TAZAMA ASKARI POLISI WALIVYOUAWA NA JAMBAZI WAKATI WAKIPIGANA RISASI DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaims ila wazembe🙊🙊🙊🙊😭😭😭😭😭😭

  • @ImaniMwakipesile-r9k
    @ImaniMwakipesile-r9k 3 วันที่ผ่านมา

    Pole ndugu najamaa wamaafande,jambazi alikuwa nimpuuzi nafala nasio kwamba wale askali walishindwa kumuua nawao wakabaki, walikuwa wanaweza isipo kuwa walipotakakumkamata kwakumzibiti, yeye akawa namawazo yakuwauwa askali, askalikujitetea wakawa wamechelewa,atauwe nakosagani huwayanaisha angefungwa miakakadhaa angetoka angeendelea namaisha,Askali wanapoenda kumkamata mualifu kamaujaleta pululushani yeyote wataishia kukupiga ambayo nihali yakukuzibiti wakikuuwa jua ulionesha Hali yahatar sana.R.i.p maafande

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 3 วันที่ผ่านมา

    Poleni wafiwa mungu atawatis nguvu

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 วันที่ผ่านมา

    Kifo ni kifo poleni sana

  • @jerome3143
    @jerome3143 2 วันที่ผ่านมา

    Awa jamaa awanaga mbinu ya kijeshi

  • @MzalendoMatelephon
    @MzalendoMatelephon 2 วันที่ผ่านมา

    Duuu

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza 3 วันที่ผ่านมา

    jamani kwani arikuwa na siraha au aritumia zawario kwenda kumukamata

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza 3 วันที่ผ่านมา

    mngu aritowa na mgu ametwa jinarake rihimidiwe

  • @ObeidChamila
    @ObeidChamila 3 วันที่ผ่านมา

    HAKI za binadamu WAKO wapi,?? Wazee mashuhuri WAKO kukemea mauaji haya? Au hao waliouawa ni mbwa tu?

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza 3 วันที่ผ่านมา

    yote maisha kira 1 ataonja mauti tutakukutana mbinguni sikuzao zirikuwa zimefika

  • @MagrethMwandumbya
    @MagrethMwandumbya 3 วันที่ผ่านมา

    Na yeye kafa

  • @annafredinandmatandiko8438
    @annafredinandmatandiko8438 3 วันที่ผ่านมา

    Jambazi amekufa kishujaa

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 3 วันที่ผ่านมา

      Hakuwa jambazi bali madai

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 3 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo ni hii hofu iliyowaingilia wananchi ya watu wasiojulikana, ukipelekwa huko hurudi Tena kwenu. Sasa watu wameanza kujihami bila kufikiri. Natamani tamko lingetoka la kuondoa hii hofu ili askari wetu wafanye kazi ktk mazingira rafiki na raia wawe na moyo wa kutoa ushirikiano. MUNGU nakuomba rudisha amani ya taifa letu.