Ukiona watu wanatoa comments za kuvunja moyo mafunzo haya basi ujue aidha aliitafuta hii nafasi akaikosa au aliipata lakini baadae alikimbia baada ya kukosa uvumilivu, povu ruksa
Chombo chenye watu wenye umahiri, uweledi na kaz zao na kujitoa kw Taifa lao naipenda Tz kw jeshi No one Africa nzima nilitaman niwe namm Ktk Bakabaka namm
Hongera sana JWTZ tuna imanj na jeshi letu..Mungu yupo upande wetu siku zote TZ HATUJAWAHI SHINDWA VITA YOYOYE HATA KORONA TUMEISHINDA
That's why i proudly to be tanzanian
Hhh mumefichwa ukweli, maiti yawo ni mengi sana, waliotekwa ni wengi mukioneshwa ukweli wenyewe mutalia kabisaa
Safi sana apa kazitu
INFANTRIA LEVEL 1 KANALI MYALA HII NDO HAZINA ILIYO BAKI SAFIIIIIIIII
Hakika brother
0.59 nmemuona kamanda miyala alivyocheka alipotaja neno Virus,kijeshi kuna kitu kamaanisha kikubwa sana tu,wako makini mnoo JWTZ,love them for that.
Amazing video
Kazi mzuri
Ukiona watu wanatoa comments za kuvunja moyo mafunzo haya basi ujue aidha aliitafuta hii nafasi akaikosa au aliipata lakini baadae alikimbia baada ya kukosa uvumilivu, povu ruksa
Da umenigusa lakini niliikosa
Kwel kabisa dogo, wivu tu tz umewajaa ngoz zetu Hiz za kiafrica zinashida kwel
Hongereni
😂😂 hiyo niku jisifu tuu, kuna maiti nyingi zawo, kuna walioshikwa matekwa,utashanhaa mukiwaona
Salute mkuu 👉👩🚒
Nzuri iyooo
Nimekubali hiyo
Naomba nikurushie bomu.
Chombo chenye watu wenye umahiri, uweledi na kaz zao na kujitoa kw Taifa lao naipenda Tz kw jeshi No one Africa nzima nilitaman niwe namm Ktk Bakabaka namm
mbona amna barakoa
Sio mifuko ya cement hawa jamaa noma
Cute
awiiiiiiiiiiiìiiiiiii
Wakapambane na corona tuone ushujaa wao
Zero brain
Mwehu wewe!!!
Ngoja wakutafute😂
Mbona marekan kashindwa
Jitafakar kabla haujanena,lasivyo utatupa lawama!
th-cam.com/video/DpOEJbBoae8/w-d-xo.html
MAMBA WANAVYOJIPATIA CHAKULAA 🔥 🔥🔥 🔥
naonaa maigizoo tyuu hakunaa tofautii na bongo movies🤣🤣🤣
Igiza na wewe kama ni rahisi
Zero brain
Mwehu wewe!!!
Bogo movie ya wapi wanaoigiza hivyo
Acha upambavu, tutakuja tukuvunje nyonga
Wakiondoka hapo ni njaa tu ,waende kufakamia ugali kwa nyama ya tembo au viboko wavimbe matumbo wafiliembali.
Zero brain
Hamna lolote nyie
Zero brain
Chokoza uone!!!
@@jumakapilima5674 hahahahahhhhh
Kwani ni movie hyo mpaka waombe credit kwenu🤣🤣, ukue kiakili
Upewe tuu hyo grenade unajikojolea 🤣🤣,unafikilia muda wowote inaweza kukulipukia🤣🤣