KIJANA SALIM ALLY NI KWELI NAZUNGUMZA KAMA SHK OTHMAN MAALIM KWASABABU NAMPENDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #Shk_Othman_Maalim

ความคิดเห็น • 245

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mungu akuongoze kusema kweli Ata mimi nampenda Sana sheikh othman maalim natamanigi ata nipate mtoto wa mfano wake inshaallah 🙏🙏🙏

    • @eddymaphy
      @eddymaphy 5 วันที่ผ่านมา

      Aamin yarabbal'alamin

  • @superbeast1749
    @superbeast1749 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah. Jazakumullahu khery kwako na kwa shekh othmani Maaalim.
    Binafsi Nampenda sana.

  • @allysalim9701
    @allysalim9701 4 ปีที่แล้ว +6

    MASHALLAH MDOGO WANGU MIMI MWENYEWE NA MKUBALI SANA MAALIM NA WEWE KIUKWELI UMEFAULU KUIGA SAUTI YKE

  • @samahabrahman4839
    @samahabrahman4839 4 ปีที่แล้ว +8

    Wallahi nlijuwa ni mwanae huyuu, Mashaallah, nami nampenda sana Sheikh Othman maalim namuomba mungu amjalie mtoto wangu awe miongoni mwao kina salim, muswadiq na wengine

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 5 ปีที่แล้ว +27

    Kwa kweli kuiga mfano ya ma Sheikh ni Vizur sana,hongera sana kijana. Na Mungu awaongoze vijana wa kislam kuiga mfano mwema

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 5 ปีที่แล้ว +10

    MashaAllaah tabarakaAllaah kwakweli twazidi kupata warisi wa Sheikh wetu Uthaman Maalim
    Allaah azidi kuwahifadhi wote kwa jumla na awazidishie elimu yamanufaa

  • @halimabakari4174
    @halimabakari4174 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mashaallah Allah akuzidishie kkangu mtu asiejua aweza Sema ni sheikh othaman

  • @pbaallymwinyitv8527
    @pbaallymwinyitv8527 5 ปีที่แล้ว +22

    nampenda sana sheikh mwenye mahadh ya sheikh othmani maallim

  • @maidasaid9449
    @maidasaid9449 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar....bismillah mashallah nimefarijika kusikiliza hii interview

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh othman maalim nikiongozi mwema hata mimi nampenda sana,ALLAH amjalie umri IN SHA ALLAH

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallaah safi sn kijana uliemwema. Ukwel Othmn maalim ni sheikh mzur na nimtu wawatu

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah Allah atazidii kukuhifadhi na azidi kukupa moyo wa kufikisha daaawa 🙏🙏🙏

  • @alnasrialnasri721
    @alnasrialnasri721 5 ปีที่แล้ว +7

    MAA SHAA ALLAH TABARAKALLAH ya rabii tujalie watoto wema wenye kuijua dini yetu tukufu ..

  • @jannatferdaus7251
    @jannatferdaus7251 5 ปีที่แล้ว +4

    Nafurahi sana kuskia wazanzibar wanaiga mambo ya kheri .congratulations shekh Othman kwa swadakatul-jaria
    May God bless you fidunia wal-akhera😘

  • @abdanshakuranrajab9718
    @abdanshakuranrajab9718 5 ปีที่แล้ว +7

    ما شاء الله تنارك الله.
    جزاك الله خيراً يا أخي كريم.

  • @Muhindojamaldin-r1r
    @Muhindojamaldin-r1r 2 หลายเดือนก่อน

    Maanshallah Allah aqbar subhanallah Allah akwihifazi na atujalie janah yarrabbiy

  • @bintvuai1424
    @bintvuai1424 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah hongeraa sana Allah akupe kheri na barka katika kila jambo lako.

  • @msfatma946
    @msfatma946 5 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah allah azidi kuku barik in shaallah 🤲

  • @farhatsuleiman8851
    @farhatsuleiman8851 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mashaallah baarakallah lii walakum Muhojini na shekh othman maalim ananini chakuongea juu hili

  • @salumabdallah7078
    @salumabdallah7078 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah sheih Salim Allah akuongoze katika njia njema

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani km yeye mwenyewe sheikh uthuman msalim mashaallah honger sn kaka ang 📿🕋💕💕

  • @jumamachano8752
    @jumamachano8752 4 ปีที่แล้ว +3

    Namkubali sheikh OTHMAN MAALIM mashallah

  • @muntarjunior3424
    @muntarjunior3424 4 ปีที่แล้ว +1

    mashallah kijana Allah akuzidishie sheikh akituondka utachkua nafac inshallah

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 5 ปีที่แล้ว +40

    Nikweli kabisa sheikh Othman maalim ni sheikh bora nasi bara ya sheikh. namuomba Allah anijalie mtoto mwema na Allah ampe mtoto wangu chochote kitu kutoka kwa Othman maalim

