SHETANI WA YANGA! ALLY SALIM LEO AMUOMBE MSAMAHA AZIZ KI MAPEMA/ATOA AHADI NZITO AKIFUNGWA NA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2023
  • Leo Novemba 05 mchezo mkubwa wa Ligi kuu ya NBC kati ya Simba SC na Yanga SC "Kariakoo Dabi " unapigwa katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam majira ya saa 11 jioni.
    Mpenja Tv tupo Benjamin Mkapa Kukuletea matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu mkubwa kabla na hata baada ya Mechi.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 57

  • @kindulijumanne7632
    @kindulijumanne7632 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kwanza Leo mi naitwa Domo la mamba nikimshika Simba simwach

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba unajua Sana aisee 🔥💯😅😂

  • @victorlyimo896
    @victorlyimo896 9 หลายเดือนก่อน +1

    Madrid wapi wapi we kenge..sema ata aje ihelfu...wenye akili pale wawili tu

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mikia FC mdomo utawaponza subrn yenu macho 😆😆😆😆😆, kwa Leo kchapo kpo pale pale

  • @islamrashid5451
    @islamrashid5451 9 หลายเดือนก่อน

    Mmmh hivyo viapo si vizuri jama tena na kuapa Mungu duuuh mtihani

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wenzio Yanga hata hawakusupport kwa utumbo unaouongea

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 9 หลายเดือนก่อน +1

    SubhanaAllah

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 9 หลายเดือนก่อน +1

    sna meng, kikosi changu nakiamiani sana wala sna shaka

  • @LissaSaleo
    @LissaSaleo 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaaaaaa ki aziziii max tunawategemea mungu awape nguv wachezaji woteeeeee na diara akafunikwe na damu ya yes kigol cha Simba kisipte nafas

    • @dstaroficial
      @dstaroficial 9 หลายเดือนก่อน

      Yesu lumber anapnd mpra

  • @shabbirbharmal7876
    @shabbirbharmal7876 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bingwa

  • @user-hf2pk9gc7y
    @user-hf2pk9gc7y 9 หลายเดือนก่อน

    Viyapo vyengine sivizuri mtakuja kutufungisha nyiye kwa piyapo vyenu toweni viyapo vizuri jamani japo mm ni yanga

  • @user-mb4dz5fc3o
    @user-mb4dz5fc3o 9 หลายเดือนก่อน

    Sawa I jee atoka nje ya dunia

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 9 หลายเดือนก่อน +1

    💛💚💛💛😃

  • @user-wv4su9yq3y
    @user-wv4su9yq3y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwezi mchanga unakusumbua brother

  • @user-hc6jk5bg7o
    @user-hc6jk5bg7o 9 หลายเดือนก่อน

    Huna Akil ww yanga mo fire

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 9 หลายเดือนก่อน +1

    Eti nani anifunge. Ihefu alifanyaje?😂

  • @News6Tz
    @News6Tz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ali madrid😂

  • @user-rl8hn4ih1n
    @user-rl8hn4ih1n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah 😂😂😂

  • @salimkiza6999
    @salimkiza6999 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hili lijamaa lisenge kwel af linaapia

  • @BARAKAMzinga
    @BARAKAMzinga 23 วันที่ผ่านมา

    Hatali huyu jamaa

  • @geofreykazaula7940
    @geofreykazaula7940 9 หลายเดือนก่อน

    😀😀 huyu jamaa leo tunamvua.

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 9 หลายเดือนก่อน

    Ngoja tutunze uzi huu😂

  • @SIMANKOMBENkombe
    @SIMANKOMBENkombe 9 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂 ihefu hahahahahahahhahaha

    • @ClemenceMagambo-rr2gs
      @ClemenceMagambo-rr2gs 9 หลายเดือนก่อน

      Naombeni kuuliza wadau miamvuli inaweza kuruhusiwa uwanjani kwa wale waliyoko uwnjn muda huu naombeni jibu

  • @puridangote2701
    @puridangote2701 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂

  • @scorasticaclement6308
    @scorasticaclement6308 9 หลายเดือนก่อน +1

    SHANZANIA hahahahahahah Ila Ushajua Ni Tanzania 😂😂🎉🎉🎉

  • @fadhilinziku2864
    @fadhilinziku2864 9 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba selikali mkae mbali na sisiii

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo na wengine wakitumia uchawi watawafunga?

