Da zari unajitahidi sana kwa kutupa maelekezo shida ipo ubarozibaba KILIMA alikuwa hana ubaguzi wa bara wala Zanzibar ila kwa sasa mtihani wallah cjui kwa wafanyakazi wa kizanzibar kama wanapata msaada piatia hapo ubarozi
Haswa dada yangu hao wameshazoea kudanga kazi tuu kuzurura bos anaekuzuia usiende nje nia yake ni nzur tuu huyo dada hajui maisha muache arudi Tanzania
Nifike au nifikishwe?? Mtu unapokelewa uwanja wandege unaenda moja kwa moja ofisini au kwa boss ukitoka utapelekwa hospital kwa ajili ya vipimo bass imeisha hiyo ukikuona tena nje ni ukimaliza mkataba, hayo mambo ya photocopy yameandikwa tu utaijuaje hiyo stationary
Hayo maandishi tu kwa mfano mtu Ana mkataba originally mkononi na mwingine upo mwenye simu, boss nae Ana mkataba wake tofauti na wa kwangu,mkataba wangu unasema Mia ishirini mkataba wake unasema themanini which is which ,serikali jitahid kufanya namna hiyo mikataba iwe mimoja tuu
Mie nashukur nimejenga na pesa za oman na siyo wote wanao kuja huku kufanya madudu ni baadhi ya wadada ndo wanaharibu nchi yetuy na huku tulipo
Kilasiku jambo iloilo mnatuchosha😊😊😊
Ongea tu ubaroz tunaujuwa ss😊😊😊😊
Da zari unajitahidi sana kwa kutupa maelekezo shida ipo ubarozibaba KILIMA alikuwa hana ubaguzi wa bara wala Zanzibar ila kwa sasa mtihani wallah cjui kwa wafanyakazi wa kizanzibar kama wanapata msaada piatia hapo ubarozi
Tatizo Hawa mabosi wetu hawataki kufata Sheria zilizomo kwenye mkataba
Wadada wengine wavivu walijua wakija huku wanakuta chumba naseble
Hao baloz utazani huwa wanasikiliza watu😂😂😂😂 Utajisumbua bule
Umeonaee awana kaz oman ndio kiki
@rayahamisi118 yani mtu akiamua kuja huku inabidi ujipange ukitegemea ubalozi utachina
Sasa dd kwani hio ni changamoto kupendwa na boss? Sasa wakiteswa wanasema wakipendwa wanasemwa. Wanataka nini Hawa binadam jamani???? 😮😮
UNGEONGEA KUHUSU SAUD ARABIA KWENYE MATESOMEGI NA MAUAJI MENGI OMAN NIPAZURI HATAJISIKIA WAUAJIHUKO 😮😮😮
Da Zari ukishamaliza na wa Omani tunataka khabari ya wafanya kazi wa ndani wa Tanzania .
Uyu ata Tanzania akujui anakujuwa oman tu😂😂😂
Tena wew mwarabu Koko mwarabu hajui kuandika kiswahili kwa taarifa yako Sasa wew nenda Tanzania kafanye kazi za ndani
Dada subir bas tuskilize mbona ivyo
Haswa dada yangu hao wameshazoea kudanga kazi tuu kuzurura bos anaekuzuia usiende nje nia yake ni nzur tuu huyo dada hajui maisha muache arudi Tanzania
Tena hao wanaokuja kuongea uongo kwenye mtandao Tena wakome wasituharibie tunaopambana kwa waarabu kwa kusaidia family zetu
Sasa da zar mbona mi nkiomba mapumzko bos wangu atak anasema sisi watanzania atuna mapumzko
Mmh waongee
❤❤❤
😂😂😂 mwenye haki ni mfanyakazi boss hana haki
Dada Zari mkataba sio tija tija wanao fanyiwa kazi ndio wakorofi sasa hivi ubalozi sio kama enzi ya KILIMA alikuwa anajali Sana wafanyakazi 😢😢😢
Umeonaee
Umeonaee
MWANANGU ZARI HIYOYOTE NIUNGO KWANINI MFANYAKAZI ANANYANGANYIA SIMU AKIFIKA HUKO ?? WASIKUPANGE UONGO
WENYEKWENDA HUKO NI SHIDA TU UONGO MTUPU 😮😮😮😮😮
Nifike au nifikishwe?? Mtu unapokelewa uwanja wandege unaenda moja kwa moja ofisini au kwa boss ukitoka utapelekwa hospital kwa ajili ya vipimo bass imeisha hiyo ukikuona tena nje ni ukimaliza mkataba, hayo mambo ya photocopy yameandikwa tu utaijuaje hiyo stationary
Wengine atujui kiarabu inakuwaje hapo
Anachanganyikiwaje jaman
Kwa. Nn wao watoe pesa
Lakin mbona mi naishi vizur shida watu wanapokuja uku wanakuja na mambo mengne
Kumekucha amna habari eeeeeeeeee
Hayo maandishi tu kwa mfano mtu Ana mkataba originally mkononi na mwingine upo mwenye simu, boss nae Ana mkataba wake tofauti na wa kwangu,mkataba wangu unasema Mia ishirini mkataba wake unasema themanini which is which ,serikali jitahid kufanya namna hiyo mikataba iwe mimoja tuu
dazari Bado siku zimebakivnyingi kufa kwa mtu kusahaurika
Kuhusu kiinua mgongo hio wengi hatulipwi kabisa mtu unakaa kwa bosi miaka sita unaweza hata umesafiri maramojatu lakini hulipwi likizo zako
Kwa upande wangu kumpa ajent asant si mbaya
Duuh sisi tulikuja Kama mbuz wa kafara
Nipe namba yako tuwasiliane