Jonijoo anachokosea ni kujaribu kuiga matamshi ya kiingereza ya wakenya... Prezoo yeye anamleta kwenye kiswahili... Jonijoo alitakiwa atembee na kiswahili
JONIJO Kiingereza hukijui kwann uinalazimisha kwann usiwe free kuongea kiswahili chako >> watangazi wa kitanzania mnaboa sanma sana . prezoo mwachi english yake piga kiswahili mbona fresh tuuu mnakera sama bhaana badilikeni achenim ujimga wa kuiga iga
Huyu jamaa nilikuwa namkubali kwenye style yake ya Kurap🎉🎉🎉🎉
ANAZUNGUMZA KISWAHILI KIZURI SANA MKUBWA PREZZO🫶
Mtu yeyote ambaye ana umri wa juu anaelewa kiswahili vizuri kwa sababu Kiswahili ambacho kilikuwepo zamani Kenya ni cha hali ya juu sana
Prezzo ata asipotoa ngoma Bado Ako trending.Good to see you bro
Prezoo namkubali sana one love from 🇹🇿
Sana gechu is crezyyy
❤woow love my city my town🇰🇪
I love the brother toka ma city ma town love from Tanzania #dar es salaam
My brother CMB Prezzo. Big up mahn
This is a very creative way of conducting an interview. Big up CMB prèzzo
Endelea hvy hvy big upo J
I love the creativity ❤
Anyway this is love from Classic Don
C.M.B Prezzo in the building
Prezzo always understanding the assignment.... Swahili safi
Amazing adhan @EFM Tanzania ndio TV ya kwanza! It's liked by me
Iko vizuri sana
#NGECHU. Our true blood! Xo much love for yah! God bless you!
Bonge la show.....I respect prezz, ❤ from tanzania
Hii ndio inaitwa kufikiria kwa kazi yko good job jon joo hii kitu inaanza kwa Hali ya juu sana
Prezzo mnyamwezi sana alafu ana hofu ya MunguMasha Allah
Big show wote ni my brothers na enjoy kinoma good show
Karibu sana lushoto broo big city bro
I like this style of intertview
Wow amazing
Nakubali ☄️
Akili kubwa Sana kweli nimehamini Ehaujui
Majizo hapa Jonijoo ameua kaka Mwambino lazima ajipange kaka
Realest dude to ever do it...big s/out to prezzo💥💥💯
Unyama mwingi sana 💯
Prezz. Sasa hivi. Una swahili ya kibomgo kabisa. Stori za kibongo kabisa. Safi bro. Umetisha kinyama
Prezzo's interviews zinakuwaga tu amazing.
that intro is on its own level...weeeeeeh respect bro💥💥💥💫
Jonijo na cmb prezoo 🎉🎉🎉🎉
noma sanaa
I like that
Fantastic creativity
Jonijoo on this one
Kiukweli Baba Yao deserves award
Nice intro
🔥🔥
one love to my homeboy ngechu....real recognizes real, no cap. #rapcellency
Naapriciate wat u do jonijoo,
🎉🎉
Big up bro
Prezoo kma Prezzoo Aminia
Huyu ndo Mkenya anae ongea kiswahili vizuri,pamoja Tena✌🏽
Noma
Prisoo kenya
Nakufagilia sana bro
Hahah I like the intro Islamic sound it gives lahore, Baghdad,kabul vibes 😅😅😅
Unasahau Kandahar😂😂
Sure
Tamu sanaaaa MashaaAllah ❤
Jonijoo once again
Respect ❤
Jonijoo we ni mkali
Mwamba anajua jonijoo
Jonijo very creative
Tunasubir part broo jonijo
bravo
✌️👊👍.
Content meets creativity
Prezoo is the realest
Oya weeeee.
✊
One love CMB prezo straight outta kampala
Prezzo poa sana
✊🕒
THE POWER OF PRAYER
I get a good watch ⌚ but I don't have time
Salunt jonjoo nimeijoy lusho Kama uk
Mwamba ana unyamwezi mwingi sana
Prezzo mwana hasaaaa😂😂😂😂
jonijo kashindikanaaaaa
Baba ako unyama ni mwingi sn aise🔞🙌
Jonijooooo ni mmoja tu kisha mimii☄
We ni nan
@@emanuelgavile3503huyu ni mwalimu wa maths wa prezzo😂
Jackson makini
Og og
Gentlemen talk😁
Cmb cash money boy
Nkumkubal xna hyo mwamba jonijooo
Prezzo ume tutenga brother tupe ngoma
the real O.G.
💯 💯
Prezzo Mtu Mzima.
Prezzo ana maneno flani ivi yana ongelewa sana na wa Tanzania ambayo baadhi ya wakenya wengi hawayajui
Wapwani wanajua
@@husseinchea5524 yah
Namuelewa saana mshikaji amezibeba alafu ana mmbo mengi
Mimi ndo huyo tax driver😂
jonijoooooo
Mwamba anamadin sanaa
Are the snippers on the roof… 😅
CMB PREZZO
Anyone else here for prezzo?🖐
E TV 📺 so mchezo
Like dat shit
Miongoni mwa Ma legend ambao wame chonga barabara ya tasnia nzima ya Music sio tu Kenya mpaka Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Usiseme 🇹🇿 sema kachonga barabara huko 🇰🇪 wewe unamjua sugu, Prof Jay,kbc,sigon nature has wachache sana
@@mackjr5291 pole sana
😢
Kasema miongoni
@@mackjr5291kasema miongoni elewa kiswahili
CMB prezzo
Jonijo damu😂
Jonijoo akir kubwa
Kumbe prezo ni damu yetu 😂
Mama yake Msukuma
Mamake mtanzania
Sisi ni marafiki tunaowana❤🇰🇪🇹🇿
Ww umezaliwa juzi kujua pre mama Ake ni Mtz
Ndo mana ananyosha kiswahili vzr,ninge shangaa maana kuna wale wengine dah 😂
Jonijoo anachokosea ni kujaribu kuiga matamshi ya kiingereza ya wakenya... Prezoo yeye anamleta kwenye kiswahili... Jonijoo alitakiwa atembee na kiswahili
He is the best hakuna but. Respect The man
Jonijooo hajawahi kukosea Wala kuharibu best creativity presenter in EA.
Yote ni east Africa akuna tatizo na lugha ata wakenya kuna wale wanaongea kama wabongo Wacha siasa
Jifunze kuappreciate jonijo hapa kauwa sana mpe maua yake tu roho safi...watu mnakosoa sana sio poa
Wewe unachuki zako binafsi sasa Kuna baya gana apo nawewe ujaelewa Nini acheni maneno ya chuki nauchochezi
Bango bat bovu
Lushoto home boy kwakina johnnijoo uko
Amesoma Chuga Sec ila Sio Mtu wa Chuga Ni Msambaa
JONIJO Kiingereza hukijui kwann uinalazimisha kwann usiwe free kuongea kiswahili chako >> watangazi wa kitanzania mnaboa sanma sana . prezoo mwachi english yake piga kiswahili mbona fresh tuuu mnakera sama bhaana badilikeni achenim ujimga wa kuiga iga
Ko abaki tu east Africa na watazamaji kama wewe