Kala Jeremiah Ft Sholo Mwamba - WEWE (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- Kufuatia ndoa nyingi za siku hizi kuwa na changamoto nyingi ikiwemo kuvunjika mara kwa mara ujumbe huu ni maalum kwa ajili ya kila Binti au Mwanamke anayetarajia kuingia kwenye ndoa na yule ambae tayari yuko kwenye ndoa, SIKILIZA UELEWE, NAONGEA NA #WEWE #KALAJEREMIAH FT #SHOLOMWAMBA
Follow Kala Jeremiah on Instagram: / kalajeremiah
Follow Kala Jeremiah on Facebook: / kala0444
Follow Kala Jeremiah on Twitter: / kalajeremiah - เพลง
mASHAIRI YA WIMBO #WEWE BY KALA JEREMIAH Ft SHOLO MWAMBA
Ubeti wa Kwanza:
nISIKILIZE MIMI KAMA UNATAKA UOLEWE/
KABLA YA KUPENDA HAKIKISHA UNAJIPENDA MWENYEWE/
NAONGEA NA WEWE,
PUUZA HAYA MAANDIKO KAMA MPIRA UCHEZEWE/
WE KIFARANGA CHEKI JUU KUNA WINGU LA MWEWE/
WANASUBIRI UJICHANGANYE, UBUGI, UPITIWE/
USIFIWE SIFIWE UDANGANYWE UCHACHULIWE/
KAMA MAKINIKIA ZUBAA UCHENJULIWE/
KEUSI KEKUNDU FUNIKA KISHA UFUNULIWE/
WEKA TAMAA MBELE KA KUKU UNUNULIWE/
UDANGANYIKE KWA MTAMA UCHINJWE ULIWE/
KUWA MAKINI KUTOFAUTISHA MWAMBA NA JIWE/
AKIKUPENDA MUENDE ANGAZA MPIME NDO UOLEWE/
USIKUBALI KUWA MJINGA BINTI MZURI KAMA WEWE/
PUNGUZA KIWEWE/
AKIKUTOA OUT USIKUBALI ULEWE/
HATA NAULI YA BAJAJI USIKUBALI UPEWE/
NA UKIFUATA NIYASEMAYO HAITATOKEA UCHEZEWE/
Kiitikio:
NASEMA NASEMA NASEMA NASEMA NA WEWE DADA/
USIJIFANYE HUNISIKII NAONGEA NA WEWE/
(USIJIFANYE HUNISIKII NAONGEA NA WEWE)
NAANZA NA WEWE NA MWINGINE ANAFUATIA/
(USIJIFANYE HUNISIKII NAONGEA NA WEWE)
USIJIFANYE HUNISIKII MI NAONGEA NA WEWE WEWE/
NAONGEA NA WEWE WEWE/
NAONGEA NA WEWE WEWE/
NAONGEA NA WEWE WEWE/
Ubeti wa pili:
uMEOLEWA UKO NYUMBANI MUME AMETOKA/
SHATI NA SURUALI HAKIKISHA VIMENYOOKA/
USISAHAU KUJIFUNZA KUNG'ARISHA MOKA/
AKIRUDI MPE KISS HATA KAMA NI MTU WA KUMOKA/
AKITAKA UMPE MPE HATA KAMA UMECHOKA/
KESHENI MACHO MTALALA UZEENI KAMA CHOKA/
WE NDO MWANAMKE WA SHOKA/
LA LIGA IKIANZA KAA NAE MCHEKI SOCCER/
MUULIZE MESI NDO YUPI? HATA KAMA UNAMNYAKA/
YANI LISTEN MAMA PLEASE SAY MAMA KAMA UNA SIFA HIZI SEMA UKO WAPI?/
NIKO NJIANI SEMA NIKUFUATE WAPI?/
YOOOH NINA MASWALI KICHWANI JE UTAFIA MSIBANI?/
AU UTAFIA VITANI?/
JE UTAWEZA KUYASHINDA MAJARIBU YA SHETANI/
AU UTAISHIA NJIANI KISA NENO LA JIRANI?/
UMTUPE MKONO MWENZAKO UMCHINJE NYANI/
UPENDO WA MWENZAKO UGEUKE RUNGU KICHWANI/
UMTOBOE MACHO KISHA UMSUKUMIZE GIZANI?
