JKT Tanzania 0-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League - 28/08/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye wa NBC Premier League kati ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC, ambao umemalizika kwa matokeo ya 0-0.
    Ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili msimu huu wa 2024/25

ความคิดเห็น • 124

  • @sammwasomola953
    @sammwasomola953 16 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa kweli jkt wanajitahidi saana uwanja upo vizuri sana

  • @EliasMambya
    @EliasMambya 16 วันที่ผ่านมา +5

    Bonge la mechi kwenye kiwanja Bora Cha kimataifa hongelen jkt 🙏🙏🙏

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 16 วันที่ผ่านมา +5

    Nawapongeza JKT wameboresha uwanja wao safi sana

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 16 วันที่ผ่านมา +6

    Mzee Bakhresa nakuomba ifute kabisa hiyo timu, na hapo Chamazi jenga kiwanda cha kutengeneza pipi utapata faida kubwa kuliko kuwa na mijitu isiyo kusaidia, tangu wachezaji mpaka benchi wote fukuzilia kwa mbali

  • @EliudiAndasoni
    @EliudiAndasoni 16 วันที่ผ่านมา +24

    Nyiee ligi ngumu mwaka huuu tutaona mengi mechi ya kwanzatu unashona sare Azam club bingwa kutolewa saikological imewaathiriiiiii

    • @fuhadSaid-l4p
      @fuhadSaid-l4p 16 วันที่ผ่านมา +2

      0:13

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 16 วันที่ผ่านมา +1

      Azam ya mwaka jana siyo ya mwaka huu

    • @ElizeusPeter
      @ElizeusPeter 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wala siyo meng bro. Azam wajinga sana.
      Wanatudanganya na wakorombia kumbe hovyoooooo.
      Uwezo wao ni aibu kwa Azam.

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 16 วันที่ผ่านมา

      Eliud Yaaaani hapo unastahili maua na pongezi 🎉.. imeongea kimichezo bila ushabiki hakika ligi ngumu

  • @ZaituniAmrani
    @ZaituniAmrani 16 วันที่ผ่านมา +5

    Moja ya viwanja bola kwa sasa Tanzania

  • @SamsonSimba-k4l
    @SamsonSimba-k4l 16 วันที่ผ่านมา +3

    Simba bingwa 🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mechi taff sana mpira mzuri sana japo Hauna goli ila mpira wenye hadhi ya ligi kuu ushinfani ulikua mkubwa🔥🔥

  • @MlingaSawack45
    @MlingaSawack45 16 วันที่ผ่านมา +5

    Acheni wenge mpira unsmatokeo 3 tulieni hamjui mpira mnaongizwa na mihemko ya kishabiki ligi ndo kwanza game ya kwanza anzeni kulalamika after 10game cz jua ligi kila timu inejiimarisha msiangalie majina ya wachezaji na majina ya timu kwani hao azam ninani

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni sana jkt kwa kujenga uwanja

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 16 วันที่ผ่านมา

      Hivi iko mkoa gan hii timu

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 16 วันที่ผ่านมา

      @@aminatanzanya7475 bila shaka itakua dar au pwani

    • @Mkubwa_jr
      @Mkubwa_jr 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@aminatanzanya7475Dar hiyo ni mbweni km sikosei

  • @PhilipoManjale-z2r
    @PhilipoManjale-z2r 16 วันที่ผ่านมา +6

    Niwapongeze TFF naona mwaka huu viwanja vyote vina ubora sana

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 16 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa YANGA ni mizoga yetu hiyo

  • @JoelTeti
    @JoelTeti 16 วันที่ผ่านมา +5

    Duuuu😢😢😢😢😢 kuna jamaa alikuwa anamsubiria azam tuu ashinde million na lak 280

    • @jamesmaneno2281
      @jamesmaneno2281 16 วันที่ผ่านมา +1

      Nimecheka kinoma

    • @JoelTeti
      @JoelTeti 15 วันที่ผ่านมา

      @@jamesmaneno2281 sasa ni nuksi au makusudii😢
      huyo jamaa asingenipa hata ten najua labla ningeambulia lipepsi tuu ila roho imeniuma kinyamaaa

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 16 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa uwanja huu hakuna timu itapata ushindi hapa ,wajeda wanakaza balaa

  • @HebethAidano
    @HebethAidano 15 วันที่ผ่านมา +2

    hamna timu hapa kaka

  • @RidhiwanMbaruku
    @RidhiwanMbaruku 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kocha mjinga kwann diakite hachezi wakati alionekana kucheza vizr dakika anazoingia

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 16 วันที่ผ่านมา +4

    Yaan hao jkt ni kama Azam na Azam ni kama jkt kimchezo jkt wanaonana

  • @LeahFabian
    @LeahFabian 16 วันที่ผ่านมา +2

    ,mungu atusaiidie

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 16 วันที่ผ่านมา +3

    Pitch ya kiwango Cha juu kabisa

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kumbe Simba na yangu TU kulikobakia kama ligi ya Zanzibar

