Utangulizi 'A' (Ahkaamul-Janaaiz ) 01 - Sheikh Nassor Bachu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Darsa/Mawaidha: Kitabu Ahkaamul-Janaaiz cha Sheikh Albani (Rahimahullah) sehemu ya kwanza Utangulizi 'A' yanayofundishwa na sheik Nassor Bachu (Allah amrehemu).
    #SheikhNassorBachu
    #Ahkaamul-Janaaiz
    #uislam
    #Mawaidha
    #IslamicKindness

ความคิดเห็น • 7

  • @asakh9113
    @asakh9113 ปีที่แล้ว

    Asalam alykum mimi nikihitaji hizi audio za ahkamul janaiz nazipataje

    • @IslamicKindness
      @IslamicKindness  ปีที่แล้ว

      waweza zidownload apo au ilikua unazitaka ofline

    • @asakh9113
      @asakh9113 ปีที่แล้ว

      Ndio nazitaka offline kwasbb huku inanikost kidog ila nikizpat offline ntaskiliz mda wowte baada ya kudownload

    • @asakh9113
      @asakh9113 ปีที่แล้ว

      Alaf natak nijue pia je kimekamilika yaan mwanzo mpaka mwisho maana nimeanz tayar kufatilia

    • @IslamicKindness
      @IslamicKindness  ปีที่แล้ว

      @@asakh9113 zimekamilika ila kuna baadhi sauti haziko vizuri ni hitilafu ziliporikodiwa

    • @asakh9113
      @asakh9113 ปีที่แล้ว

      @@IslamicKindness ahaa sawa asnte