Da zari unajitahidi sana kwa kutupa maelekezo shida ipo ubarozibaba KILIMA alikuwa hana ubaguzi wa bara wala Zanzibar ila kwa sasa mtihani wallah cjui kwa wafanyakazi wa kizanzibar kama wanapata msaada piatia hapo ubarozi
Nifike au nifikishwe?? Mtu unapokelewa uwanja wandege unaenda moja kwa moja ofisini au kwa boss ukitoka utapelekwa hospital kwa ajili ya vipimo bass imeisha hiyo ukikuona tena nje ni ukimaliza mkataba, hayo mambo ya photocopy yameandikwa tu utaijuaje hiyo stationary
Sheria watu wanazijua na maboss wanaulipia wenyewe mkataba na wanaelewa kipi kilichopo ndani lkn kutekeleza ndio mtihn ni wachache sana waelewa. Inapofika mfanyakazi anataka haki yake itendeke eg. Holiday, kuongezwa mshahara ama kulipwa anapokuwa amefanya kazi siku yake ya mapunzik ndio pale tunaonekana siye wakorofi... Kuwa na mkataba sio ttz ttzo maboss wetu hawafat sheria..# kikubwa ni kuwa na sabr kumtegemea Mungu na kushukuru kwa kila jambo + kufanya kazi kwa malengo na bidii...
Habali zenu wote wadau jamani mimi nauliza Iraq mpo humu mm nataka juaa kama kuna mtu ambaye anafanya kazi Iraq kwa mkataba wa mwaka mmoja kama ipo naomba unitafute
Haswa dada yangu hao wameshazoea kudanga kazi tuu kuzurura bos anaekuzuia usiende nje nia yake ni nzur tuu huyo dada hajui maisha muache arudi Tanzania
Hayo maandishi tu kwa mfano mtu Ana mkataba originally mkononi na mwingine upo mwenye simu, boss nae Ana mkataba wake tofauti na wa kwangu,mkataba wangu unasema Mia ishirini mkataba wake unasema themanini which is which ,serikali jitahid kufanya namna hiyo mikataba iwe mimoja tuu
Wadada wengine wavivu walijua wakija huku wanakuta chumba naseble
Mie nashukur nimejenga na pesa za oman na siyo wote wanao kuja huku kufanya madudu ni baadhi ya wadada ndo wanaharibu nchi yetuy na huku tulipo
Ongea tu ubaroz tunaujuwa ss😊😊😊😊
Da zari unajitahidi sana kwa kutupa maelekezo shida ipo ubarozibaba KILIMA alikuwa hana ubaguzi wa bara wala Zanzibar ila kwa sasa mtihani wallah cjui kwa wafanyakazi wa kizanzibar kama wanapata msaada piatia hapo ubarozi
Yule baba Allah ampe umri mrefu alikua anatupambania
Kilasiku jambo iloilo mnatuchosha😊😊😊
Hao baloz utazani huwa wanasikiliza watu😂😂😂😂 Utajisumbua bule
Umeonaee awana kaz oman ndio kiki
@rayahamisi118 yani mtu akiamua kuja huku inabidi ujipange ukitegemea ubalozi utachina
Nifike au nifikishwe?? Mtu unapokelewa uwanja wandege unaenda moja kwa moja ofisini au kwa boss ukitoka utapelekwa hospital kwa ajili ya vipimo bass imeisha hiyo ukikuona tena nje ni ukimaliza mkataba, hayo mambo ya photocopy yameandikwa tu utaijuaje hiyo stationary
UNGEONGEA KUHUSU SAUD ARABIA KWENYE MATESOMEGI NA MAUAJI MENGI OMAN NIPAZURI HATAJISIKIA WAUAJIHUKO 😮😮😮
Tatizo Hawa mabosi wetu hawataki kufata Sheria zilizomo kwenye mkataba
mm Kwakweli nina 5 years na nina ijaza yangu kila mwezi
Sasa dd kwani hio ni changamoto kupendwa na boss? Sasa wakiteswa wanasema wakipendwa wanasemwa. Wanataka nini Hawa binadam jamani???? 😮😮
Sheria watu wanazijua na maboss wanaulipia wenyewe mkataba na wanaelewa kipi kilichopo ndani lkn kutekeleza ndio mtihn ni wachache sana waelewa. Inapofika mfanyakazi anataka haki yake itendeke eg. Holiday, kuongezwa mshahara ama kulipwa anapokuwa amefanya kazi siku yake ya mapunzik ndio pale tunaonekana siye wakorofi... Kuwa na mkataba sio ttz ttzo maboss wetu hawafat sheria..# kikubwa ni kuwa na sabr kumtegemea Mungu na kushukuru kwa kila jambo + kufanya kazi kwa malengo na bidii...
Kwa waliokuwepo oman msikilize huyo na ubalozi.
Dada subir bas tuskilize mbona ivyo
❤❤❤
Mmh waongee
😂😂😂 mwenye haki ni mfanyakazi boss hana haki
Habali zenu wote wadau jamani mimi nauliza Iraq mpo humu mm nataka juaa kama kuna mtu ambaye anafanya kazi Iraq kwa mkataba wa mwaka mmoja kama ipo naomba unitafute
Haswa dada yangu hao wameshazoea kudanga kazi tuu kuzurura bos anaekuzuia usiende nje nia yake ni nzur tuu huyo dada hajui maisha muache arudi Tanzania
Tena hao wanaokuja kuongea uongo kwenye mtandao Tena wakome wasituharibie tunaopambana kwa waarabu kwa kusaidia family zetu
Lakin mbona mi naishi vizur shida watu wanapokuja uku wanakuja na mambo mengne
Wengine atujui kiarabu inakuwaje hapo
Kwa. Nn wao watoe pesa
Kumekucha amna habari eeeeeeeeee
Anachanganyikiwaje jaman
dazari Bado siku zimebakivnyingi kufa kwa mtu kusahaurika
Sasa da zar mbona mi nkiomba mapumzko bos wangu atak anasema sisi watanzania atuna mapumzko
Maana sisi nimaroboti hatuchoki
Hayo maandishi tu kwa mfano mtu Ana mkataba originally mkononi na mwingine upo mwenye simu, boss nae Ana mkataba wake tofauti na wa kwangu,mkataba wangu unasema Mia ishirini mkataba wake unasema themanini which is which ,serikali jitahid kufanya namna hiyo mikataba iwe mimoja tuu
Dada Zari mkataba sio tija tija wanao fanyiwa kazi ndio wakorofi sasa hivi ubalozi sio kama enzi ya KILIMA alikuwa anajali Sana wafanyakazi 😢😢😢
Umeonaee
Umeonaee
Kabisa
Hii yote wala haina faida ni ubalozi umemua tu kujitoa
MWANANGU ZARI HIYOYOTE NIUNGO KWANINI MFANYAKAZI ANANYANGANYIA SIMU AKIFIKA HUKO ?? WASIKUPANGE UONGO
WENYEKWENDA HUKO NI SHIDA TU UONGO MTUPU 😮😮😮😮😮
Hata sisi tulipo vika hofsini wakatunyanganya simutusiongee na simu awtudendei haki
Kuhusu kiinua mgongo hio wengi hatulipwi kabisa mtu unakaa kwa bosi miaka sita unaweza hata umesafiri maramojatu lakini hulipwi likizo zako
Kwa upande wangu kumpa ajent asant si mbaya
Duuh sisi tulikuja Kama mbuz wa kafara
Nipe namba yako tuwasiliane
Kwakweli Yani siku hizi hatusaminiani kabisa yani tunanyanyasana kisa hela shida kweli