TANGA Where the RICH Live //Episode 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 283

  • @antoinekatembo595
    @antoinekatembo595 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana mkuu, na sisi tunakusalimu katika jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na kazi..., You always bring us some great videos with a unique content brother. M/Mungu aendelee kuibariki kazi ya mikono yako kaka.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      ...Kazi iendelee...Asante sana mdau kwa support unayoionyesha kwenye channel hii

    • @mringoarts3710
      @mringoarts3710 3 ปีที่แล้ว +1

      Hii comment naomba ijengewe bango pale Mfugale flyover

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      @@mringoarts3710 😀😀😀 hakika!

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +3

    اسلمك سعادة. الا خ. الفاضل. MALUNGA.هوا.احدى. من.من. الشباب. التنزاني. يوتوبير. إن شاءالله تبارك. ،سوف أشاهد..لكي.اتعلم. في. تنزانيا. قبل أن.اسافر

  • @mohammedfakih9820
    @mohammedfakih9820 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanga kumekaa kama Mombasa, sehemu nzuri ya kutembelea

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +1

    جيبوتي وتنزانيا .دولتان افريقياتان. 🇩🇯🇹🇿

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +3

    ما شاءالله تبارك الله. والله.مدينة تنجا. في.تنزانيا. جميلة ورائعة. عجيب

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +2

    ترحبوا. في جيبوتي العاصمة. 🇩🇯💙وايضا. إن شاء الله.سوف أزور.في.تنزانيا.وايضا.في.تنجا.التنزانيه

    • @malangotravels
      @malangotravels  ปีที่แล้ว

      I will come to Djibouti. Thanks for watching

  • @farhidahmed4473
    @farhidahmed4473 ปีที่แล้ว +2

    Tanga seems very clean would love to visit this place. Love from Bangladesh

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 ปีที่แล้ว +2

    KAZI NZURI SANA MZEE...UNABORESHA KAZI YAKO KILA SIKU...

  • @shiremore
    @shiremore 2 ปีที่แล้ว +3

    I lived Raskaszone from 1965-75 nice quiet area then

    • @malangotravels
      @malangotravels  2 ปีที่แล้ว

      Thanks for watching. Visit again Raskazone

  • @rahmasaleh1984
    @rahmasaleh1984 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa kuona mji wangu wa tanga unanikumbusha mbali saaana nimefurahi saaaana naangalia nikiwa Kenya

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana kwa kutizama video. Wasalimie Kenya

  • @siryklyubov7989
    @siryklyubov7989 ปีที่แล้ว +3

    mimi nipo uswis ila ni mwenyeji wa Pangani
    niliishi raskazoni from 2007-2013.kwa kweli nimeimis sana Tanga. nimeona maeneo niliokuwa napita na gari langu. bado naikumbuka raskazoni ni sehemu iliyotulia sana. nimefurahi sana kutuonesha raskazoni.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว +3

    Sweet home 🏡 Tanga❤❤..miss Tanga

  • @theafricanjumbee1197
    @theafricanjumbee1197 ปีที่แล้ว +3

    I am Canadian, now living in kigamboni dar es salaam. On my three previous visits to tanzania before moving here permanently, I always stayed in tanga. (Nyumbani Hotel) it was my intention to stay in tanga after moving here, but I was advised that dar es salaam would be better for the type of business I want to do. I have recently returned from a trip to tanga because I missed it so much. I am considering if I made the right decision settling in dar. I love tanga too much.🤔🤔

    • @malangotravels
      @malangotravels  ปีที่แล้ว +1

      Thanks for watching, and welcome home 🇹🇿

    • @theafricanjumbee1197
      @theafricanjumbee1197 ปีที่แล้ว

      @Malango Travels 🇹🇿 Asante Sana kaka. No one has said that to me before. "Welcome home" I appreciate it

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 3 ปีที่แล้ว +10

    Natamani sana nyumbani kwetu raskazoni. Niko Australia lakini sijaona maisha ya raha kama ya nyumbani. Big up bro👊

