kuna kulilia mwanaume na kuna kutaka kujua msimamo wake ama kwanini mambo yaendi vizuri so hapa sioni kulilia mwanaume kabla u break relationship marriage must ujue mwezako anakuliwa na chawa ngani
One kid and you there begging for it. when our dad left us, mum is playing two sides. She loves us alot and she's everything to us. Unatusi mum then l begg you to come back to me. Elani baba Brian, Mama Ravia kuja huku tungangane na scrubbing hamem na kuosha matanjaras
Mapenzi can make u do dumb things ...like apologising when u r the one who should be apologised to.Woooiiii.....mimi hii reggae I can stop it immediately.
Aky hiyo patanisho ilikuwa kali yawa, eeh ghost jamani ulinimaliza na kicheko, am single mother of four children for 10years now and am comfortable sijui why some ladies wanalilia mabwana wakiomba msamaha,but hata kama huyo mama ako na kelele mingi hawezi ishi na bwana afupishe mdomo mens of now days hawapendi kelele.
Hapa kuna kazi ngumu a luhya and luo huyu jamaa ni mkinya anaongea akiwa amelewa hapo ndio anafanya makosa na ladies ata km ni mpole lkn hao ufika mahali akaona kimya y bwanake ni madharau ss ndio ataanza kuongea bila kukoma hata ki science wanawake wana uwezo wa kuongea more dhan 1k words in a day
Hahaha mama Ravian yaani ulipenda huyu jamaa hadi ukadedicate otile, Tunapendeza pamoja eeeeh, Tuliumbwa tuwe pamoja baby, Sisi huwanga pamoja, Mapenzi hisia.....eeeeh Nimekwama ngoja nitafute lyrics alafu nirudi
Lol! Dada are u serious aki unataka kurudiana na uyo mwanaume!? Mwenye anakuchapa, n kumake the matter waz anatusi mamako!! My dear siz fikiria tu xaaana!
Team single kujeni hapa msikize comedy ya patanisho..
Single tuko sawa
Tuko ndaani kabisa swthrt
Tuko team single
Drama za ndoa !!!! LoL 😯
@pretty you are always the first viewers
Team hamam wapi like zangu
Hapa 2ko
Wacha niwazikize nikiwa iraq
Wacha nikazane na mwaarabu hapa qatar
@@zainafwenah7751 Iraq kuko aje
@@lucynduati9571 banae Iraq hatuna embassy lakini nkupoa kwangu Mmi
Team single Mko wapi jamani heri nikae single forever
Mke kutolea mumewe nguo sio issue juu siku zote humuona uchi wakiwa kwa bed,mzazi ndio laana akitoa nguo
Hahaha
Nkweli kabsa ccta
thats a good point
I second you
Kweli
Team Doha wapi likes zangu
😂😂😂 hata akivua nguo si huwa anaona huo uchi
Alikua anaonyeshwa vitu vyake bila kuulizwa
Mwanamke mdomo kaya eish 😂 😂 😂
😂😂😂😂😂😂 nimecheka yangu yote leo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Gidi mko na Kazi Leo..
Mke kasuku kabisa
Ghost anasema kananda
Si kasuku bali ni pressure
Women should talk 3500 words per day😂😂😂😂😂😂
Niokotwe😁😀😁😁😁
Mimi mtu akieza tusi mamangu anaeza jua hajui wallai
Sasa unachapwa na unataka kurudi we nae pia pimbi
Mke ni kama amemeza CD ya kihindi anaeza ongea 2hrz non stop
Leo hata Mimi nimecheka😂😂😂😂😂😂😂
Aki huyu msichana nayeye 🤣🤣🤣,tunafanana..Kananda 🙈🙈😁,lakini mtu ajaribu anichape 😂😂😂😂😂😂
Hii ya leo hataree😂😂😂😂😂😂😂
Hehe kutukana mama maraya ingekua ni mimi ungejua hujui tunapitana kama unga ya ngano na mchanga 😭😭😭😭😭😭
Hehehehehehahahahahaha
Siezi lilia mwanaume.wacha nikue tu single
kuna kulilia mwanaume na kuna kutaka kujua msimamo wake ama kwanini mambo yaendi vizuri so hapa sioni kulilia mwanaume kabla u break relationship marriage must ujue mwezako anakuliwa na chawa ngani
Shindia hiyo stecy beib u will realize important while is too late.
