
🙏🙏🙏😊
Nabarikiwa sana na uimbaji tangu utotoni mpaka nimekua
Zaman hivi ndivyo waliabudu wapentekoste siku hizi nivichekesho hawajui nyimbo za kuimba wanaskiliza mdundo upentekoste umeharibika hasa ni upuzi
Asante mungu kwakutupa kila vinavyo stahili machoni pako
Amina sana wazazi kwa hakuna mzee
Nyimbo fupi halafu tamu sana
Hongera baba na mama Kwa nyimbo nzur hakika mnatangaza injili ipasavyo
Mungu awabariki sana awape maisha marefu
Nyimbo ya KIROHO KABISA,
Ame ame❤❤❤❤❤❤
Mungu haenderee kuwapa humri mrefu wazazi wangu 🙏💞
Baba yangu hongera Kwa nyimbo nzuri, zenye ujumbe wa kiroho tupu, zizamishazo roho na kuifanya imsogelee Mungu. Chochea chochea chochea, si MUDA mrefu tutaenda kupokea ujira wetu mbinguni.
Hivi nyie wapentekoste ujue mmeacha biblia nakufuata ulimwengu
Zimetulea sana hizi nyimbo wakati wa cassette.
Wakati namaliza chuo nilizitafuta sana kwenye baadhi ya maduka Dar na Arusha sikuzipata..Mungu ni mwema zinapatikana sasa
Amina 🙌🏽
Ameni
Hiz nyimbo zina uwepo wa mungu sana
Huwa nasikiliza kila siku nyimbo za Dr. Mwasumbi
Mungu awabariki sana kwa kuhubiri kwa uimbaji wenu .
Mungu awabaliki Sana BIBI na BABU mmetufundisha kwl na MUNGU atusaidie Sisi vijana.
Nakupenda sana mama, mama shujaa, mama Wa mfano, mama mcha mungu, mama aliyeyashinda mapito mengi. Big up mamy asieteteleka.
Amina mwanangu usisahau kutuombea
@@atubangilemwakitwange8304 ubarikiwe
Nawamiss Sana wazazi wangu kupitia nyimbo hizi enzi za utoto wangu. Rest in peace men of God😭😭
Walikufa??
Hawajafa, atakuwa haha taarifa sahihi
Munishi uliacha malebo wapi
Hii ndio gospel song sasa.
Sio hizi nyimbo za waimbaji wa cku hz
Asante, tuombeeni
Nawapenda.wazazi.wangu.mungu.awabariki.sanaaa
Mama Mungu akubariki sana kwa mvalio maana wewe ni mfano mnzuri kwa wanao mwimbia Mungu
Barikiwa sana
♥️💯⛪😭🙏👏
Mungu awabariki watumishi. Hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana.
Ameen
Nawapenda mno
Hizi ndizo jumbe zinazotakiwa nyakati hizi za uovu ulikithiri huku wanadamu tukidhania ya kuwa kuna upendeleo siku ya hukumu wkt Mungu wetu atatuhukumu kwa haki,.Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Ameen,
Ni kweli hakika
Haman hw
Mbarikiwe Sana..
Wimbo ulio na neema
Amen
Asante saana kwa tenzi zote. Wamilele Awa tendeye mema
Ameen
🙏🙏🙏🙏
YESU NJOO.
MUNGU awatunze sanaa
Ameen
Hadi nimelia
Mama mch mama wakuigwa alie simama barikiwa Sana mama mch sijawahi ona upendo wa namna hiyo kwa watumishi amina×2
Amen
Kanisa lao liko wap
Great job
Amina. Mungu awabariki sana. Peter from DR CONGO
Ameen
Mashujaa wa injili
Amen,
Utukufu kwa Mungu
Jamani kwakwel tunawamisi sana kwenye hii tasnia....anointing sogs kwakwel Mungu aikumbuke hii kazi hata mtakapokuwa mbinguni
Amina
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏,, nimefarijika sanaaaaaa
Ameen
Hivi hawa watu wapo wapi jmn ?? Nimekesha nikisikiliz nyimbo zao zimenibarik sn
Mbeya
MUNGU awabariki awape maisha marefu
Ameen
Mungu awabaliki sana wazazi wetu
Ameen
@@DanielmwasumbiBwana yesus asifiwe naokoka kupitiA hizinyimbo
Nawapenda sana🥰
Amen
Ubarikiwe sana baba na mama kwa kuenezo injili.
Aminaa
Naomba wimbo.utujalie wewe Bwana yesu kuyatenda mema!!
Ameen,
Tutaongezea nyingine siku za hapo mbeleni.
Mungu akubariki sana
Sawa tutakutumia
Mbarikiwe sana
Hallelujah 🙏
Amen❤🙏
Nakupenda sana mama, mama shujaa, mama Wa mfano, mama mcha mungu, mama aliyeyashinda mapito mengi. Big up mamy asieteteleka.
Ameen,
Utukufu kwa Mungu
Mchungaji Daniel Mwasumbi nyimbo zako zinanibariki sana na ninazikiliza kila mara. Mungu akupe maisha marefu
Kwan baba yeye n mpaya
Kwa kweli huyo mama ni mfano mzuri sana kwa wanawake wengi wasioelewa maana ya ndoa ingawa wapo ndani ya ndoa.Kitu ambacho hata mabinti wengi wa Sasa hawezi kamwe💯♥️
❤@@raphaelmwamakimbula9642