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani mdau kwa ku click video. Kila la kheri pande hizo za Australia

    • @aminamol266
      @aminamol266 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ndug me wa Tanga nipo Dubai lkn life ya Dubai sio nzr kama kwet Africa. Home sweet home

  • @saumurashid5232
    @saumurashid5232 3 ปีที่แล้ว +4

    Jaman Tanga yetu♥️♥️naitazama nikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa kutizama video mdau. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande

    • @saumurashid5232
      @saumurashid5232 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels tuko pamoja brother 🤙🤙

    • @fatumamiraji4996
      @fatumamiraji4996 2 ปีที่แล้ว

      Samahan I Kama nakujua

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 ปีที่แล้ว +4

    NAPENDA TANGA SANA🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana sister. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo

  • @PLACESNONDESCRIPT
    @PLACESNONDESCRIPT ปีที่แล้ว +2

    What device do you record with ,noce content

    • @malangotravels
      @malangotravels  ปีที่แล้ว +1

      Feiyu pocket gimbal camera

    • @PLACESNONDESCRIPT
      @PLACESNONDESCRIPT ปีที่แล้ว +1

      @@malangotravels nice the 2 pro or the first one

  • @norbertpires1518
    @norbertpires1518 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana, na kumbuka inchi yagu.

  • @dennisonberwick9546
    @dennisonberwick9546 2 ปีที่แล้ว +3

    Great videos. I arrived here by sailboat from Seychelles and from Thailand. If you do another video on the Raskazone beach - you're welcome to come out to my boat to show the busy beach from the sea!

    • @malangotravels
      @malangotravels  2 ปีที่แล้ว

      Thanks. I will be back to Tanga very soon

  • @shiremore
    @shiremore ปีที่แล้ว +2

    I was Manager of factory TIC near Airport until Sept 1975

  • @almuhtaramzamil
    @almuhtaramzamil 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanga kuzuri sana,Bismillah MaashaAllah!

  • @SaidSaid-ii7ub
    @SaidSaid-ii7ub 3 ปีที่แล้ว +1

    Miss u tanga .asad hotel

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +1

    CAJIIB. WA LAAHII. MAGAALDA. TANGA.E
    WADANKA. TANZANIA 🇹🇿. WEY QURUUX BADAN. TAHAAY

  • @boballymote7586
    @boballymote7586 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah nime frahi sana bro nime kumbuka mengi sana mimi nyumbani ni muheza watching from sweden🇸🇪

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii

  • @malangotravels
    @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +5

    Wadau wangu wa Tanga, natambua jiji lina viunga vingi sana. Najua kuna maeneo mengi mazuri sikuweza kutembelea, hata niliyotembelea sikufika kila kona. Nimetumia maeneo hayo kama sample tu. Nitarejea tena Tanga na kutembelea maeneo mengi zaidi. Kuhusu ukubwa wa viwanja nimesema square kilometer kimakosa. Nilimaanisha square metre

    • @MohamedAli-ho5fq
      @MohamedAli-ho5fq 3 ปีที่แล้ว +1

      Parsnol I'm born tanga but now I'm leaving abroad and build house in area call NEEMA could show as the are at next video please

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@MohamedAli-ho5fq next time i visit Tanga again

  • @tanzaniat7151
    @tanzaniat7151 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah tanga jamani nimekumiss kweli laskazoni boraska

  • @abdallamasoud7734
    @abdallamasoud7734 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanga raha sana masha Allah

  • @baddyboy8332
    @baddyboy8332 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimezuru Tanga zaidi ya safari mbili na ni mahali ambayo matumizi ya pesa ni kwa kiwango cha chini ukilinganisha na Dar. Big up mdau love from +254

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau toka +254. Ni kweli, Tanga gharama za maisha zipo chini sana kulinganisha na mikoa mingine Tz ikiwemo Dar

  • @Unclerammaschannel
    @Unclerammaschannel 3 ปีที่แล้ว +3

    Kigoma juuu

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀 juuu! Unatoka pande hizo mdau?

