Tenzi za Rohoni 52_Yote Namtolea Yesu _ Mwl.Gordian Newton

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @vivianaroni9395
    @vivianaroni9395 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli muda mwingi nilipotea, lakini nimepata rehema na neema bure ,msamaha pia nimepewa na nimepata kufunguliwa na huyu Mwokozi wangu, Yesu wangu.

  • @rizikisospeter1686
    @rizikisospeter1686 2 ปีที่แล้ว +6

    Mchungaji mwakasege alinifanya ni upende huu wimbo,barikiwa mtumishi

  • @cesiliasanjah4119
    @cesiliasanjah4119 3 ปีที่แล้ว +2

    NIMEBARIWA SANA YAAANI
    ASANTE MTUMISHI

  • @christinamwakibolwa3000
    @christinamwakibolwa3000 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen Mwl. Gordian, asante sana kwa tenzi hizi

  • @alicejery7880
    @alicejery7880 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi, Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimebarikiwa sana na ujumbe,kwenye Ibada ya kusifu na kuabudu...ikabidi nianze kukufuatilia..Mungu akubariki sana

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 3 ปีที่แล้ว +3

    Much love from Kenya Mungu azidi kukutunza ndugu yangu you are Just a blessing to me 🇰🇪🙌

  • @PaulineDali
    @PaulineDali ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana na huu wimbo❤

  • @nenowikungumaombiyaprayerm4907
    @nenowikungumaombiyaprayerm4907 3 ปีที่แล้ว +2

    Vyote kwa yesu namtolea Ameni

  • @tullyibrahim8098
    @tullyibrahim8098 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni, Kwa neno la Bwana Mungu hakika nimejiona Mwovu na geuka na kutubu saaa hiiii!

  • @titussawe5124
    @titussawe5124 3 ปีที่แล้ว +1

    Neema zote zamora kwa Allah

  • @deogracioustemba2702
    @deogracioustemba2702 3 ปีที่แล้ว +2

    Haleluuuuya 🙏🏽🙏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @mariammwakabenga4365
    @mariammwakabenga4365 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi, unanigusa sana na kunibariki huu wimbo. Mungu akuinue zaidi katika utumishi ambao amekuitia.

  • @bupekalambo3513
    @bupekalambo3513 6 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Mungu iatamie kipawa hiki kwa utukufu wake 🌹🌹🌹

  • @perpetuadalei2405
    @perpetuadalei2405 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed mtumishi wa Mungu

  • @oliveralmada1304
    @oliveralmada1304 3 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na Wimbo huu

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 3 ปีที่แล้ว

    Ubrikiwe Sana Kaka G

  • @perezokeyo4083
    @perezokeyo4083 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow.Thanks alot Mtumishi for this wonderful piece.
    May our good Lord Bless you...

  • @williamgwabala6789
    @williamgwabala6789 3 ปีที่แล้ว +1

    Blessed

  • @averinamarco1070
    @averinamarco1070 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu

  • @vivianikiria143
    @vivianikiria143 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana

  • @neemamigire3869
    @neemamigire3869 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🙏

  • @maramsenga4431
    @maramsenga4431 2 ปีที่แล้ว

    nasikia kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu hakika ni neema na rehema zake tuu

  • @lolancialema9148
    @lolancialema9148 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi Kukubariki Mwl.Gordian Newton

  • @monicapaul7863
    @monicapaul7863 2 ปีที่แล้ว

    Amen,Amen,Amen🙏🙏

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 2 ปีที่แล้ว

    Samaha

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @elizabethkonga2789
    @elizabethkonga2789 3 ปีที่แล้ว

    Asante yesu

  • @titussawe5124
    @titussawe5124 3 ปีที่แล้ว

    Neema zote zatoka kwa Allah msalaba ni mbao sio chochote

    • @sikudhankhamis8402
      @sikudhankhamis8402 3 ปีที่แล้ว

      Sio kila kitu lazima uelewe maana Yake , uneelewa kimwili na sio rohoni.

    • @akaniwasamweli5249
      @akaniwasamweli5249 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 hujui tu weee lakini siku utajua Mungu akusaidie uijue nguvu ya msalaba

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 9 วันที่ผ่านมา

    Amen❤