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 ปีที่แล้ว +1

      Inshaallah Allah atakujalia

    • @muharamharoub8896
      @muharamharoub8896 4 ปีที่แล้ว +1

      Ammin kwa soteee

    • @muharamharoub8896
      @muharamharoub8896 4 ปีที่แล้ว

      MAaasha ALLAH ume mmaliza kabisa yaani kama voice bila picha utazan yy, dah! waache wanao Mpenda mwana muzik na mchezaj wa Mpira aka fufuliwe naooo

    • @muharamharoub8896
      @muharamharoub8896 4 ปีที่แล้ว

      Yupo atakae fanana na Shekh Sharuhan au Mselem Bin ALY kama yupo itakua safi sanaaa.

    • @bnussrahlimsantah3730
      @bnussrahlimsantah3730 4 ปีที่แล้ว

      Ammin

  • @ahmadayoubmicharazo4061
    @ahmadayoubmicharazo4061 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah shekh salum ali nami napenda niwe km shkh mzur wetu othman maalim yarabbi nijaalia namie

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 ปีที่แล้ว

      Masha ALLAH

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 ปีที่แล้ว +2

      Inshaallah Allah atakuwafikisha penye nia pana njia

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 4 ปีที่แล้ว +1

    MASHAA ALLAH UNAPATATHAWABU NYINGI SANA INSHAALLA NA HIVI NDIVYO ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH KUNFAYAKUN ANAPENDASIYO WANAMUIGA DAIMONDI NA HAMONAIZI SIJUWI WANATUHARIBIYA WATOTO WETU TU BASI 🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️❤️❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🇹🇿🕌❤️❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️

    • @eddymaphy
      @eddymaphy 5 วันที่ผ่านมา

      Umeongea ukweli ndugu,mana sahi wanafunzi wengi wanahifadhi nyimbo kuliko masomo wanayosomeshwa,wazazi wanajitahidi ila watoto ndio shida,na hata wazazi wengine ni sababu ya kupoteza mwelekeo wa watoto wao kuacha njia za kheri na kufata njia za shari kutoka kwa kwa wazazi

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuuuuuuuuuuuuh MLE MLE ANAPITA ALLAH MASHAA ALLAH KAKUPA UNACHOKITAKA MASHAA ALLAH 🇹🇿❤️🕌🇹🇿❤️🕌🇹🇿❤️🕌🇹🇿❤️🕌

  • @damtumct6720
    @damtumct6720 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Yaani kama s kukuona ningesema Shekh Othman Maalim Tabaraka Rahman

  • @alhajbau9987
    @alhajbau9987 5 ปีที่แล้ว +3

    safi sana kijana mwnzetu kama huyu kumuiga shekhe mashaallah kuliko kumuiga msanii w mziki..

  • @aboubakarmansour1189
    @aboubakarmansour1189 5 ปีที่แล้ว +8

    Maashaallah ndgu hata kujibu tu hayo maswali bas unatumia hekma. Ni yeye et Sheikh Othmn naskilza kwa kurejea rejea.

  • @hamedsalum8194
    @hamedsalum8194 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah namkumbuka sheikh wangu Othman maallim tokea msikiti mabluu mpaka kina Ali Hassan Mwinyi na Shamhuna wakihudhuria darsa zake za mwezi wa Ramadhani wakati huo Allah amhifadhi amrhibishie iman yake

  • @zumratibrahim841
    @zumratibrahim841 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashanllah tabaarakanllah mungu amuongoze shekhe wetu

  • @HawaHawa-f7u
    @HawaHawa-f7u 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah allah atujaalie nasisiatuongolee vizurii vizazi vyetu nimefurahii sana anko salum

  • @hajichum70
    @hajichum70 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice mashaallah mungu akuzidishie kipaji chako kilichokuwa kizuri

  • @khairiyyaonline3616
    @khairiyyaonline3616 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaaallah uthman maalim kabisa huyu pende sana uthman maalim

  • @HafsaVuai
    @HafsaVuai 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Othman maalim ni sheikh wa masheikh ni mwalimu wa walimu😊

  • @ayushjhay1979
    @ayushjhay1979 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaj tabaraka allah mola akupe umri .

