STILL SWEETER EVERY DAY / MWOKOZI ANAZIDI Number 49 by AIC KALYET NAKURU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
- Mwokozi Anazidi Kwangu Kuwa Mwema Mno
1. Mwokozi anazidi kwangu kuwa mwema mno
Kuliko vyote vya dunia na vya mbinguni
Kuliko mafikara niliyonayo yote
Huzidi kuwa tamu kwangu mimi daima
Refrain
Hatujajua bado
Yote ya Mwokozi
Utamu wake wote
Tutaona Binguni
2. Naona yanipasa nimsifu Mwokozi
Aliyeng’aa kuliko nyota ya usiku
Aliyeniridhisha hamu zangu rohoni
Huzidi kuwa tamu kwangu mimi daima
3. Nilipoana ulegevu mwingi rohoni
Yu karibu kunituliza taabuni mwangu
Mwokozi huyu nampenda hunifariji
Huzidi kuwa tamu kwangu mimi daima