Ni kweli babangu,hawamkumbuki tena,wala hawataki kumtaja katika mema, huyu mwanzilishi wa msingi wa Imani EAGT,Mimi naumia sana kumbukeni alipata mateso mazito Kwa ajili ya injili, lakini Leo tunawashangaa hata viongozi wa EAGT hawana habari nae tenaaaaa!!!!
Bishop Kulola huyu baba alikuwa yuko sahihi ni🔥🔥🔥EAGT mwanzilishi huyu ni mfano wa kuigwa.Kipindi hicho mweee 🤦🙆.😍 EAGT 💝.Twakukumbuka baba askofu😭😭😭😭🇹🇿 Injili YAKO ilikuwa moto🇹🇿. 😭😭
DUH Unbelievable.Mzee Kulola Namfaamu Sana na mkewe wakileta maubiri Temeke DAR miaka ya 1975 etc. SIKUJUA Hushuuda Wake nausikia Leo.DUH unatisha Sana. Alikuwa mzee wa MUNGU. Nitafatilia KWA makini Sana.Ubarikiwe zidi kutufundisha zaidi.Ubarikiwe Sana.
Hakika baba mimi najua mwaka wa mwisho wa injili yake kule mbeya pia nina kitabu chake cha historia yake nalia kila siku kwaajili ya kazi ile ya uchungu
Safiiii sana mtumishi, sema ukweli. KANISA LA EAGT LIMEINGILIWA KIROHO NA MAJAMBAZI, KIMWILI WANAONEKANA NI WATUMISHI, ILA ROHONI SASA!!!!!! WANAKUNA VITAMBI KWA WITO USIO WAO..
Amina mackllina kabyazi Kila mtu atatoa hesabu yake ,watu wanatabia yakuwasifu waliokufa wasijue Kama ameenda kuzimu huwa ukimsifu wamuongezea Moto wakumuchoma, moses kulola alivipiga Vita vilivyo vizuri nasi tijitahidi kuzipiga Vita vyetu
Ni kweli babangu,hawamkumbuki tena,wala hawataki kumtaja katika mema, huyu mwanzilishi wa msingi wa Imani EAGT,Mimi naumia sana kumbukeni alipata mateso mazito Kwa ajili ya injili, lakini Leo tunawashangaa hata viongozi wa EAGT hawana habari nae tenaaaaa!!!!
Rose Muhando nimefurahi kwa ushauri wako
Mtumish nimekuelewa
Sjawah kusikia mchungaji yoyot km huyu anaemkumbuka mzee wetu mosses kulola alietangaza hbr ya wokovu Tanzania MUNGU akubariki San mchungaji
Bishop Kulola huyu baba alikuwa yuko sahihi ni🔥🔥🔥EAGT mwanzilishi huyu ni mfano wa kuigwa.Kipindi hicho mweee 🤦🙆.😍 EAGT 💝.Twakukumbuka baba askofu😭😭😭😭🇹🇿 Injili YAKO ilikuwa moto🇹🇿.
😭😭
DUH Unbelievable.Mzee Kulola Namfaamu Sana na mkewe wakileta maubiri Temeke DAR miaka ya 1975 etc. SIKUJUA Hushuuda Wake nausikia Leo.DUH unatisha Sana. Alikuwa mzee wa MUNGU. Nitafatilia KWA makini Sana.Ubarikiwe zidi kutufundisha zaidi.Ubarikiwe Sana.
AMINA❤
Kwel kabisa mtumishi
Ubarikiwe mjori wa bwana ,wa Kwanza wewe kumtaja muasisi wa injiri ,Asante yesu
Hakika baba mimi najua mwaka wa mwisho wa injili yake kule mbeya pia nina kitabu chake cha historia yake nalia kila siku kwaajili ya kazi ile ya uchungu
Amina Baba nimejifunza vitu vingi sana hapa mpaka nahisi moyo unawaka moto
Nimeloa na huu ujumbe
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
Yesu atuhurumie
Sema tupone mtumishi
Nimebarikiwa sana...
kwa nini mnatukanana sana siku hizi
Jamani tumuogope MUNGU.kweli mtumishi Mozes alikuwa mtumishi wa MUNGU kweli acheni kejeli.
Safiiii sana mtumishi, sema ukweli. KANISA LA EAGT LIMEINGILIWA KIROHO NA MAJAMBAZI, KIMWILI WANAONEKANA NI WATUMISHI, ILA ROHONI SASA!!!!!! WANAKUNA VITAMBI KWA WITO USIO WAO..
Ubarikiwe na Bwana Yesu mtumishi wa Mungu
Amina
Kweli kabisa mtumishi nakumbuka alipita kwetu kwa mguu kutoka tabora kwenda mbeya
Aya bhana mtumishi
Amina baba
Mbinguni hakuna kanisa la Eagt wala nini, tutende yaliyo mapenzi ya Mungu, Moses alimaliza kazi yake aliyotumwa na Mungu, kila mtu atabeba mzigo wake.
Amina mackllina kabyazi Kila mtu atatoa hesabu yake ,watu wanatabia yakuwasifu waliokufa wasijue Kama ameenda kuzimu huwa ukimsifu wamuongezea Moto wakumuchoma, moses kulola alivipiga Vita vilivyo vizuri nasi tijitahidi kuzipiga Vita vyetu
Ameen Baba
Kweli Kabisa ! Kanisa ambalo halina Roho Mtakatifu hilo sio kanisa..
🙏🙏🙏🙏
Ndugu mtumishi wa Bwana kumbuka hasira ya mwa
nadamu haitendi halo ukumbuke mahubiri ya pale mlimani ndiyo Torati yetu Again Jipya
🙏
Wazee wengi wamegeukia matumbo yao
ASANTE na MUNGU ATUSAIDIE
amen
Jasusi la mbinguni mtu huyo jamani
KAMA MOSES KULOLA ANGEKUWEPO ANGEKUKATAA KWA AINA YA MAFUNDISHO YAKO NA UENDA ANGEKUTOA MAPEPO
yamkini wewe ndo una mapepo kwa kupiga kweli teke.
@@ivonaevarista4654 mda utasema