Kiitikio:
NASEMA NASEMA NASEMA NASEMA NA WEWE DADA/
USIJIFANYE HUNISIKII NAONGEA NA WEWE/
(USIJIFANYE HUNISIKII NAONGEA NA WEWE)
NAANZA NA WEWE NA MWINGINE ANAFUATIA/
(USIJIFANYE HUNISIKII NAONGEA NA WEWE)
USIJIFANYE HUNISIKII MI NAONGEA NA WEWE WEWE/
NAONGEA NA WEWE WEWE/
NAONGEA NA WEWE WEWE/
NAONGEA NA WEWE WEWE/
Ubeti wa tatu:
nDOA INA MAMBO KIBAO/
KAA MBALI NA SIMU YA MWENZA NA MITANDAO/
WAEPUKE RAFIKI VISHUNGI NA VICHWA VYAO/
WAAMBIE MAPEMA WAFUNGE BAKULI ZAO/
KARIBU NA MUME WAKO WASISOGEZE KWATO ZAO/
NI KUFA AMA KUPONA ZUBAA UPIGWE BAO/
WANATAKA USIMAME KWA KITI WAKAE WAO/
KUFA NA CHAKO WAAMBIE WAKAFIE MAKWAO/
UMEPENDEZA WAO/
MUNGU AWAPE BARAKA ZA MIFUGO NA MAZAO/
AWAPE AFYA BORA KISHA AWAPE UZAO/
CHINI YA PAA KUKURUKA MPAKA AOMBE PO/
KAMA UNALIPWA DOH/
JASHO MWILI MZIMA ILE LEVEL YA KUKATA ROHO/
KAKA AKIZINDUKA ATAIMBA ILE VERSE YA MILUPO NOOOO/
YOOH 0444/
Kibwagizo:
HATARIIII LAKINI SALAMA/
JAMANII WE BOSS KALEWA LEO/
WANANGU BOSS KALEWA LEO/
WANANGU WANA BELI KALI WANADUNDO KALI WANA BAMBA KALI WANANGU WANAWAKAAA/
WANAMEREMETA WANAWAKA/
WANANGU WANAMEREMETA WANAWAKAA/
MASELA BOSS KALEWA LEOO/
BASI TENA NIPE TENA/
Huyu dada ni nan kwny kiitikio
Kaka umetisha yani
Nichukue Fursa hii kuwashukuru kwa dhati kwa support yenu inayonipa nguvu sana, asanteni sana kwa comments zenu hakika zinanipa faraja sana, naomba msisahau ku subscribe na kushare pia ku comment, Asanteni sana🙏🙏🙏
Kama unajua unajua tu kaka umetisha mzee wa 044
Pamoja sana mwamba
Nkubal San kala unasaut y kpkee bro big up team kala
Big up kaka
Blessings 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Team kala jeremaya tujuane jmn ata kwa like
Ebana uyo duu anakata miuno kavaa miwan kanikosha balaa🙌🙌🙌🙌
Ebana hi ngoma kali xana Kama unamini ni nacho kisema gonga like Apo
Akitaka mpe mpe2 hata Kama umechoka👍
Hii ngoma angemuweka meja kunta ingekua bonge la ngoma huyu jamaa wa singer saut yake ni kama kuna kitu kinafeli yani ni kama chai haijakolea sukar meja au lavalava hii ngoma ingekua number one trendng ingekua ngoma kali sana kama unawza ukanielewa tafta hao watu mojawapo piga rimix utaniambia namkubal sana kala jeremiah ni fundi mzur sana hata hivo nasikiliza tu vesi za kala akaliza na mute hadi atakapo anza tena kala
Au ungewekwa wew Ngoma ingetisha zaidiiii🤣😂🤣🤣
Si mchezo kaka mkubwa Kala, umetisha sana kwenye hii ngoma kumbe unaweza kubadilika.
