Jamani nime muona Mama yangu kwenye wana wake wazuri hapo aise alikua bado binti kabisa!!! Sija tegemea kwakweli nime cheka sana, apo sisi itakua tulikua Sunday School mida hiyo 🤣🤣🤣 God is amazing ❤️🔥
Bahati bukuku ama going back to ur previous songs yaani Mungu hutoa watu mbali eeeeh. ...! I don't know if there's someone who is listening this this yr..😂😂
Unajua wanaofatilia nyimbo nzuri, za kugusa mtu na kukonga mioyo ni hizi, kweli Dada bahati usiache wiimbaji, pia unafaa kuwa mchungaji, nyimbo zote nazipenda sana, nakupenda sana katika yesu kristo,
Ni muda umepita nikiwa bado muslim, niliupenda sana huu wimbo, nikitoka shule nilipendelea sana kwenda kwao rafiki yangu ili niwe nasikiliza huu wimbo. today 26/03/2023 bado narudi kuusikiliza. ubarikiwe MTUMISHI kwa huduma .
Jamani nime muona Mama yangu kwenye wana wake wazuri hapo aise alikua bado binti kabisa!!! Sija tegemea kwakweli nime cheka sana, apo sisi itakua tulikua Sunday School mida hiyo 🤣🤣🤣 God is amazing ❤️🔥
Hongera sanaa aseee..kwelii?
Tujuane tunaosikiliza huu wimbo 2024
❤
Ni koapa tangu mwaka wa 2005
@@BaudouinKitenge-e3c Asanteeeeee
2023 Asnte Mungu tunafurahi ndani yako tuko salama kabisa
Wimbo huu unanikumbusha wakati huo nikiwa tanga machimboni handeni inakumbusha mbali,dada bukuku mungu akupe uhai popote ulipo tz Amina.
2003 when me & my mother were togethered at dar es salaam. nmemkumbuka sanaaa mama yangu jmn 😭
Tuko wapi dear
Nani yuko hapa 2023
Nimekuja 2024
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana Ahsante Yesu wangu
From italian, nice song Good bleess you Tanzanian
Bahati bukuku ama going back to ur previous songs yaani Mungu hutoa watu mbali eeeeh. ...! I don't know if there's someone who is listening this this yr..😂😂
tunasikiliza till now
Tuko tunasikiza
Cette chanson pour ma première fois je l'avais écouter il y a de cela 19ans.
She was too young
Hv bahati bukuku akijiangalia hapa anawaza nn huu Ni ushuhuda kamili kwetu popote tulipo haijalishi tunaptia wapi one yes tutapaa
2022 and still one of my Favorite Songs
2023
From American, nice song God bless you Bahati bukuku 😊❤❤
Kweli kua kwa Yesu ni raha🎉❤
2023 still enjoy
Asante Bukuku kwa songs hizi my father used to hear them!!!!!!!!! he passed away in 2012 I use to hear them to remember him!!!!!!! God bless you Mama
Nawaza baba ngu tulikuaka na sikiliza nyimbo izi tangu 2005 ila leo niku apa na mushukuru paka mungu tuuu😢😢😢😢
🎉🎉kwa mala ya kwanza naiangalia 2024 mwezi 11 tarehe 20❤❤
This woman is my best singer then all singers women in TZ, still listening it 2021
Unajua wanaofatilia nyimbo nzuri, za kugusa mtu na kukonga mioyo ni hizi, kweli Dada bahati usiache wiimbaji, pia unafaa kuwa mchungaji, nyimbo zote nazipenda sana, nakupenda sana katika yesu
kristo,
Still listening in 2019, God bless you Bahati
Nikisikia wimbo huu najisikia kama nimeruka ndani ya yesu
Tunaosikiliza hii nyimbo 2020 baada ya Corona tugonge like
2020 lik yak nimhim
Ubarikiwe bukuku,kuya hapa Kinshasa
I have been looking for this song thank God its here
Usalama uko wapi,nani Yuko hapa? double tap tukiendlea
Ni muda umepita nikiwa bado muslim, niliupenda sana huu wimbo, nikitoka shule nilipendelea sana kwenda kwao rafiki yangu ili niwe nasikiliza huu wimbo. today 26/03/2023 bado narudi kuusikiliza. ubarikiwe MTUMISHI kwa huduma .
Kina mama wazuri wapo ndani ya Yesu kina baba wazuri wapo ndani ya Yesu na vijana wazuri wote wapo kwa Yesu.. Nzuri sana natizama 2019 january
I can't imagine how slim you were mum🥰 you look smart you have a powerful voice nakupenda
2021.. God bless this woman..🙏🏿🙏🏿
Mungu akupe yote unayo
moyoni mwako!