  • @khayraatsaidi3801
    @khayraatsaidi3801 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah
    Baaraka Allahu fiyka

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuhifadhi na kweli watu wema ndio twafaa tujifananishe nao.Allah Baarik

  • @jamilaabass4243
    @jamilaabass4243 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awaekee mashekh wetu wazidi kutupa daawa Amiin

  • @sadamasare3458
    @sadamasare3458 5 ปีที่แล้ว +2

    maa shaa Allah...Allah ajaalie elimu yenu iwe yenye manufaa...shekh othmani Allah ampe umri mrefu wenye manufaa..

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤❤Allah atuongozee vijana wetu❤

  • @عليحمد-ح8ث4ح
    @عليحمد-ح8ث4ح 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa ullah Allah akujalie kheir.

  • @kamalujafary
    @kamalujafary 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabarakallah sauti hasa kama ya Othman Maalimu

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar ww ndio mrithi kabisa Othman maalim Mungu akuzidishie

  • @hadijaseif329
    @hadijaseif329 4 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah akuongoze vema Amiini

  • @muxtboy747
    @muxtboy747 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah tabarakallah wajazakallah!

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera bro umeiga jambo jema maashaallah ni jambo zuri sana kuwiga jambo jema sio wengine wanamuwiga eminem

  • @adambritish435
    @adambritish435 4 ปีที่แล้ว +2

    Salim aly uko vizur mashallah

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallaa Allah bariq mungu akutangulie kijana mwenzetu, pia hakuna tatizo akikopy kwa asilimia 100% kwa sababu mawaidha ni maneno ya mwenyezi mungu sio music huwo useme lazima awe na staily yake tofauti

  • @peyladaprince1676
    @peyladaprince1676 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm nampenda sheikh Othman maalim namuelewa sana anajua kugusa mioyo

  • @princessamnemuhamad3755
    @princessamnemuhamad3755 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sheikh maalim othman kwa Ajili ya Allah

  • @jamalmohamed4058
    @jamalmohamed4058 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu shukran kwa kumleta sheikh wetu.. Lakini tunaomba mukihoji muje na Mice mbili munampa sheikh wetu uzito

  • @zaharangalima4501
    @zaharangalima4501 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mie namkubal sana shekh othman

  • @nailatanzania7376
    @nailatanzania7376 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah ❤❤❤
    Allah ajaalie tupate warithi wengi inshallah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +1

    ما شاء الله تبارك الله 🧡🧡

  • @SalehAli-kh7uc
    @SalehAli-kh7uc 5 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah Allah akubarik huo ndio urithi mzur wa kurith na sio lakhau za kidunia zisizo na maana mbele ya allah

  • @dhulhakassim5350
    @dhulhakassim5350 5 ปีที่แล้ว +5

    Woow 😮 Masha Allah kijana Allah akuongoze

  • @znzznz1203
    @znzznz1203 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran baaraka llahu fiikum ust ridhwaan bado sheikh shaaban al_batwashiy tunahitaji tuoneshe uzungumzaji wake in sha llah😃😀

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 5 ปีที่แล้ว +1

    Manshallah kaka Allah amlipe sheikh othman

  • @abdallahshariff3608
    @abdallahshariff3608 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli km ningesikia sauti tu, ningejua ni sheik Othman😁😁 Safi sana kijana Allah akuhifadhi Inshaallah

  • @OthmaniKhamsi
    @OthmaniKhamsi ปีที่แล้ว

    😮huyu kweli kama yeye jamani nimefurahi sana mashaallah

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah. Allah amuhifadhi

  • @mariamsaidi7625
    @mariamsaidi7625 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mola akujarie kheli inshaallah

  • @twahirarashid9666
    @twahirarashid9666 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah
    Riyadh hongereni sana

    • @mwaijamohammed367
      @mwaijamohammed367 4 ปีที่แล้ว

      Yaarabi mola ni mkubwa yaani hd machozi yamenitoka sauti yake inafanana vlvl Alla ampe umr mrf

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hayo ndio mambo ya kuinga mambo yenye maslahi duniani na kesho Akhera Allah awajaalie vizazi vyetu wainge mambo mazuri kama haya

  • @swalha8456
    @swalha8456 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah salim uko vizuri sana kwa njiaiyo kuliko n mushid

    • @sadaaboss19
      @sadaaboss19 4 ปีที่แล้ว

      Masha allah asha Allah wallah nlistuka nikahisi niothamn maalim masha allah

  • @salumothman7548
    @salumothman7548 5 ปีที่แล้ว +2

    Tabani masha allah sheikh salim wewe ndio mrithi wa sheikh Othman Maalim

  • @fatmasaid9074
    @fatmasaid9074 5 หลายเดือนก่อน

    yaani wewe umetishaaaa mashallha

  • @mwanashazingas3977
    @mwanashazingas3977 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa wanaendana masha Allah tabaraka Allah nimeipenda

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah azidi kukuongoza

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 4 ปีที่แล้ว +2

    Naam hiyo sauti ya maalim haitakiwi kupotea safi sana kijana endelea hivo.hivo allah atakujalia mengi.