    • @Unclerammaschannel
      @Unclerammaschannel 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels ndio lakini nime kulia mwanza na ndio ita Kuwa makazi yangu sasa hivi nipo mbali huku

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanga so beautiful mashallah we will came to visit Thank you so beautiful

  • @ezmexplores
    @ezmexplores 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow! Channel Yako Inakua Vizuri Na Haraka Hongera Sana .

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana. Pamoja kabisa mkuu. Napenda kazi unayofanya pia

  • @HamisiMtityo
    @HamisiMtityo 3 ปีที่แล้ว +9

    Hey brother , from Kenya , Kwale county...its great to see very close cultural and housing similrarities between tanga and Kwale Kenya. This videos has increased my interests in touring Tanga. Keep up Good work

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +2

      Thanks brother for watching and leaving this kind comment. Just pay a visit to Tanga and trust me you won't regret! Kindly consider to subscribe like and share this video with your loved ones

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwale is a street in Tanga

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +2

      @@nilansaid2927 wow! That's amazing!

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa makala mazuri.Kuna eneo kwenye Pwani ya nchi jirani ya Kenya, ambalo lina jina hilo la Msambweni.Kwa kweli udumishwe undugu ndani ya Afrika ya Mashariki.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Hakika. Shukrani kwa kuniachia comment nzuri mdau.

    • @heraldloshi1864
      @heraldloshi1864 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels Karibu sana Kaka.

  • @abbtsa3060
    @abbtsa3060 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana malango kwa Chanel yako umenikumbusha mbali sana hapo raskazone nimeanza darasa la kwanza Nikiwa tunaishi raskazone miaka 1983 na Shule ilikuwa bombo primary school miaka iyo na kumalizia hegongo secondary muheza .tanga nyumbani nakumbuka sana ndio maisha nyumbani ni nyumbani tu miaka Zaidi ya 27 sijafika uko Asante nakuangalia kutoka Durban. South Africa 🇿🇦

    • @malangotravels
      @malangotravels  2 ปีที่แล้ว

      shukrani sana mkuu kwa kuangalia channel yangu. salamu sana huko Durban ZA

  • @sigfridfrancis9088
    @sigfridfrancis9088 3 ปีที่แล้ว +5

    Big up broo...you will become a huge and successful youtuber oneday

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Thanks 🙏

    • @innocentmshindi
      @innocentmshindi ปีที่แล้ว

      I agree 💯 same road youtubers in Tanzania and Africa at whole

  • @سالمقندوس-ض7ف
    @سالمقندوس-ض7ف 3 หลายเดือนก่อน +1

    nice

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 หลายเดือนก่อน

      @@سالمقندوس-ض7ف thanks

  • @felixphilipo1959
    @felixphilipo1959 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko saw

  • @jumaally8387
    @jumaally8387 3 ปีที่แล้ว +1

    Moja Kati ya mji uliopangika vizuri sanà hapa Tanzania nimefurahi Sana kupaona Tanga

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +2

    WAN KU SALAAMEY WA SAHAL ABDI .OO.JOOGA .CASIIMADA DALKA. DJIBOUTI 🇩🇯. E.WADANKA. DJIBOUTI 🇩🇯

  • @MZEEWA255
    @MZEEWA255 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana 👏🏾

  • @mun-dhirhamad2125
    @mun-dhirhamad2125 3 ปีที่แล้ว +1

    Oyoo nyumbani paleeeee

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Cimment yako imenifurahisha mdau😀😀😀

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Mambo ya chapati na mbaazi sio mchezo hapo..😋

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Hatari sana. Shukrani kwa kuniachia comment nzuri mdau. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki

  • @wm9669
    @wm9669 3 ปีที่แล้ว +1

    Video nzuri. Endelea ba usichoke.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja sana mdau. Asante kwa support