@@jackimmugendi4203 sidhani kabisa
Hahahahahaha Stecy ni ngumu
Itabidi
My brother from kakamega pole...mulamwa anaongea sana lakini vumilia tu😂😂
Hii ya leo ni sarakasi ya kolela maze..Hawa watu wanapendana. Ni waelewane tu..bb apunguze maneno..na hus pia aache kutusi mavyaa..na kumpiga.
Hii ya Leo imeweza poo hahaa.... chesoo,,,,, mama kananda wololoo..
I love this man mama apunguze mdomo 😀😀😀😀
Rudi huko tu utanyogwa kwni huna mikono.. fanya job hata ya hamman ni job poa
Hao watu WA akina mulwama mihua cwapendi coz matusi wamejaza kwa mdomo...!huku wakijifanya wapole..mwana dada tafuta job usahau huyo mulamwa.unatuaibisha ukimbembeleza mwanaume
Pole sana Dada nyangu
Leo imewezah 😅😅😅😅 ATI wanawake Wa busia sio wazuri😆😆
Wallah mtu anitusi yake yote lkn aachane na my family... nonsense
That s agreat woman please help their marriage
Yani amekosea mamako respect alafu unaomba mpatanishwe .....ujinga ya hali ya juu
😂😂😂😂Ashapatanishwa na bado anasaliti daaah hi kasuku ni balaaaà nilidhani ni nzuri nimpe my brother bt no atakufa mapema juu ya ķelele
One kid and you there begging for it. when our dad left us, mum is playing two sides. She loves us alot and she's everything to us. Unatusi mum then l begg you to come back to me. Elani baba Brian, Mama Ravia kuja huku tungangane na scrubbing hamem na kuosha matanjaras
🤣🤣🤣Gidi this couple is funny🤣🤣🤣they will kill me🤣🤣
Huyo msichana ana kidomo sana hata km ni mimi siezi vumilia
😂 😂 😂 Wah huyu mama ni kasuku aki.... Usikaliwe daddy... Marriage za siku hizi yawa... Ghost 😂😂unanimaliza na kicheko😹😹
Kazi ya ndoa Ni ngumu sn
Hatari more fire leo 🔥🔥🔥🔥🔥
Hii mwanamke ni sumbua,over kasuku😂😂😂😂
Nooooooooo to violence 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🔥🔥🔥
Mapenzi can make u do dumb things ...like apologising when u r the one who should be apologised to.Woooiiii.....mimi hii reggae I can stop it immediately.
Wah kuna watu funny sana
Hii ya leoni kali mwanamke mdomo mingi kuwa down time unatalk na your hazi
Kama mapenzi ni ya kutoheshimu wazazi wacha nibaki single
Respect is important
Waah 😂😂😂😂😂leo ni kali
Hahaha ati unipige tena nikuombe msamaha luck you brother na atakazi huna
😂 Luo ladies our pride can't allow us to this yawa, mtu atukane my mom Tena nimuombe msamaha 🤣🤣🤣Hii ni majinun
😆😆
😃😃😃😃
He's wrong she's wrong, this Two guys need help.
Am sorry guys
Aky hiyo patanisho ilikuwa kali yawa, eeh ghost jamani ulinimaliza na kicheko, am single mother of four children for 10years now and am comfortable sijui why some ladies wanalilia mabwana wakiomba msamaha,but hata kama huyo mama ako na kelele mingi hawezi ishi na bwana afupishe mdomo mens of now days hawapendi kelele.
Bona mwanaume akipembelezwa ua na maringo hivi😃
Hawa wanapendana 💯
Yani u guys u laugh at them vibaya woi hahaha
Gidi na Ghost hiki ni kibarua jameni!
