NDARO, MR. MWANYA WAMEMCHANA MAKAVU CHIEF GODLOVE ATOKE MAGETONI "NIMEKUTANA NAE LIVE HANA HELA!"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Ni aibu! Mchezo wa Chief Godlove kutumia pesa feki tiktok umevuja na washkaji Ndaro na Mr Mwanya wamemchana makavu bila kupepesa macho.
    Nimekutana nae Live hana pesa! Haendani na pesa anazoonesha tiktok!
    Pia chief godlove ameamua kwenda studio na amesema ataachia ngoma yake hivi karibuni kwa hiyo watu wakae mkao wa kula.
    #fyp #chiefgodlove #freemason #tiktok #ndaro #mwanya #mbao

ความคิดเห็น • 34

  • @romwaldlikwawa1167
    @romwaldlikwawa1167 5 วันที่ผ่านมา

    Chief Godlove, ni mmbunifu, hongera msimuonee wivu....huyu ans hela hajakosea....Kwa sababu Dunia ni uwanja wa fujo aliye na ngoma acheze....

  • @user-wn2gr1in7w
    @user-wn2gr1in7w 11 หลายเดือนก่อน +3

    wew mwanya na huyo ndaro wote nnyiee n panya kwa huyu jamaa sis tuna muelewa sana chifu

  • @GodiGodi-im5wi
    @GodiGodi-im5wi หลายเดือนก่อน +2

    akili auna tafta pesa alali

  • @josephmathias8341
    @josephmathias8341 11 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaaa pesa anazo nyingi sana ,,,yan namanisha kwamba kama huna pesa huwezifanya vitu kama anavyofanya mwamba,,pesa anazo💪💪

  • @aliymajala5678
    @aliymajala5678 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿

  • @zachariasaimon1448
    @zachariasaimon1448 10 หลายเดือนก่อน +1

    chief goodlove ni kaline tunao ishi sasa hivi ambayo imebeba majivuno kwa kili mtu kwangu mimi sio sahihi kuonesha pesa zako sehem za media mitandaon ili kusudi iweje sasa kwangu mimi anakosea sana

  • @Florisvevotz
    @Florisvevotz 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna wakati anazungumuza vizuri nakuna wakati anazinguwa

  • @ABDULKIPAGWILE-ke8ci
    @ABDULKIPAGWILE-ke8ci 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye ela amsemi maskin zitaisha izo kumbuka misemo ya ndalo anasema yanamwisho

  • @user-rw5wy1yw3f
    @user-rw5wy1yw3f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimemuelewa sana
    Hii ni mbinu Moja ya juu ya kufanya watu wakukazie uangalifu na hivyo kuwa na followers wa kutosha!!!

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ndio mswahili,msaidie utakavyo weza lazima atakunanga

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ndaro na mwanya ni fala2 na hamuwezi maisha ya yuyo jamaa pia kama unaweza kuazima azima tuone bs

  • @deobabula1268
    @deobabula1268 7 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿 ni icho yenye fujo zisizoumiza tafuta pesa

  • @user-jm9ir5di8p
    @user-jm9ir5di8p 7 หลายเดือนก่อน

    Anakosea sana

  • @Susanumazi
    @Susanumazi 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa anasumbuliwa na ushamba sana

  • @mariammariam6356
    @mariammariam6356 11 หลายเดือนก่อน +1

    HUY MGANGA WA JADI AU MWANAMAZINGAOMBWE 😅MBON AKIITWA KWENY REDIIO YOYOT ANAKWEPA KWEND MUONGOOOOOOOO

  • @husseinbakari7008
    @husseinbakari7008 11 หลายเดือนก่อน +1

    Toka apa Vimbao 😂

  • @user-yd1qo1kk8m
    @user-yd1qo1kk8m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani watu waongee vyote lkn chief godlove hela anazo japo tuliona kibao lkn vp clip zake zote kuna vibaoo chief baba upige mwingi tu hakuna mtu anaeweza kupita njia yako iliokufikisha hapo hio ni siri yetu tusonge mbele

  • @jimmymucowimana9718
    @jimmymucowimana9718 11 หลายเดือนก่อน +1

    Acha mambo zenu chef anapesa kabisa zakutosha muhacheni ujinga nahasira huyo jama niboss Sana

  • @faidhacute
    @faidhacute 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu pesa hana ila anaridhisha nafsi yake mpuuz

  • @user-jh4bi3th9t
    @user-jh4bi3th9t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ndaro unajilinganisha na chief wewe na mwanya ni makumakuma tu

  • @user-ws5sd8wf1t
    @user-ws5sd8wf1t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mfano wamtumwenye PESA mtazame bakhresa

  • @ABDULKIPAGWILE-ke8ci
    @ABDULKIPAGWILE-ke8ci 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwa hauna ela bwege

  • @AdrianoMwalupani
    @AdrianoMwalupani 11 หลายเดือนก่อน +1

    Chifu niazime namimi vimbao natambe kwetu

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel huyu ni kichaa

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Libaya lijitu lenyewe

  • @mariammariam6356
    @mariammariam6356 11 หลายเดือนก่อน +1

    MUONGOOO HUYU BABU YAK GANI CHIEF WAKAT ANAENDAGA DHAMBIA KUNUNUA UCHAWI

  • @user-zj1pw8tj1z
    @user-zj1pw8tj1z 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa anafanya ualisia wa maisha yake ila wanadamu wapo kwajili yakumchafua mtu alie fanikiwa ili ashuke alipo anachokifanya godlove ni sahihi kwa ajili ya maisha yake respect blotter

    • @user-ch2it3qt5z
      @user-ch2it3qt5z 11 หลายเดือนก่อน

      Nakubali Kaka...sema bongo wivu tu na rohoo mbaya tu inatusmbua

    • @sanchoMohamedi-bh3nf
      @sanchoMohamedi-bh3nf 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@user-ch2it3qt5z😂❤😊2❤0

    • @user-zb2mj5nd5g
      @user-zb2mj5nd5g 11 หลายเดือนก่อน

      kama kujishusha atajishusha mwenyewe nanyodo zake we mbele yamalofa kibao unaonyesha ukwasi , si watakuloga wandewa

  • @buchomillion4743
    @buchomillion4743 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia inakutesa wewe.wenye hela hawaongei.