Mch Moses Magembe - SIFA NA IBADA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mtumishi wa Mungu ni kweli Ibaada zimekua za mazoea watu wanaingia na magonjwa wanarudi nayo maana Roho mt hayupo Hongera sana kwa Neno

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 8 หลายเดือนก่อน +6

    🎉Mungu akutunze

  • @mosesmunialo3859
    @mosesmunialo3859 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Baba Kwa kazi nzuri ya Mungu unayoifanya.. Mungu akubariki sana

  • @ev.kastenhelandogo2841
    @ev.kastenhelandogo2841 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hazina hii ni kubwa mno baba 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen amen

  • @janethasungwile1103
    @janethasungwile1103 8 หลายเดือนก่อน +6

    Yaan mchungaji huyu ni lulu tuliyopewa kanisa, tuitunze sana

  • @jescambigili2134
    @jescambigili2134 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki mtumishi kwa kutupa siri za Mbinguni

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji nimekupenda unasema ukweli sana nakuomba uje Nairobi utufundish na Mungu azidi kukubarik

  • @peterpande4017
    @peterpande4017 7 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nakuombea sana mungu akulinde siku zote hakuna mabaya yatakupata amen❤❤

  • @mtangag774
    @mtangag774 8 หลายเดือนก่อน +1

    nakufatilia sana mzee wangu magembe

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana baba

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr 8 หลายเดือนก่อน +1

    Baba mchungaji umenisaidia Sna huduma yangu Ni Léonard tko Drc congo

  • @JacksonWailes
    @JacksonWailes 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba tujifunze kwake ili tulete uamsho

  • @annaombay9417
    @annaombay9417 7 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mzee, wachache sana waliosalia

  • @MichaelJohn-t2s
    @MichaelJohn-t2s 7 หลายเดือนก่อน

    Amen