Nakupenda sana dada kwa nyimbo yako ya faida sana !
usalama wangu uko ndani ya yesu be bless mum bahati nice song
AMEEEN AND AMEN Usamu wangu upo ndani ya YESU
Nani tupo nae 2021 jaman.......🙏🙏
we used the songs in our wedding day. God bless bukuku
Je me rappelle tant des choses atravers cette chanson
Très nostalgique vraiment
Still watching in December 2023
Asante yesu
Sister Bukuku, your songs are soul touching. Thanks Mjr Alice Barechi for introducing me to your songs. They are ever new.
Wow ukweli bahati umetoka far, more grace mama you are a blessing to many
2020 rahaaaa tunasifu kwa yesu
Who still listen to this song in 2016? ✌🙏
i do....and i will listen forever 🙋👅✋💖🎂🎁🔛
Nyimbo kali sanaa bahati bukuku still the best
Nakupendaka Sana dd bukuku wangi
Reminds me of my childhood when my late would turn on the radio casette
Bado ningali nausikiliza nyimbo zako. Maana ziko utamu kama asali💪👌❤
Dada yangu unafatilia nyimbo za injili
Hiyi ndiyo nyimbo inaonekeshaemo kuokoka wa bahati bukuku hivi Hana okovu ndamwake
Mala kujipaga midimoni hibyo habipendeze
Amen 🙏💖
My tanzania favorite gospel song from butembo DRcongo
Kwa Yesu hakuna zilipendwa... Bado ni mpya kila siku... Halleluyah
Bado tamu hata 2018
Focus Y Mengi Tamu haswaa
Focus Y Mengi nyimbo hii umehimba vizuri sana
Iyi nyimbo nikari munoo
Naomba niulize tupo pamoja 2022
who still listening june, 2020 from ashkleon israel
2020 bado Mungu anaendelea kutukuzwa
2019👌👌👌bahati bukuku love you so much
Hongera Bahati ni siku zimepita tangu uachie hii nyimbo.ulifanya kazi iliyonjema.ubarikiwe sana.
Miaka 14 bado wimbo ni mtamu❤❤❤🎉🎉
Nyimbo inanibariki SNA hii👏
Mbaka leo nakusikiya maman 😍😍
Daaah nimeangalia 2018nan aliechelwa kama mm😂😂😂😂
chief, the shocking truth in Chirst is, hamna kuchelewa.
www.biblegateway.com/passage/?search=Matthew%2020%3A1-16&version=NIV
yaani hii albamu ya shinde Mapito hatatoa tena kama hii viwango sana ,ulinogewa na umbo lako dogo Hakika ulipendeza ,lkn siku hizi umenenepa sana
Amen,Niko ndani ya Yesu.
Still nice song😍
Tuende pamoja 29/10/2022 gonga likes ✨✨
❤❤ j'aime beaucoup ma mère bathi j t'aime bcp maman
Amen and Amen powerful massage we are blessed in Jesus might name.
Bahati kipindi hicho ulikuwa mdada sasa ivi mmama mungu akupe miaka mingiiiiiiiii yakuishi
nani kaangalia 2017?
chrispin liwa still listening to it in 2017
Usalama akuna tena duniani 2024
Wimbo nzuri Sana mungu awenawe kwa kila jambo
2019 bado tunaangalia
Haki bahati mungu azidi kukubariki napenda nyimbo zako
Ubarikiwe
More Grace Sister Bahati Bukuku
Mbona Hapa uko young ur smart I wish u well be blessed
Sharon Charo jopp
A cette époque j'avais 20ans
Be blessed all the time sister Bahati
Amen,God blessed you
2019 heat song
2024❤❤❤
20/5/2017 pamoja Mung akupe maisha marefu
Ma chanson préférée
Ça me fait du bien cette chanson
Huyu ndo bahati bukuku akiwa rohoni zama hizo,sasa mmh
Za zamani sawa za kisasa hazina mafuta y'a roo mtakatifu ni kama sa dunia
Ahahaaaaa ,kweli MUNGU anatuinua kutoka chini kwendajuu na kutuketisha na wakuuu
Still favorite 2019
nyimbo nzuri sana
Leo ndo nimegundua huu wimbo una sound Kama taarabu flan ivi.
Still blessing me 2020
mmmm kweli dada angu mungu akubariki
mimi love this song
Ndani ya yesu muko raha
the message in this song,it's very true
nimekumbuka 2007 😂😂
Amen in Jesus mighty name amen
Who is listen in june 2018?
kwakweli Miaka inakwenda haraka kwasasa bahati bukuku amezeheka
2020 tujuane
2020 and still this is the song.
nyc song