Kwanza nianze kwa kusema show imeenda sawa sana bro #lilommy na wote hapo studio including na mgeni ambae ni A.Y hongera bro lakini pia nimependa sana alichokizungumza A.Y katika #DAKIKA YA #16 na sekunde ya #55 Cheki nayo utasikia...So kaka komaa ila jaribu kusafiri sana kama moja kati ya watangazaji hapa bongo ambae nae huwa anasafir sana mara kwa mara safar za nje kujifunza zaidi ili uweze kuleta chachu ya #GAME hii hasa katika masikio yetu uwe imara zaidi ya hapo coz uwezo UPOOOOOO SANAAAAAA...Mungu ibariki #theplaylist Mungu ibariki #timesfm pia bariki kaka yetu #Omarytambwe na dada etu hapo...Hollaaaaaaa
AY the best Behaving Artist...very loyal....hanaga beef na MTU ila hata kama anayo...he always kno how to control his feelings...AY kizazi sana bro. You be been my best HIPHOP ever since before...
The MVP...half man/half amazing! Kwanza nashkuru sana kuwa na A.Y kwenye interview yako,nime ENJOY & namkubali sana sanaa. Pili nimefurah sana wakat unajaribu kumkumbusha A.Y alipokuambia umejuaje hiyo STORY!!! Big things a gwan my man..Big times👊🏾
Everytime AY akija kwenye Playlist anaacha madini kwa sababu ni mnyamwezi ila cha kupendeza zaidi Lil Ommy huchezi mbali nae unafit kabisa na unamuezea. Playlist bora za muda wote huwezi kuzikosa Playlist na AY.
Jirani!!! Hebu kwanza mwambie aniite nije kushika mtoto, I'm less that 20 mins away 💃💃💃 Mash-Allah!! Hongera AY na Remy! www.sde.co.ke/article/2001292030/photos-tanzanian-singer-ay-buys-huge-mansion-in-california
LilOmmy jamaa sio wachache out of topic kiasi check on ur background always kuna some weakness the purple chair please we go internally 😜u knw wat I mean brother
Kaka lilommy naomba msaada wako kwenye promo ya Wimbo wangu uuweke kwenye channel yako, community tab au play list. Nashukuru sana m.th-cam.com/video/JVGhcMtC0s4/w-d-xo.html tuwasiliane what'sapp +447719640126 kwa maongezi zaidi
Leo nmewai mie kuwa wa kwAnza gongA like bhas tuanze SAFARI
Kwanza nianze kwa kusema show imeenda sawa sana bro #lilommy na wote hapo studio including na mgeni ambae ni A.Y hongera bro lakini pia nimependa sana alichokizungumza A.Y katika #DAKIKA YA #16 na sekunde ya #55 Cheki nayo utasikia...So kaka komaa ila jaribu kusafiri sana kama moja kati ya watangazaji hapa bongo ambae nae huwa anasafir sana mara kwa mara safar za nje kujifunza zaidi ili uweze kuleta chachu ya #GAME hii hasa katika masikio yetu uwe imara zaidi ya hapo coz uwezo UPOOOOOO SANAAAAAA...Mungu ibariki #theplaylist Mungu ibariki #timesfm pia bariki kaka yetu #Omarytambwe na dada etu hapo...Hollaaaaaaa
nimeipenda hii interview ya A-y coz jamaa anajua kuongea kiingeleza lakin hachanganyi lugha Kama wale wengine, km naww umeiona hiyo weka like hapoo
Daaaah true
AY the best Behaving Artist...very loyal....hanaga beef na MTU ila hata kama anayo...he always kno how to control his feelings...AY kizazi sana bro. You be been my best HIPHOP ever since before...
The MVP...half man/half amazing! Kwanza nashkuru sana kuwa na A.Y kwenye interview yako,nime ENJOY & namkubali sana sanaa. Pili nimefurah sana wakat unajaribu kumkumbusha A.Y alipokuambia umejuaje hiyo STORY!!! Big things a gwan my man..Big times👊🏾
Everytime AY akija kwenye Playlist anaacha madini kwa sababu ni mnyamwezi ila cha kupendeza zaidi Lil Ommy huchezi mbali nae unafit kabisa na unamuezea. Playlist bora za muda wote huwezi kuzikosa Playlist na AY.
OMARI TABWE IS THE BEST INTERVIEWER IN THE GAME.....SALUTE BRO
AY uko poa sana mm mwenyewe nimekuwa ni mlevi wa nyimbo zako
Jirani!!! Hebu kwanza mwambie aniite nije kushika mtoto, I'm less that 20 mins away 💃💃💃
Mash-Allah!! Hongera AY na Remy!
www.sde.co.ke/article/2001292030/photos-tanzanian-singer-ay-buys-huge-mansion-in-california
You are the MAN of DETAILS ALL TIME...
Lil ommy yaani yuko juu kabisa
Kizazi saaaana AY what a Legend is🙌
Nakula kwa mcho si unaikumbuka##.kizazi sana ay
Kizazi Sanaa AY
Interview was perfect
Thanks so much lilommy for the way you question AY , so! Which state AY live in 🇺🇸 and when are we going to see the lovely baby
AY mkali wao!!
utakosaje interview iliyo simamiwa mnyamwezi lilomy
🔥🔥🔥
ay jambaz sana
ALWAYS INSPIRING...AY UKO VIZURI KAKA.
Kila nisikilizapo interview za wasanii, nabaki na msimamo wangu uleule kwamba AY ni geius.
Nguli wangu wa Riwaya Mwanambalagha
Hawa Ndio Wenye Mziki Wao Hapa Bongo
marco chali hata mimi namuelewa saana ametengeneza hits nyingi yaani production yake iko powa saana anastahili hata tuzo
Bonge la intavie lil ommy
Atari sana interview ilikuwa poa sana
#safari
#maishanisafarindefusana
LilOmmy jamaa sio wachache out of topic kiasi check on ur background always kuna some weakness the purple chair please we go internally 😜u knw wat I mean brother
Nimeisubili kwa ham
Kaka lilommy naomba msaada wako kwenye promo ya Wimbo wangu uuweke kwenye channel yako, community tab au play list. Nashukuru sana m.th-cam.com/video/JVGhcMtC0s4/w-d-xo.html tuwasiliane what'sapp +447719640126 kwa maongezi zaidi
Ni miongoni mwa wasanii wachache sana ninao wasikiliza katika mahojiano yao AY ASANTE SANA KAKA
msanii anaejua kujib maswali aulizwapo anajib bila papara
Safari
Fund mwngne hyu hpa km ilivyo kwa fa
Tz tukipata watu makin km Ambwene tunapiga hatua kubwa wtz na Est Africa kwa jumla
🔥🔥🔥🔥🔥