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kaz ipo msimu huu ni ubaya ubwela yaani ni ng'adu kwa ng'adu

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 15 วันที่ผ่านมา +1

    Shida ya Azam hivi:- Simba na Yanga timu kongwe toka 1935 na tokea wakati ule mashabiki wakawa wa timu mbili hizo tu hata Dube si alisema katika uongozi Azam kuna wanaoipenda Simba na Yagsa na hakuna nyengine kwahivo ndio A, am hawana mashabiki wa moyoni kwa hivo hsina popularity

  • @brittonmgaza
    @brittonmgaza 16 วันที่ผ่านมา +6

    Bakhresa kazi anayo team hii ni hasra kwake anavumilia tu. ,,,, Sasaaa. Imagine bakhresa eye mwenyewe Simba team yake hashabikii kutoka moyoni viongozi wa team mashariki wa Simba nayanga. Masshabiki wengi wa Azam ni watoto wa 2010+ inabidi asubiri miaka kumi+ vinginevyo akawatafute viongozi professional nje ya nchi wasio na mahaba kwa ssc na ysc. Ajifunze kwa mamelod humkuti kiongoza mwenye mahaba na Orlando wa caizer

    • @froliansamson1646
      @froliansamson1646 8 วันที่ผ่านมา

      Ww ndo umeona ni hasara koz huna unalonlijua katka biashara zake

  • @MtawaMuu
    @MtawaMuu 16 วันที่ผ่านมา +2

    iv cm yang haiyonyesh au kamera imezingua

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hata yanga mwaka uliopita walitoka sare na jkt Cha ajabu nini kosa liko kwa Azam tu wengine wakifanya hawana kosa makibwa

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kipre na Dube hawakupaswa kuuzwa.
    Pia Azam ni timu ya burudani na biashara haina malengo yoyote kuchukua medali ligi ya ndani ama kimataifa.

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ipo

  • @HeakiMwangata
    @HeakiMwangata 16 วันที่ผ่านมา +2

    Nauza ramba ramba karibuni san

  • @ZaituniAmrani
    @ZaituniAmrani 16 วันที่ผ่านมา +4

    Bonge moja la uwanja

  • @MaryamHassan-s8k
    @MaryamHassan-s8k 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sema huu uwanja upo vzur sana au macho yangu tu

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hii ligumu ndo maana GSM kaamua kuongeza timu kweli yanga bingwa watapata point nyingi sana

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 16 วันที่ผ่านมา +1

      GSM ahahusikaje apo kwa Azam kupoteza point Leo...

  • @MRZ-SPORTTV
    @MRZ-SPORTTV 16 วันที่ผ่านมา +2

    Aprfc 🔥

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 16 วันที่ผ่านมา +4

    Azam wameoza balaa

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 16 วันที่ผ่านมา +3

    Azam wanaponzwa na hizi jezi

  • @WiliamTomas-oo9kb
    @WiliamTomas-oo9kb 16 วันที่ผ่านมา +2

    kwauwanja upo mzur sana

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 16 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂leo fei kafingiwa kwapani ungezani ayupo uwanjani angekua anacheza na yanga sasa ukaona anavyojituma🙌🙌 yani jkt uwezi sema walicheza play off

  • @mrtwo-b9056
    @mrtwo-b9056 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hamuchelewi kwenda kwenye media kulia ...wala mihogo...

  • @user-gg2nz3nj9x
    @user-gg2nz3nj9x 16 วันที่ผ่านมา +4

    Azam wanafeli wap wakuu😄😄😄

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 16 วันที่ผ่านมา +3

    Azamu wamchukue mgunda😊

  • @bestman3651
    @bestman3651 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kesho ni zamu ya Arajiga FC kule Kagera😅

  • @user-cx8nc8ev1z
    @user-cx8nc8ev1z 16 วันที่ผ่านมา +4

    Pengo la kipre junior linaonekan

  • @user-dl9pr3mo2k
    @user-dl9pr3mo2k 16 วันที่ผ่านมา +2

    Tumependa wenyewe azam fc hongera kwa mchezo mzir ila sabu zile nibora sana zikianza ila, dapo aondokeeee au mpeni akademi apo aondkeeeedabo

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 16 วันที่ผ่านมา +3

    Uwanja upo vzuri sana

    • @Immahjr
      @Immahjr 16 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 mvua ikinyesha uwanja hauonekani

