LIVE MHE.MAGANGA AMTAJA FAGASON MASAS MSAADA KWA WANANCHI AJITOA UJENZI KITUO CHA POLISI LULEMBELA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
- Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mheshimiwa Nicodemus Maganga amewataka Wananchi wa kata ya lulembela kumuunga mkono Mwenyekiti wa kamati ya uchumi na fedha UVCCM Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita Ndugu FAGASON MASAS kwa namna anavyojitoa katika shughuli Mbalimbali za Kijamii katika kata hiyo
Maganga ameyasema hayo alipofika katika kata ya lulembela kukagua Ujenzi wa KITUO CHA POLISI kilichojengwa kwa nguvu ya Wananchi huku Fagason Masas akitajwa kushiriki kwa nafasi kubwa KUKAMILISHA Ujenzi wa KITUO hicho.
#mbogweupdates #mfianchi
Hujui kutangaza
Yombaga mwanawane
🤝
🙏🙏