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 ปีที่แล้ว +4

    Big love from Kenya, let's make a big move for African as whole

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Thank you for the kind words. We move forward as African. Lots of love from TANZANIA

  • @kinyemijumaakinyemijumaa4178
    @kinyemijumaakinyemijumaa4178 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh nimepaona nyumbani msambweni natamani kulia aisee nimekumbuka mbali sana naongea kutoka 🇲🇿 mozambique

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau toka Mozambique. Ukipata nafasi njoo home kusalimia. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo

    • @MohamedAli-ho5fq
      @MohamedAli-ho5fq 3 ปีที่แล้ว +1

      @@malangotravels umenikubusha mbali natamani ata kulia..home is home watching from 🇲🇻

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@MohamedAli-ho5fq usilie mdau. Katika channel hii itaona maeneo mbalimbali ya nyumbani japo upo ughaibuni

  • @globoliver9697
    @globoliver9697 8 หลายเดือนก่อน

    Very good! It would of course be nice to get a 2024 update. 🙂

    • @malangotravels
      @malangotravels  8 หลายเดือนก่อน

      Okay

    • @globoliver9697
      @globoliver9697 8 หลายเดือนก่อน

      @@malangotravels Just saying ^^ - I'm aware of the fact that it will hardly be possible. The basic problem is that after the pandemic and with the damn Russian war and its consequences, info that is 1, 2, 3 years old has become rapidly obsolete.

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimesoma popatlal na kumaliza 1991 namkumbuka headmaster wangu Mr chondri niko uingereza mji wa Tanga una kheyr nyingi kwa kweli nimekumbuka mengi kutokana na hii video

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau. Nashukuru kwa support. Endelea kuangalia video zijazo kuhusu Tanzania na nchi mbalimbali.

  • @ektorkornoo8806
    @ektorkornoo8806 3 ปีที่แล้ว +5

    Tanga! One of the best kept secrets in Tanzania. Brings back great memories!! Thank you!!!

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Thank you for watching. Please kindly consider to subscribe

  • @wm9669
    @wm9669 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana
    Mimi kama raiya wa europe naweza kuinunua nyumba na kuishi tz.
    Asante.
    Sina uraiya nyingine.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo unaweza. Tafuta lawyers watakusaidia process nzima ya kununua nyumba

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tanga raha shukran brother umenikumbusha kwetu leo😍😍😍🇴🇲🇴🇲👌

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana dada. Usisahau ku subscribe like na share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo

  • @Unclerammaschannel
    @Unclerammaschannel 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka tupo pamoja kazi I endelee

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau wa Sinza "kwa wajanja" 😀😀🙏

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaah Allhamdullaah hadiraha

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Thanks for watching. Kindly consider to subscribe like and share the video to your loved ones

  • @rashidihassan8180
    @rashidihassan8180 3 ปีที่แล้ว +1

    kaz nzur kaka saf sana

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau.usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki

    • @rashidihassan8180
      @rashidihassan8180 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels pamoja kaka.

  • @paulholsey2754
    @paulholsey2754 3 ปีที่แล้ว +1

    Very nice brother. I will visit when I return

  • @nyaksproduction
    @nyaksproduction 3 ปีที่แล้ว +3

    Video nzuri kaka ...keep it up love from kenya

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka tanga barabara ya 21

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Nadhani utakuwa umefurahi kuiona. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki

  • @راهيهراهيه
    @راهيهراهيه 3 ปีที่แล้ว +1

    M ndo mana sihami tanga kusaf hamna msongomano wa nyumba

  • @iq5631
    @iq5631 3 ปีที่แล้ว +3

    Excellent documentary , I am from Mwanza now resident in uk , when are you going to a similar documentary in Mwanza.The subtitles were excellent for novice Swahili speakers. Well done.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Oh thanks. I really appreciate this kind of support. Rock City Mwanza very soon