  • @user-bj1in6dv1t
    @user-bj1in6dv1t 16 วันที่ผ่านมา +2

    APR FC from Rwanda 🇷🇼 🙏 🤍 We win few goals AZAm is weak😃😃😃😃AZAm vs jku0:0 😃😃😃😃😃

  • @YasintaKisholi-fl3iy
    @YasintaKisholi-fl3iy 15 วันที่ผ่านมา +1

    Vichwa vya wachezaji bado vinawaza kule kwan APR

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kimeumana Leo

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 16 วันที่ผ่านมา +2

    Shida ya timu hii huwa inamkamia yanga na Simba tuu. Lakini mikoani wanafungwa mara wanadroo tuu

  • @DaudKatyampa
    @DaudKatyampa 16 วันที่ผ่านมา +2

    Jkt ni wazuri mwaka uu

  • @mrtwo-b9056
    @mrtwo-b9056 14 วันที่ผ่านมา +1

    Angalieni team zenu huko...leteni kombe ra kilabu bingwa au shilikisho hapa ndoo tutaona ukubwa wenu...m'natupigiza kelele nama lobolobo...yenu hayo...litawakuta jambo mtatafutana kwa torch

  • @salmaamani7021
    @salmaamani7021 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ndo magoli yake hayo off side😂

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba 16 วันที่ผ่านมา +3

    Du hivyo ndo ucheze mabingwa utamfunga nani xaxa

    • @mrtwo-b9056
      @mrtwo-b9056 14 วันที่ผ่านมา

      Heeeeeh kwani hatujashinda nyumbani....na hatujawahi kupigwa nyumbani... Ila hao vilaza wenu 1935..washashiliki marangapi federation... Walikua wanazidiwa na biashara
      Na namungo msisahau mulikotoka hawk Apr walikuchapa 3-1pare Zanzibar...january 2024...kama unabisha nenda
      TH-cam...hivi ile nyimbo ipo tunspindua meza

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi nabashiri mwaka huu Azam hata 5 bora hawatakuwemo take my word

    • @nicksonthomas4935
      @nicksonthomas4935 16 วันที่ผ่านมา

      YANI WE UNATABIR KISA MECHI MOJA WALIYO CHEZA

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 16 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂 Wapi hashimu ibwe huu ndio ushindi kwa Azam FC sio

  • @gideonmhami9589
    @gideonmhami9589 16 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi wanayo

  • @MangoshaComedy
    @MangoshaComedy 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hao wachezaj wa azam inatakiwa wapigwe Wote viboko hasa uyo striker alie ingia kipindi Cha pili

    • @user-ux3jj1er3e
      @user-ux3jj1er3e 16 วันที่ผ่านมา

      Bora useme ww🤣🤣🤣🤣

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 16 วันที่ผ่านมา +3

    Fei miunooooo😂😂😂

  • @user-gw5lb9ju5m
    @user-gw5lb9ju5m 16 วันที่ผ่านมา +3

    Duh

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 16 วันที่ผ่านมา +2

    ILA AZAM FC NGOJA NIANGALIE SINEMA ZETUU NIJILIWAZEE

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ligi wapi AZAM WACHEZAJI HAWAKITUMI BOSS VUNJA TIMU WAKATAFUTE KAZI WAFANYE HAWANA UCHUNGU NA TIMU NDIO MANA HATA MASHABIKI HAMUPATI MNASHINDWA KUJALI PESA ZA WANAO WALIPA.

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 16 วันที่ผ่านมา +4

    Fei ondoka Azam utaumbuka

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 16 วันที่ผ่านมา +1

      Mwenzako kafuata pesa bhanaa

  • @nshimiyimanaisaac3306
    @nshimiyimanaisaac3306 16 วันที่ผ่านมา +2

    You refuse to play cecafa kagame
    That you wanted to Eliminate Apr fc 😂😂

  • @Chigotwe
    @Chigotwe 16 วันที่ผ่านมา +3

    Azam bila kuachana na Feisal kazi wanayo😂😂😂

    • @user-wh5zz5dk2g
      @user-wh5zz5dk2g 16 วันที่ผ่านมา +3

      Acha chuki

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 16 วันที่ผ่านมา +2

      Kumchukia mtu aliyekuzidi maisha ni ujinga sana ,punguza chuki Fey hakuzaliwa acheze yanga tu

    • @Chigotwe
      @Chigotwe 16 วันที่ผ่านมา

      @@emmadora7848 wew acha ukuma hv hyo comment itabadilisha nn khs fey hyo ni some jokes kama umechukulia serious issue juu yako acha shobo broo kwan kunizid maisha ndo kitu gan haend choon ,halali acha ushamba nyoko wewe

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 16 วันที่ผ่านมา

      @@Chigotwe angalau anaenda chooni pazuri kukuzidi ,shame on you ,matusi ya nn ? Hilo neno umesema ndo ulitokea huko