Fundi mtu mbad kala mwenye jeremiah zake
Ngoma hii kala umefeli umeshindwa kupangilia mashaili kama tulivyozoea'sholo umetisha sana'yeah bonge la ngoma;
Bro kalla we ni genius tunataka nyimbo zako nyingi nliacha shule ilinipate mda wa kuskiliza nyimbo zako dondosha ngoma 💪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka
Big ndani ya nyumba kama kawaida ila wakati huu dk za nyongeza 😀😀😀😀
Nimejikuta naiskiliza zaidi ya mara moja...❣️asanteee kalah kwa kutuhelimisha wadada,,mwenye maskio ameskia 👏👏
Kama umegundua kuwa kala alishutia kwenye madarasa ya chuo gonga likeee 😂😂
Anayemkubali kala tujuane hapa
Hatare sanaaaaaaaaaaa
Duh huyu dada mwenye bwanga ana hatareeeeee ase duh
usifiwesifiwe udanganyike mwisho uliwe❤
Kuliwa lazima😅😅😅😅
Mhhhhhh
Duh Yan Sikutegemea Kabisa Kama Ntakutana Na Hii Ki2 Aise Hongera Sana
Wap Shoro Mbwaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Mamaaaee kala hatar
Ninatabia yakukuelewa sana kara jeremaya
Ufunike kunduu ufunuliweee hah hah
Singeli ina power nimeamin hadi imemvuta #kala
Kumbe ilikuwa wimbo mm Nilijua kaoa kweli
Yani mi nikajua kaoa hawa wasaniii ni mavi sana dah
Asante Kwa ushauri Kaka kama wapo walioelewa kama Mimi like👏👏👏
Kama umeelewa uko tayari kuolewa au kuchezewa?
@@selemanichiga5828 Sizani Kama kuna MTU anapenda kuchezewa
Nafahamu kuwa hakuna mtu anaependa kuchezewa Ila nyinyi dada zangu huwa mnapenda mnapo penda nyinyi mkipendwa na mtu ambae anamapenzi ya kweli huwa mnawazingua kwa kuwakera kama morison wasimba anavyo wakera Yanga.
@@selemanichiga5828 😂😂😂😂🤭😅
@@aishasilaji5759 mbona hivyo Tena
Jipende kwanza kabla sijakupenda
Looh yule raper mkali siku hizi anaimba singeli
Kwa hiyo Nandy kuimba na Koffi anaimba rumba? huyo Sholo Mwamba kashirikishwa tu kuweka ladha tofauti lkn Kala kachana km kawaida haina maana hiyo ngoma yote singeli
We ni noko baba umetisha mwamba kala
Umeuza kaka .wenya hakili watatoka na kitu cha maishayawo🙏🙏🙏
Hapo kwenye aloo wew aloo teena atareee
Kaka mm bnafsi nimekuelewa nymbo yako iko vzr tunajfnza 🙏🙏
Brother kala umetisha Sanaaaa
Yes kuna vitu vinaskika vimeimbwa
Duuuuuuh hii ni nyundo ya mahakamani
Ninachoskiliza na maandishi ya wimbo
Hatariii ila salamaaa
Duh umetisha kaka jelemia ujakosea pia kumuweka sholo mwamba
Amna mkate mgumu mbele ya chai mwamba
Mchanganyiko wa Radha alf imekuwa nzur kwa afya.......🤸🤸🤸🎺🎤🎺🎤🔥🔥🔥
Kala jeremaiah unajuaaa mzee babaaa
Duuuuu bonge la ushauri na huyu jamaa kaflow bila kujali beat itampoteza na kaipatia