  • @nenadurra8477
    @nenadurra8477 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana brother, naiangalia hii video toka UK, mimi na familia yangu tuliwahi kuishi Tanga na kwa kweli umeturudisha nyumbani. Asante sana kwa kazi nzuri. Keep it up. Mgeni Juma.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau kwa kuangalia video. Wawasilie hapo UK

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 3 ปีที่แล้ว +1

    Chenal hii nimeipenda Sana
    Kwani nakumbuk nyumbani
    Tuonyeshe pia Neema

  • @zoey2635
    @zoey2635 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu mwanza, hapo nilikuwa nasubiri uende nguvu Mali nipaone jamani

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante. Nakuja Mwanza hivi karibuni

  • @roote4k154
    @roote4k154 3 ปีที่แล้ว

    thank you for sharing this video

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Nimefurahi kukuona hapa sister. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Tanga kwetu❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutizama video na kuniachia comment nzuri

    • @HalimaHalima-id2cb
      @HalimaHalima-id2cb 3 ปีที่แล้ว +2

      @@malangotravels shukran sana nimefurahi kupaona kwetu niko Oman inshallah iko cku ntarudi kwetu Tanga hongera sana brother umetuliwaza

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@HalimaHalima-id2cb pamoja sana

  • @sahalhouseabdi693
    @sahalhouseabdi693 2 ปีที่แล้ว +1

    اسمي سهل عبدي بوالاي. من .دولة جيبوتي🇩🇯🇹🇿.وأيضا والله شاهدت .في. أصحاب. يوتوب.حينما. يصورون. في.اماكن. او،العاصمة دولة. تنزانيا. شاهد تها.في.يوتوب.في العاصمة. داراالسلام. .عاصمة دولة .تنزانيا. والعاصمة. حاليا تنزانيا. هي. دودوما

    • @malangotravels
      @malangotravels  ปีที่แล้ว

      Thanks for watching and leaving a positive comment

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว +3

    Ungepata Drone Ungepata kange kwa uzuri sana, kuna majumba mazuri mno kange na ni mengi sana bila shaka mji saivi unaelekea maeneo hayo, wengi wa wakazi wa kange ni kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Arusha pia wafanyakazi wa serikalini

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa. Safari ni hatua mdau, tutanunua drone siku za usoni.

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว +1

      @@malangotravels hongera kaka umeanza vizuri.

  • @apocalypsematrix9252
    @apocalypsematrix9252 3 ปีที่แล้ว +1

    Bro mohn lots of peace from Samoa islands in the Pacific ocean nostalgia moments from home base Tanga long long time ago really time has gone by very fast
    please requesting to do a video on 4th street of Tanga lots of memories there take care bro
    One Love Peace

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Thank you for waching. I will do as soon as i return to Tangs. All the best over there

  • @hadhramyusa
    @hadhramyusa 2 ปีที่แล้ว

    Hasante Sana kwa makumbusho wa mji wango wa Tanga. Great video full details well done. You give me the interest to visit my birth place again after long time away abroad in The USA. You got my subscription now. Keep up a good job.

  • @jamilahrashed2642
    @jamilahrashed2642 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwetu kuzuri jamani

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow vizur snaa brother namimi nafanya vlogs please karibu kwangu pia

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana. Nimesha subscribe. Tupeane support Tanzanian content creators

    • @goodluckmachangu5941
      @goodluckmachangu5941 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels wow asanteee sana brother ni wachache sana tu moyo kama wako.
      Watannzania I wish tungekuwa tunasapotiana kama wakenya tungekuwa far.
      Tuna content creators wengi but mpk mtu ku respond comments tuu ni ishu.
      Let's soldier on my brother

  • @mohamedkazema6381
    @mohamedkazema6381 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujiji Kigoma my home town.---- big up bro,.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana. Ujiji nyumba zimepangiliwa vizuri na barabara pana za mitaa kama Msambweni Tanga. Asante kwa support

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 3 ปีที่แล้ว +1

    My last visit in Tanga was 1990, I can see alot of changes I studied at medical school just near by Mkonge Hotel