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 9 หลายเดือนก่อน

    Mhmm jamaa chizi kweliii

  • @azizimangara9024
    @azizimangara9024 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu si alisemaga aolewe na MAYERE, Au mmesahau?

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 9 หลายเดือนก่อน

    utamu wa kabla ya mechi ndio huu sasaa na ukiende kwenye tv za,azam unakutana na washereheshaji yaan burudani ndio izi kabla sio baada

  • @boniphacecharles1998
    @boniphacecharles1998 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka huyokenge ihefutu wamemukanda sembusesisi simba

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 9 หลายเดือนก่อน

      Tokaaa mbona nyie mnakandwa san na Azam sisi hawatusumbui mtatuwezaje

    • @josephatn5040
      @josephatn5040 9 หลายเดือนก่อน

      5G umeisomaaa!

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 9 หลายเดือนก่อน

    Amepng kuvua atrnd

  • @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
    @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 9 หลายเดือนก่อน

    Maneno mengi ila weka akiba ya maneno yako

  • @ibranassoro8465
    @ibranassoro8465 9 หลายเดือนก่อน

    Usiape kk mpila unadunda kk acha kuongea kk kuloga hakuchez mpila acha maneno

  • @nassornassor1130
    @nassornassor1130 9 หลายเดือนก่อน

    Asije kulia tu

  • @greatest_of_africa
    @greatest_of_africa 9 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha wawage na akiba ya maneno maan hii n dabi

  • @tetemaboy8367
    @tetemaboy8367 9 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣😂😂😂

  • @emmanueljohn7253
    @emmanueljohn7253 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu kazoea siku wamfanyie kweli na tusiingilie

  • @emanuelisalehe3241
    @emanuelisalehe3241 9 หลายเดือนก่อน

    We utaliwaleo utaguswa tuli

  • @ktwentynine4985
    @ktwentynine4985 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wala atukuvui sisi ww watakuvua wenzak utopoloooo

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 9 หลายเดือนก่อน

    Shogaa hili

  • @user-jd9jg7em4e
    @user-jd9jg7em4e 9 หลายเดือนก่อน

    🥱🤔 we jamaa jalibu kuchunguza maneno ndo useme

  • @hassanymatano5826
    @hassanymatano5826 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ilo jamaa alina akili

    • @youseph-tz
      @youseph-tz 9 หลายเดือนก่อน

      Huyo chodu kweli hiv anafamilia 😅😅

    • @faudhiaisiaka6350
      @faudhiaisiaka6350 9 หลายเดือนก่อน

      Acha izo

  • @mohammedkombawadomtznamungopig
    @mohammedkombawadomtznamungopig 9 หลายเดือนก่อน

    Unabahati ukombali yaani mimi ningekaa karibu na wewe nukuchezee tako mbwa wewe😂

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 9 หลายเดือนก่อน

    Shabiki lofa

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 9 หลายเดือนก่อน

    Kazoea kuvuliwa anaamuw kuwatunuku mashabk leo

  • @abdallahajiomari9525
    @abdallahajiomari9525 9 หลายเดือนก่อน

    Ushoga nikazi yako

  • @user-hn7mj4ob1z
    @user-hn7mj4ob1z 9 หลายเดือนก่อน

    Mpuuzi huyo Hana lolote, mech ya ihefu alisema ang'olewe meno c uchiz huo ajiangalie huyo mzee

  • @user-qh9xn5oz5o
    @user-qh9xn5oz5o 9 หลายเดือนก่อน

    Utamponza

  • @user-sf7bh4ww2e
    @user-sf7bh4ww2e 9 หลายเดือนก่อน

    Mbwa wewe unaongeahe