Ndugu yangu Mohamed tujiombee wenyewe tu kama binadamu na siyo kuwaombea wajanja matajiri nk.Siasa ni kazi nzuri sana duniani ndiyo maana hata ukiwa na miaka 80 unaendelea tu 😢😢
Lakini Lissu alichozungumza ni mambo ya kawaida kwenye Chaguzi. Hajataja mtu wala hajasema lolote kuhusu kutuhumu. Tatizo lenu mmekuwa Machawa wa Mbowe.😂😂
Vitabu vinafunguliwa sasa ! Shughuli kwanzaaa ndio imeanza ! Tuombe! Ee Mungu tuepushe na hii glass isije ikatupasukia,hata ikipasuka isitujeruhi hata ikitujeruhi isitutoe damu ,tunaomba kwa jina la Mbowe na lissu na Lema Amein
Tatizo lenu chadema hamukubali chama kiwe cha kitaifa,na mpango uo ni nyie wenyewe wachaga ndio mutakiuwa chama,haiwezekani chama kitawaliwe na wachaga kisha chama icho icho ndio kipewe radhaa ya kutawala nchi,nchi iko na makabila mengi sana haitokuwa rahisi kiongoze nchi ikiwa ni cha kabila fulani tu,sasa kwenye uingozi ki chama tu hamutaki mtu tafauti na mchaga awe mwenyekiti je mukipewa nchi itakuwaje?

Saccoss ya mbowe
Chama Cha mtu mmoja tumesha jua
Kinachoendelea sasa ndani ya CHADEMA ndicho kinachofanya chama hakiaminiwi na wananchi. Mbowe akubali mabadiliko yeye sio Papa.
Lakini Lissu alichozungumza ni mambo ya kawaida kwenye Chaguzi. Hajataja mtu wala hajasema lolote kuhusu kutuhumu. Tatizo lenu mmekuwa Machawa wa Mbowe.😂😂
Hata Mbowe mwenyewe jana hakumusema Lissu
Chadema HOI
Vitabu vinafunguliwa sasa ! Shughuli kwanzaaa ndio imeanza ! Tuombe! Ee Mungu tuepushe na hii glass isije ikatupasukia,hata ikipasuka isitujeruhi hata ikitujeruhi isitutoe damu ,tunaomba kwa jina la Mbowe na lissu na Lema Amein
Msipo angalia mtauwa chama chetu wekeni miundo mbinu mizuli sisi tunapenda vyama vingi
mnakula pesa za chama na nikatika genge la wapigaji chini ya mbowe
Mtu yeyore na siyo mtu yoyote,.akhsante
Chadema ote ni wagenseee yaani mmeniangushaaa
Tatizo lenu chadema hamukubali chama kiwe cha kitaifa,na mpango uo ni nyie wenyewe wachaga ndio mutakiuwa chama,haiwezekani chama kitawaliwe na wachaga kisha chama icho icho ndio kipewe radhaa ya kutawala nchi,nchi iko na makabila mengi sana haitokuwa rahisi kiongoze nchi ikiwa ni cha kabila fulani tu,sasa kwenye uingozi ki chama tu hamutaki mtu tafauti na mchaga awe mwenyekiti je mukipewa nchi itakuwaje?
Ila waandishi wa habar mbona kilicho andikwa ni tofauti na kilichopo?
Umetoka kanisani?
Pameanza kuchangamka
Sasa hapo kamvaa vipi? Vichwa vya taarifa vya ovyo
Hiii saccos haifai
Mh
lissu ameamua kuivuruga chadema!!