  • @DavidYamungu-rl5os
    @DavidYamungu-rl5os 16 วันที่ผ่านมา +2

    Azam Watajua wenyewe 😂 Ila Nimependa zaid Namna pitch ilivyo boreshwa Good good gooooood YANGA Tutaubonda Vzur Hapa ✅✅✅✅😄

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 16 วันที่ผ่านมา +1

    Azam , mchukueni kocha die Gomes derosa yule nikocha atawafikisha mbali

  • @thecreativefilmproduction7105
    @thecreativefilmproduction7105 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ubaya ubwela

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 16 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂nilizani mitoto ya matajiri ndo hazipogo kabisa kumbe adi timu za matajiri 😂😂duuh aki Azam wakuiokoa naona ni Mungu tu 🙌🙌

  • @EliudiAndasoni
    @EliudiAndasoni 16 วันที่ผ่านมา +3

    Alinyolewa zako tia maji sijui kesho uwanja wa kaitaba mmmmmmmmmmh

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 16 วันที่ผ่านมา +2

    Hii timu haina mvuto kabisa

  • @user-dl9pr3mo2k
    @user-dl9pr3mo2k 16 วันที่ผ่านมา +2

    Saf azam fc tumejitahid tutafanyaje tumependa we yewe azam ila dabo aondokeeeeee

    • @salmaamani7021
      @salmaamani7021 16 วันที่ผ่านมา

      Tatizo ni kocha mkuu

  • @patrickmpangala3098
    @patrickmpangala3098 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ndo maana oscar oscar alisema wakakande chapat tu kiwandani

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 16 วันที่ผ่านมา +2

    Uyofeisali hajacheza

  • @Mariamodest-love
    @Mariamodest-love 16 วันที่ผ่านมา +5

    Aaahaya ndiyo kayakimbia Dube kaona bora ugali dagaaa

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 16 วันที่ผ่านมา +5

    Kuna watu wametangulia na baskeli ya miti

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 16 วันที่ผ่านมา

      Sasa wewe unaumia au niaje?

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 16 วันที่ผ่านมา

      Huu ni mpira unaweza kushangaa wakabaki kileleni hadi mwisho.

    • @kelvinkilumbi118
      @kelvinkilumbi118 16 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo unataka kusema nn

  • @MarciaWaltz-z3q
    @MarciaWaltz-z3q 6 วันที่ผ่านมา

    Wava Rapid

  • @BrayDonard
    @BrayDonard 16 วันที่ผ่านมา +3

    kiwanja kipo mkoa gan hiki

    • @samsifuni
      @samsifuni 16 วันที่ผ่านมา

      Dar es salaam

    • @BrayDonard
      @BrayDonard 16 วันที่ผ่านมา

      @@samsifuni oooh thanks

  • @OmaryAbdallah-f1s
    @OmaryAbdallah-f1s 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ngumu kwa watot

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 16 วันที่ผ่านมา +2

    Azam wabovu

  • @johnmgweno4254
    @johnmgweno4254 16 วันที่ผ่านมา +1

    😊😊😊😊😂😂😂

  • @LeahFabian
    @LeahFabian 16 วันที่ผ่านมา +2

    ,watan wanacheza liin

    • @LeahFabian
      @LeahFabian 16 วันที่ผ่านมา

      ,kwaiiyo azam iinamtegemea fey toto

    • @LeahFabian
      @LeahFabian 16 วันที่ผ่านมา

      ,,watamuze esha mzanzibar

    • @LeahFabian
      @LeahFabian 15 วันที่ผ่านมา

      ,nawaombea tm yang yasimba mahndariz mema yamech yao yakirafik

  • @dogomusa6484
    @dogomusa6484 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kivumbi

  • @JosephMgore
    @JosephMgore 16 วันที่ผ่านมา +2

    Azam na simba jazi wanao

  • @BizedyBbby
    @BizedyBbby 16 วันที่ผ่านมา +1

    Azam ni kwa kuuza soda mpira😂😂😂

  • @alexwizeboy2251
    @alexwizeboy2251 16 วันที่ผ่านมา +1

    Azamu wakaombewe

    • @EliudiAndasoni
      @EliudiAndasoni 16 วันที่ผ่านมา +1

      Nooo saikological imewaathiriiiiii kutolewa club bingwa

  • @user-hk7bp6pt6f
    @user-hk7bp6pt6f 16 วันที่ผ่านมา +2

    😅😅😅😅

  • @jumajuma3679
    @jumajuma3679 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mmhhh

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t 16 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂🎉🎉

  • @jilalamaligisa4854
    @jilalamaligisa4854 16 วันที่ผ่านมา +1

    Azam bhna

  • @faidha23
    @faidha23 16 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂

  • @Joshuaboy-l2g
    @Joshuaboy-l2g 16 วันที่ผ่านมา +2

    Azam washaza kusinguwa