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Wow, long time. Tanga has really changed! Visit again when you get time. Thank you for watching

  • @raheemdon
    @raheemdon 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana kaka keep your hgead up

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +2

      Asante sana kaka kwa comment nzuri ya kutia moyo. Naendelea ku push mdogo mdogo

    • @raheemdon
      @raheemdon 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels siku za usoni ungeweza kufanya video ya historia ya makabila moja moja ya Tanga na upate wazee wakupe historia ya mji wa Tanga.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@raheemdon wazo zuri. Nitalifanyia kazi siku za usoni

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana...mimi nimezaliwa tanga lakini naishi oman...
    Napenda tanga sana na wilaya zake na vitongoji vyake
    Napenda tanga nikifika natembea na miguu nina enjoy wallah... tuombe corona ipunguwe tuje ni mzaliwa wa barabara 20... tupo karibu na soko la mgandini....

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mdau toka Omani. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo

  • @tonnykayage
    @tonnykayage 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee safi sana

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa kuniachia comment nzuri

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana nimeangalia tokea nchini 🇸🇪

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Bendera ya nchi gani hiyo mdau! Asante kwa support

    • @salumbujjo2320
      @salumbujjo2320 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels Sweden kiongozi malango nimefurahi umetuonyesha nyumbani

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      @@salumbujjo2320 poa poa mkuu. Pamoja sana

  • @jillicious6800
    @jillicious6800 3 ปีที่แล้ว +1

    Mombasa Kenya pia Kuna mahali panaitwa msambweni mostly ni waswahili wadigo

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Ah kweli? Wadigo pia wapo Tanga. Nadhani wana Africa Mashariki tuna share vinasaba

  • @successr1617
    @successr1617 3 ปีที่แล้ว +1

    I’m new to your chanel and I love it

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Welcome! Happy to see you here

  • @raymaakijangwa3347
    @raymaakijangwa3347 3 ปีที่แล้ว

    Big up kwa kulitangaza jiji la tanga

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Assnte sana. Nami nashukuru sana kwa kutizama video

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz ปีที่แล้ว

    Nionesha Barbara 5

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo dalali muongo tanga vyumba bei rahis sana masta unapata kwa elf 30 tu had 25 viwanja visivyo na hati kichangani mili moja na nusu mpaka milioni na laki saba

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani kwa kuongeza insights kuhusu Tanga. Umewasaidia wadau wengine watakao hitaji nyumba na viwanja jijini Tanga. Usisahau ku subscribe,like na ku share video hii

  • @malangotravels
    @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +6

    Hello friends, THANK YOU FOR YOUR SUPPORT! We have reached 1000 subscribers milestone. Thanks for subscribibg, liking and sharing my videos! Be blessed and stay safe

    • @sadmahossein9030
      @sadmahossein9030 3 ปีที่แล้ว +1

      Uko vizuri watching f kenya, video zmekaa poa tu,unachofanya n unique, ila uckawie xana kupost.

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      @@sadmahossein9030 asante sana kwa ushauri

    • @mringoarts3710
      @mringoarts3710 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sadmahossein9030 Ndioooo

    • @marywillison9369
      @marywillison9369 3 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana kaka

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@marywillison9369 Asante sana. Karibu kwenye channel hii kwa content motomoto

  • @ramahawai7056
    @ramahawai7056 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu leo umenipeleka Tanga kabisa. Niliwahi kusoma form 1 mpaka form 2 kwenye Shule ya Popatlali iliyoko raskazoni opposite na Mkonge Hotel kabla sijaondoka nchini. Muda mrefu sanaaaaaa. Asante ndugu yangu kwa video hii

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru sana kwa kuangalia video na kuniachia comment nzuri. Tanga ni pazuri sana

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 2 ปีที่แล้ว

    Home sweaty home

  • @zolongOne
    @zolongOne 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nilichoshangaa ni hakuna fiber internet Tanga mjini.

