Ngeli ya U-ZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Nomino katika ngeli hii huanza kwa U au Wa katika umoja.
    Aghalabu sauti U huondolewa ili kuunda wingi wa nomino.
    Katika wingi, kuna nomino ambazo huchukua viambishi
    ny-, nd-, mb-, nj-, na ng-
    U
    Ukuta-Kuta
    Ufunguo-Funguo
    Ufizi-Fizi
    Ukuni-Kuni
    Ukucha-Kucha
    W-NY
    Wavu-nyavu
    Waya-Nyaya
    Wadhifa-Nyadhifa
    Waraka-Nyaraka
    U-Ny
    Uzi-Nyuzi
    Ua-Nyua
    Ufa-Nyufa
    Uga-Nyuga
    U-Nd
    Ulimi-Ndimi
    Udevu-Ndevu
    Tazama ngeli tofauti tofauti
    Ngeli ya Ya-Ya
    • Ngeli ya Ya-Ya
    Ngeli ya I-Zi
    • Ngeli ya I-Zi
    Ngeli ya U-I
    • Ngeli ya U-I

ความคิดเห็น • 11