Kaka @kalajeremaya nilikua nasubili uimbe singer akiamungu hii ni moja ya trending 2021🔥🔥🔥🔥🔥
Kalaa hakunaa Kama wewe💯💯💯💯🔥
We msenge kala kumamae umetisha knoma
Hilo bwanga mauno feni dadek bonge la ngoma dada kacheza
Nyimbo ya Nandi naye kashauzinduwa nzur nzur Kuna mmoja alisema mbaya nikamwambia kwa vile Mpya ujaizoea bado na ashamzoea kwa stail nyingine ile bolingo
Kesheni macho mtalala uzeeni kama shoka😂🔊🔊🔊🔊🔊🔊🎤🎤🎤
Ngoma Kali Kk hatar
Ebhaneee yaan kala umetixha
definition of a true Tanzanian artist👌👌
daaa nimeupenda sana nyimbo inaushauri sana daaa safi sana kaka hii ndo singeli ya kistaarabu kaka safi sana gonga like jamani kama umeipenda
Nampenda sana kala anaimba kiutu uzima
Sema Kala Mke Wake Mzuri Saaaaaana
Uyu mwamba hajawai kunifelisha
Piga kereeeeeeeee kwa kala jeremaya nimekumic sana rudi babaaba.
Nakubal saaana kala hasa mpangilio wa vina yani verse nzima yaani
We
We
We
We
We
Ni
Ni
Ni
Ni
Ni
O
O
O
O
O
Raha sana nyimbo zakee gonga like kama unamkubal
Kiukweri Goma kaliiiiiii safi
Nakukubali sana Kallah. Hongera.
Song ni kaleee. I was lookng for Bongee ,kumbe yupo bhna 😂😂😂😂
UNGEMUEKA SUNURA INGEKUWA HIT SONG
Hatasaivi pia n hit song
Eeh akikutoa out usikubali ulewe 👌 👌
Nkwel wengi out wanaleweshwa San duh et agiza ntalipia 😜😛🤪🤣 badae aliwe jmn
Ujawahi kukosea kala
Arooohh Weeehh Aroooohh Tenaaa
hatar na nusu
Naupenda huu wimbo
kwel boss kalewa
Singeli moja la kistaharabu
Ngoma Kali inayoishi
Dwuuh hii ngoma nmekubali
Oyoooo mmeua kaka pamoja sana kizazy
Nmemuelewa mzee baba
Kua makini kutofautisha kati ya mwamba na juwe na na ongea na ww
Hivi kweli ngoma kali kama hii bado haijafikisha viewers milion aisee 😬😬
Brooo naaminii unajua tena unapumzi ndefu
Ndoa bwana..
Hii ngoma balaa
kaliiii sana
Kala hi ngoma umetisha
Nilijua2 kuwa mzigo uko njiani
Ngoma kali sana umetisha
Kala Unaweza uwezo binafsi kaka
🔥🔥🔥 kala kama kala hii ni 🔥🔥🔥💥
Keshen mtalala mkizeeka😂❤
Kala...so hot....I really missed you... Na umekuja na kitu ya Moto ahsanteee.......
Hii ngoma kali kajtahj
Duuuh!! Ipe likee hii ngoma mana Kala ni nomaaa
Mmh Ujumbe Umefika
Iko poa Sana aiseee
Nmeelewa verse Kali sana
🙌bro nakubali michano
Sholo hajafanya vzuri kabisa aisee
Bonge ana balaaa kaingia na mkwara wa hatar
mhhhhhh iko poa sana
Mi nilijua kweli kaowa kumbe wimbo? Daaah
Uko vzr kaka angu
Kubwa sana 🔥🌍🔥
Tunakikao kuhusu mizinga na nauli ya bajaji
Upo sawa kaka
Hujawah toa Kazi mbovu
Kalii