KUKWAMA KUNAKOSABABISHWA NA WALIOKUTANGULIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • #Karibu katika channel ya Mtumishi AYUBU MWAFYELA
    VIPINDI VYETU VYA LIVE
    1. Kipindi cha My TURNING POINT kila siku saa 3 Usiku unapokea Mabadiliko kwa Kurejeshewa kila kilichokufa na kuibiwa kwa Namna ya Neno,Maombi na Maombezi
    2. Anza Wiki na Bwana Kila siku ya JUMATATU asubuhi saa 11
    3. Maombi ya Mwisho wa Mwezi Kila TAREHE za MWISHO WA Mwezi
    4. AMKA TUOMBE
    Saa 7 - saa 9 Usiku.
    NENO LINALOTUONGOZA
    Yoeli 2:25
    [25] Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. Unaweza tusaidia kushare link za Mafundisho Yetu Kwa rafiki zako, ndugu na jamaa Tumia Namba hizi kwa mawasiliano na kusapoti #injiliyakristo kwa watu wengi 0742523517 0623125796 0774595243

ความคิดเห็น •