DORICE MALLE - Nafasi ya Mwanaume katika familia, Tacmen Men's Dinner 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 29

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 ปีที่แล้ว

    Wanaume wa miashara tabu Sana Muda wanapoteza hapo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Hongera sana.Mimi pia nilikuwa mtoto wa baba.Matokeo yake nimekuwa mwanamke wa shoka❤😊😊Hivyo akina baba fuateni nyayo

  • @gichanabenard8376
    @gichanabenard8376 ปีที่แล้ว +1

    Am following from Kenya.i like your entire advice.keep that tension high.

  • @joshuamatagane1318
    @joshuamatagane1318 ปีที่แล้ว +1

    Mb zangu, daaaaahhhh.....

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

    Eti hela za mwanamke mnatafutia mwanaume sio kweli 😀😀😀. Wengi wenu mmejaza ubinafsi usiomithilika, Mungu awasaidie tu.

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb ปีที่แล้ว

    methali 23:26Mwanangu, nipe moyo wako;
    Macho yako yapendezwe na njia zangu.
    27Kwa maana kahaba ni shimo refu;
    Na malaya ni mtego wa shimo jembamba.

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb ปีที่แล้ว

    tangu lini waume kafundishwa na mwanamke"? 1timothy2:12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe msikivu. tafuteni Mungu wacheni kujiona werevu

  • @neympigiye3281
    @neympigiye3281 ปีที่แล้ว +1

    Duh huyu mdada simurlew jaman

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza ปีที่แล้ว

    WARA USIJALI NAMM NAPENDA MUTUKAMA WEWE ANAYEPENDA HERA

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 ปีที่แล้ว

    Point💪

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 ปีที่แล้ว

    Hizo nywele haziwakilishi uchaga. Hatuko hivyo!

  • @ireneamos984
    @ireneamos984 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mtu kaachika anafundisha nn

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 ปีที่แล้ว

    Maelezo yake hayajapangiliwa vizuri,pia kujitolea mfano wake siyo sawa inabakiza maswali mengi kwa wababa hao

  • @anodivalence8357
    @anodivalence8357 ปีที่แล้ว

    Nadhani kabla ya kuchangia mada anatakiwa kijiandaa ili audiences tuweze kumuelewa otherwise naona ni kama anajisifia na kuelezea maisha yake Kwa ujumla.

  • @mrs2918
    @mrs2918 ปีที่แล้ว +1

    anatopic nzuri ila mpangilio sio mzuri haelewiki

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 ปีที่แล้ว

    Apange point

  • @nickolousrajabu5001
    @nickolousrajabu5001 ปีที่แล้ว

    Ana fundisha watu kuwa masingo mather simuewewi kabisa

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 ปีที่แล้ว

    Huyu kaja kufundisha watu kuachana au kutoachana

  • @bettyadhiambo9557
    @bettyadhiambo9557 ปีที่แล้ว

    MUNGU hapendi talaka

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb ปีที่แล้ว

    why dorice,1 corinthians 10:21,2corinthians 6:14 na mathayo 15:7-9

  • @nathanieldaud3744
    @nathanieldaud3744 ปีที่แล้ว

    ameongea vizuri tuu,ukiwa makini kuna vitu vikubwa ndani ya maelezo yake

  • @abdallahhenku557
    @abdallahhenku557 ปีที่แล้ว

    Hellow Harris. Is this the Dorice Malle I know, our student at St. Mary's?? Please let me know. We need to connect. There are so many issues to share with her and group. Please let me know.

  • @shubirarutaihwa4829
    @shubirarutaihwa4829 ปีที่แล้ว

    Kweli angeongea general tu na ajipange lakini pia yeye ipo shida angalia kichwani utanielewa

  • @jonathanjeremiah3570
    @jonathanjeremiah3570 ปีที่แล้ว

    Mbona ata simwelewi,alafu anaharibu sana akiongea swahi English yake hiyo.

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว

    Sioni shida ameongea vizuri tu mbona?

  • @padilijamesmikomangwa519
    @padilijamesmikomangwa519 ปีที่แล้ว

    Kama dating coach - I can clearly see a lot of flaws in your speaker - first thing first, women can't teach men how move in a relationship, that's a no-no.