Hio ya kutusi mzazi nayo haileti shangwe wazazi ni wamaana ata hivo mm cwezi pepeleza mwaume kwanza nikiwa na mtoi moja
aki gidi na gost muna fanya kipindi kinoge. kweli uyu dada ni kinanda vile gost anasema amezi mate 😂😂😂😂😂😂
real man achapi mwanamke,...only punk ndio anachapa mwanamke
😂😂😂😂😂niokotwe ...aki ghost kicheko chako😂😂😂😂😂
Hapa kuna kazi ngumu a luhya and luo huyu jamaa ni mkinya anaongea akiwa amelewa hapo ndio anafanya makosa na ladies ata km ni mpole lkn hao ufika mahali akaona kimya y bwanake ni madharau ss ndio ataanza kuongea bila kukoma hata ki science wanawake wana uwezo wa kuongea more dhan 1k words in a day
Aky patanixho ya Leo imekuwa vituko wanawake na wanaume wololo
yaani alibaki uji wa mnyama
Leo wallai mmenichekesha sana😂😂😂😂😂
Pamy wa Isimale my dear we pia Ni Busia😆😃😃🤣🤣😂 ama kakamega
@@iampinchez7065 Mie ni wa kakamega😂😂😂😂😂
Nakupenda sana wee cwezi kuchukia..pia mimi niwa kakamega
@@iampinchez7065 umenienjoy njoroge si ni jina la eastern
Apanaa Mii Ni mkwenu ..shimo la vandu
huku ni patanisho leo ama ni kucheka juu hii ni drama
Sijacheka hvo leo mbavu zngu
@@shamsaismail7707 😂😂😂😂😂
Maisha ni kuvumilia na
Nimekwama hapo kwa mwanaume kusema mimi ndio Bibi kwa nyumba, kucheka hadi mbavu zauma
😳😳😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂waa vituko
Kasuku hata hatapigwa Tu mwanaume hio Kere kere Kofi pap
Nimechekaaaa sanaaaa....🤣🤣🤣🤣🤣🤣😥😥😥🤣🤣🤣🤣🤣
kompyutericed! woman cooldown kidogo
Afrocinema😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nmekwama hapo pa kuvua nguo
😂😂😂😂😂😂eti anasema yy ndo bibi kwa nyumba😂😂😂😂😂😂😂
Mimi nataka mume mwenye atasoma katiba peke yake ndoa sitaki
سالم السعدي Niko hapa plz call 0718603121
@@maizemahindi4090 😂😂😂
Mwenye atakusugua vilivyo sio😜😜😜😜
Aiiiiiiiiii
Hmu
Pole mum
Radio Jambo munanijokeza kweli
Kweli nikanada
Sweet😂
Haki huyu ni mamito.
Hahahaha
Kazi ipo mwanaumea kuringa
Ww mwanamke ni mjinga Sana,, wanaume hawapendi kelele plz though am single but nimeona kwa marriage's mob,,ata haupei MTU tym yakuongea,,poooooooo
Ata akitusi mama yako bado unampenda tu sana wololo
Hahaha mama Ravian yaani ulipenda huyu jamaa hadi ukadedicate otile,
Tunapendeza pamoja eeeeh,
Tuliumbwa tuwe pamoja baby,
Sisi huwanga pamoja,
Mapenzi hisia.....eeeeh
Nimekwama ngoja nitafute lyrics alafu nirudi
Dedicate me that song too
@@abdonmwangi4420leta contact yako nikurushie WhatsApp
@@roselineawinja6604 sawa
Roseline Awinja...nitumie kwa hii plz$+254704110626
@@tinahnaitwa9845 nko job ngoja nikifika kwa hao ntakurushia
Hahaha noma sana
Shida
Nimecheka mpaka basi
mke kumtolea nguo ni vema sana sioni ubaya. jamaa akule mali
Hii patanisho ni ya western pekee
Dunia ina mambo kweli
Ila Bado sioni kosa la Huyo bibi jamani,Sijui anaomba msamaha wa nini hapo,haki mapenzi jamani
Lol! Dada are u serious aki unataka kurudiana na uyo mwanaume!? Mwenye anakuchapa, n kumake the matter waz anatusi mamako!! My dear siz fikiria tu xaaana!
Ya leo nimecheka hadi nikalia,, bwana ni mpole,, sijui nani Ana ongea ukweli
I divorced my ex hubby juu ya kutorespect wazazi wangu..
Siukuje uarabuni badala ya pasuade mume aaaaai ziezi pasuade mtu ananichapa kelp
Eti nilimvulia nguo kwani sinibwanako kunamakosa hapo
Kamama kelele
hii ngombe c iongee mm ata sisikii inasema nini
Mouline Moulinr hahahaa
@gidi ghost this two guys can be a comidians
Huyo mwanamke ni kasuku na hapendi kwambiwa
🤣😏🤣🤣 uwiii
Gost yawa hahahahahahaha
Huyu mwanamke na mdomo yawa
kwani Wife akitolea Bwana nguo NI hatia? twanga kuni
Ati yeye ndio bibi
Haki punguza mdomo dada
Radio bila battery
kitendo ngani kutoa nguo sio issue