Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. samahani sana kwa ilimu yenye manufaa Sheikh. Allah wetu mtukufu Subhanah wataala akulipe mema hapa dunia na kesho aheirah Inshaalllah 🤲
Yani nilikuwa nikitafuta kisa hicho muda mrefu duu nilikuwa nikiskia kwenye audio tuu mungu akuongoze shiekh kwamadhambi samba ulioyataja kwenye kisa hicho kunalenye linanihusu humo yani nasumbuka mno Ila ntazidisha dua nakuimba msamaa mwenyezimungu wenda nikasamehewa
Maa shaa Allah Asante sana cheikh tunakuwomba ujee Rwanda nasisi utupe dawa ya roho❤❤
Mashallah tabaraka Allah Yarabb atusamehe dhambi zetu Inshallah
Mungu akupe wepesi shehewetu uzidikutufuza
MASHALLAH Yale mawaidha ya AMINA ninayo tangu miaka 7 nyuma kumbe uyu ndo mwenyewe MASHALLAH
Naam ndio mm alhamndulillah
Mashaallah
shekhe mashaallah mungu akujaalie pepo nasi waislamu wengine
MW,MUNGU AKUJAALIE MWISHO MWEMA.NAPES KWA KILA MAHTAJ,AFYA,KZAZ CHAKO,NAWAISLAMU WOTE.MASHALLAH.
Shee mm nimekuelewa swadkta
Asalam Aleykum waramatullahi wabarakatu. Takbir . Allah Akbar. Wallahi ushirikina SI raha . Jamaneni Waislamu tutafte Pepo. Amin
Allah akufanyie wepesi inshallah
MNGEZIMA QURAN APO INGEPENDEZA MAANA SO VIZUR INASOMA NAWATU WANACHEKA
Mashallah sheykh ibrahim mkongo allah akuhifadhi mpaka mwisho
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. samahani sana kwa ilimu yenye manufaa Sheikh. Allah wetu mtukufu Subhanah wataala akulipe mema hapa dunia na kesho aheirah Inshaalllah 🤲
Allahuma amin amin
Mwenyezi mungu akupe hekma zaidi na ujuzi wakutufundisha sisi jamii nzima inayokuskiliza tunafaidika kwamafunzo yako sheikh 🙌🙌🙌🙌🙌🙏
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Shekhe Allah akujalie afya njema uzidi kuhubir mawaidha mazuri kwa kweli uislam Raha sana
SubuanaAllah YaaAllah Nijaariee humri mlefu nilee wanangu Adi wajitambuee in sha Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Subuhanaa Allah
Allahumma ameen 😢
Subuhanallah Allah akbar Allah atuongoze
Shekhe Allah azidi kukubariki 🙏
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Assalam Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuhu Sheikh wetu MASHAA ALLAH TABARAKALLAH MUNGU Akujaalie kila la kheri na afya njema iliuzidi kutuelimisha.
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Waalaykumussalaam warahmatullahi wabarakaatuh
Waalaykum salaama warrahmatulah wabarakatuh
Waaykum ssalam warahmatullahi wabarakatuh
Allahuma amin amin sote kwa pamoja
Baraka lahu fiki tunakwomba ojje uganda
Mungu akupe nguvu kutuelimisha n umli mlefu
Masha ALLAH nimekubali hii mawaidha yako mjomba ALLAH akulipe dunia na akhera.
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
SHEHEE. ALLAAH. HAKULIPE. HAERI. DUNIANI. NA. HAHERA
Mashaallah wkimy bila ya mipaka allah akuhifadhi
😭😭😭😭😭😭 Alhmdulillah..Allah azidi kutuongoza..
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Allah akujaalie khery mashallah unatupa daawa mm haya mawaidha nayapenda ad kesho
Shekhe mkongo mani allah akupe umri mrefu🙏
Mashallah allah akumbuke mafunzo unayotupa akuza wadie zawadiyako
JazaakAllah shiekh, nimefurahi sana.
Shehe ubarikiwe
Safi
Assalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh Allah Akupe Umri mrefu Sheikh kwa kutuelimisha
SUBHANALLAH Allah Azidi kutuongoza kwa kumtaja yeye pekee 🤲
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Yani nilikuwa nikitafuta kisa hicho muda mrefu duu nilikuwa nikiskia kwenye audio tuu mungu akuongoze shiekh kwamadhambi samba ulioyataja kwenye kisa hicho kunalenye linanihusu humo yani nasumbuka mno Ila ntazidisha dua nakuimba msamaa mwenyezimungu wenda nikasamehewa
Jamni sheikh mada yangamia nzuri imalizie
🌹🌹🌹🌹🌹
Waleikumsalam warhmatullah wabarakatuh
❤️❤️
Masha Allah
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@@zvpOnlineTv ❤❤😢😢
Ya subhannallah tuepushe na shiriki yaa Allah
Asalam alaikum
❤
Inalilah wainalilah rajiuni walayii 😭😭😭😭mungu atuepushe naushirikina 😭😭😭😭
uwa siwezi kusikiliza hiki kisa cha ..yatima...kinaumiza moyo sana.
Masikini pole habeb
Maashaallah
Kw kweli uyatima ni matatizoh😭😭😭😭
Wanawake 😢 muwe na roho laini
Jaman huyu shee anaitwa nani
Mimi nilokuwa nayo Ila nimepoteza flashi napenda San kisa Cha Amina Kuna mdada aliskia akacha kabisa kutoa mimba
Mm n christo nataka kuslim
Uko wapi
Karibu sanaa
😂😂😂
Allah akuzidishie Inshaallah
🌹🌹🌹
Asante sana kaka
Mashaallah