  • @mgenijuma4085
    @mgenijuma4085 5 ปีที่แล้ว +1

    ma shaa allah . allah akubarik

  • @shuubebz5585
    @shuubebz5585 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Tabarakallah

  • @pamojaaccount522
    @pamojaaccount522 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah akubariq kaka akuzidishie kipaji chako

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah twakuombea kila la heri kijana wetu

  • @afidhabubakar7234
    @afidhabubakar7234 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallah 🌹🌹🌹

  • @selejuma622
    @selejuma622 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha a Allah mungu akuongoze ktk maisha yako

  • @Azuu-rq6te
    @Azuu-rq6te ปีที่แล้ว

    MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah

  • @jafarimalungi2844
    @jafarimalungi2844 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mungu azid kumzidshia awe vizur zaid ili vizazi hivi vidogo vikikua waje kufaidika

  • @ashurayagala7712
    @ashurayagala7712 5 ปีที่แล้ว +1

    Salim ally nimezipenda nashdi zako Kaka ukovizuli Alla akuzidishie

  • @Fetty-r4o
    @Fetty-r4o 5 ปีที่แล้ว

    Kwanza hongera sana sheikh Othman Maalim, kwani kufaulu kwa mwanafunzi ni sifa kwa mwalimu, kisha Allah akuzidishie kijana wetu Salim Ally pamoja na wenzako, kwani ni raha ilioje vijana wakiiga mema kama hayo kuliko upuuzi. Hapo ulipotowa kipande cha waadhi kama hukusema si copy and paste, ningejuwa umefanya hivyo, coz umempatia hasa sheikh Othman, sauti, matokeo na miondoko, maa shaa Allah, tabaarak Allah...thanks

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah wallah vijana wote wangekua hivi hakika dunia ingekua tulivu

  • @awadhabdi1616
    @awadhabdi1616 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 ปีที่แล้ว +1

    Man shall ah wallah mimi nikajua mtoto maalim othuma jamn hongera sana kk kwa kijapi kizuli kwakuwa umeiga kitu kizuli sana

  • @swalehhaji7238
    @swalehhaji7238 5 ปีที่แล้ว +5

    Allaaaaaah lau wawe weng katika umma wa kiislam

    • @hadijasomo7774
      @hadijasomo7774 4 ปีที่แล้ว +1

      MashaAllah Allah akuokose InshaAllah

  • @djuninhoramisos2453
    @djuninhoramisos2453 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji n'a sheikh Ally mzidishiwekila lakheri naam. Ongera kabisa kama sheikh uthman Muallim

  • @bilaliomar4023
    @bilaliomar4023 4 ปีที่แล้ว

    Allah s.w akujaalie mwisho mwema

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 ปีที่แล้ว +2

    Bismillah mashallah namtoto wangu anamiaka tisa natamani ajekuwa kama wewe

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah tabaraka Allah

  • @massoudhaji9582
    @massoudhaji9582 4 ปีที่แล้ว +1

    Kheri inshaa Allah.

  • @nassorhamadi5738
    @nassorhamadi5738 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujalie vizazi vyetu viige watu wema

  • @hijrakassim6584
    @hijrakassim6584 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujaalie tuwe wenye kufuata nyayo za masheikh na mashaikhaat

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 5 ปีที่แล้ว +4

    kijana unajitahidi ila nenda kajifunze vizuri hukmu za Qur-aan(tajweed) maana kuna baadhi ya makosa yako wazi katika kuzisoma Aya za qur-aan...Shukran.

  • @bibasulesh7866
    @bibasulesh7866 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah huko ndiko kufata nyayo nzuri

  • @husseinissaissa9882
    @husseinissaissa9882 5 ปีที่แล้ว +4

    Maashaalah kapita mlemle

  • @salmasaleh7983
    @salmasaleh7983 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Riyadh

  • @hanafhamad2801
    @hanafhamad2801 3 ปีที่แล้ว

    nafurah kwamba baada yake othman maalim tutakua nae mwengine allah awape umri mrefu inshallah

  • @rizikikhamiss535
    @rizikikhamiss535 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mungu akuongoze

  • @khalifaamassawe8416
    @khalifaamassawe8416 5 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah mashaallah mashaallah tabarakallah