  • @mpandamohamedmsoke9722
    @mpandamohamedmsoke9722 3 ปีที่แล้ว +2

    Inabidi wauongeze mji kwa kuweka lami mpaka msambweni

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Msambweni au Masiwani? Mana msambweni ni karibu na city centre

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanga raha jamani

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Raha kabisa mdau. Asante kwa support!

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 ปีที่แล้ว

    Umefika raskazone hukutuonyesha hosp ya bombo na wagonjwa wake
    Mwaka jana nilitembelea mpaka bombo hosp.
    School niliyosoma girl high school ilibadilishwa Na kuitwa masiwan school ... nili enjoy sana ...
    Elimu yangu ni hapo hapo tanga
    Tanga raha

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuniachia comment mdau. Bombo Hospital nilipita, angalia Episode ya 2 "Things To Do in Tanga"

  • @salehmohd3808
    @salehmohd3808 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanga oyeee

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      ...oyeeeee! Shukrani kwa ku click video mdau

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 3 ปีที่แล้ว +1

    Andelea kutuonyesha mpaka pangani please 🙏🙏

  • @tanzaniareview
    @tanzaniareview 3 ปีที่แล้ว

    Shukurani kutuleta Tanga!!

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa kutizama video na kuniachia comment nzuri

  • @mpandamohamedmsoke9722
    @mpandamohamedmsoke9722 3 ปีที่แล้ว +1

    Daa aisee big up saana sema tafuta drone ndio tutainjoi saana sema halaala na vyoo vya passport size

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana kwa ushauri wako. Nami pia natamani kutapa drone ili niweze kuwatendea haki. Naamini mdogo mdogo tutafikia

  • @thekickblog
    @thekickblog 3 ปีที่แล้ว +2

    Naona umeme uko, vipi maji yapo?

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Maji yapo ya kumwaga! Karibu sana

  • @slo2418
    @slo2418 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice video but it would be more informative and appreciated for your viewers the location/map of the city/town you are presenting. So a map would be good to show before the start of the video!

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      I appreciate this amazing insight. Will work on it!

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +1

    Hongera Kiongozi kwa taarifa, ila nina swali, kwanini Mikoa karibu yote imejitahid kujipanga ki mitaa, na kwa nini Dar es salaam mitaa imeharibika au mikoani maafisa mipango miji walikuwa wakoloni? naomba nielimishwe ktk hili.

    • @malangotravels
      @malangotravels  ปีที่แล้ว

      Asante. Sasa hivi serikali ya raisi Samia imeanzisha utaratibu huo nchi nzima kwenye program take ya anuani za makazi

  • @salumnjechele4975
    @salumnjechele4975 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm hyo beat imenichanganya

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Beat ipi mdau. Asante kwa kuniachia comment

  • @alwayswell6119
    @alwayswell6119 3 ปีที่แล้ว +3

    Any hotel recommendations for Tanga?

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      Mkonge Hotel

    • @ernestmbwana6282
      @ernestmbwana6282 3 ปีที่แล้ว +2

      Tanga beach resort
      Mkonge hotel
      Nyumbani hotel
      Nyinda hotel
      Dolphin hotel.e.t.c

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว +1

      @@ernestmbwana6282 umetisha sana. Thanks

    • @ernestmbwana6282
      @ernestmbwana6282 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels Asante Boss

  • @newtonchamkongo6822
    @newtonchamkongo6822 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana mdau. Usisahau ku subscribe, like na ku share video hii

  • @bwanadozzy7419
    @bwanadozzy7419 3 ปีที่แล้ว +1

    good

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri nimepaelewa hapo raskazon na kange

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana. Ni maeneo ya "washua" hayo

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      @@malangotravels😅 Nimeona nikuzur sana

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme pamoja sana!

    • @rukayyawendo1268
      @rukayyawendo1268 3 ปีที่แล้ว +1

      Tanga yetu

    • @malangotravels
      @malangotravels  3 ปีที่แล้ว

      @@rukayyawendo1268 Tanga yenu pa zuri kwa kweli