Eunice ulifanya makosa kabla u move on ndio ungeleta patanisho kutaka kujua msimamo wake, ww ukaolewa then umetoka tena uko unataka kurudi it's hard for a man to accept that pole kwa kuachwa hewani
Mwanaume very bored yaani unaongea maneno mengi na yeye anatamka neno moja Tu,,,Alfu wewe Eunice jichunge Sana usije poteza kila kitu katika maisha yako...."Ndanga"
hii mambo ya katiba mnatumamaliza watu wa dryspell wanacomment Wapi uku nawe mnoma unatoka unaenda kuolewa n bado ujirudishe kwa bwana am single but siwezi tapika matapiko nikule kujipendekeza utapata taabu sana tafuta kazi ufanye wanaume wengine watakutumia bure kwani ndoa ni lazma.
Teso ladies wako wafumilivu huenda your brother alikuwa kaa huyu wa Eunice mwenye hawezi kitu ,am a teso but damu ya mbwa hatuna I can stay without a man
Eunice wewe ni mrembo mzuri Mimi sioni kama ulikosea ,huyo Ronald alikua tayari na mwanamke mwengine wewe bado uko mtoto kwanini ana kuacha ukae ushago kwani wewe nimze wachana nayeye mjinga huyo huyo mwana mme ni malaya hata huyo ako naye ata muwacha usiliye nyuma yake muhurumiye
aki dunia inamambo how cames ilitoka kwako na kuenda kuolewa haraka hivo but i feel for dat guy mayb ako na shinda fulani that's y hawezi soma katimba but kaa ni mimi huyo mzee kwanxa akatae kurudiana na mimi namuperekea huyo mtoi wake walee na huyo mwanamke period
Aki ghost, imagine hua unacheka paka, mtu aeza ogopa wah, apo yunic ulikosea kuoleka, kwingine kama unampenda, usiwai oleka wewe, enda kwenu kaa kama mjinga, tafuta pesa ufanye biashara, ujiheshim na kueshim uyo mme wako, ipo sku itafika tu, atakkumbuka inaezekana,sku moja mkarudiana
@@aishaelias3867 hii matusi Ni ya Nini??? Nikisema watu waonjane kabla waoane unanitusi??? Kila mwanamke aliye na Kuma ni Malaya, alafu tusizoeane tafadhali
@@abdonmwangi4420 Imagine mi nimesema watu waonjane kwanza kabla waoane, na nongwe ingine inaniletea hapa nyege ya kuku, ngoja ajibu.nini huwa inafanya mwanamke anaenda kuolewa ka sio mboro?
Team hamam mimi wa kwanza wapi like zangu
Hii hamam ni nini, someone to comb me plse.
Sarah Ayienda ni choo kwa kiarabu
@@silviaminaya9289 ohooo,thanks
Uyu mwanadada akuwa mvumilivu kabisa .Thanks Patanisho mumemshow dada ukweli
Eunice welcome to single team..life stress free
Hahaha hata rhym hapa, yeye ako na sparepart sisi tunakufa njaa ya wanaume
@@roselineawinja6604 mwenye anasema hasomi katiba ama mgan??? heheeeee
@@prettybabygalmichelson6557yes hiyo mwenye hasomi ndo spare part, huoni venye amekubali kumove on haraka
True 😍😂
@@roselineawinja6604 Eunice akikuja huku gulf si dry spell itamuu aki
Kicheko ya Ghost niwekewe kama ringtone ya simu yangu please🤣✌
I lov him too
😀😀😀😀
Nimeanza kuchekelea watu kama ghost aki ..I love it
😂😂😂😂😂yani mtu anawacha bwana anaenda kuangukia ngombe ingine😂😂😂😂
mm hii patanisho itakuja kunimaliza😂😂😂😂anyway nimesoma mengi ya ndoa na hii kipindi
Tamaa iliua fisi. Huyu dada ana upungufu kiasi anafikiria ndoa ni ya kuchezea kalongo . Jipange dada
Jamani mnaanikiwa jamvi mnashindwa kulalia duh!!wanaume shughulikieni wadada vilivyo kitandani/kimapenzi💪
Wanawake sometimes tamaa huwapeleka vibaya. Huyu alidhani ameangukia kumbe ameangukiwa. Sasa nyuma hakurudiki.
Leonard mtu taratibu sana
Wewe Eunice tupeleke pole pole..Yani one year mtu ajakufata niwe unatafuta yeye steyl up my friend
Eunice you're good girl...let's it go and let God.. Eunice means victory.
Waaaa hatarii heri uchunguze kitu kabla ya maamuzi, Eunice pole. Nxt time usikurupuke tu kuondoka bila evidence, 😳
Eunice ulifanya makosa kabla u move on ndio ungeleta patanisho kutaka kujua msimamo wake, ww ukaolewa then umetoka tena uko unataka kurudi it's hard for a man to accept that pole kwa kuachwa hewani
Huyu name shake anatuharibia sana hii Jina, yaani Eunice kazi yako nikuruka ruka ukaangukia mwanamke mwenzako 😂😂😂pambana na katiba yako
Maze jooo huyu dem amearib jna like nmkupea
Eunice vumilia kwa mshichana nwezako,,, hakuna mtu alikufukuza kwako niweww ulijitoa mwenyewe mwiba wakujiduga
😂😂😂😂
😂😂😁😁kwa msichana mwenzake
Aki ghost kicheko kitakumaliza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
leo niko number 1
Heri angekaa tu mume ni wakuhanya wee muache aendelee bora atapea nyinyi life,unawacha fisi unaendea chui.
Patanisho tunaskiza Hadi majuu...😂😂😂
Gulf sio majuu...
@@kinara5365 but who knows🤷🤷
Bill constant majuu si America pekee.
@@hadijasulley857 Europe pia Ni majuu...middle East sio majuu
Unataka kurudi kwako na ulioleka na mwanamke mwenzako😭😭😭
😂😂😂
Nakucheki mwana sabiki wa redio jambo tuko ndani ndani
watu wa dry spell kujeni hapa tukutane tuongee kiasi😂
Am within baby gal Dxb massive
Gidi plz nami naomba no. Ya uyo jamaa anayeacha napenda tukilala ka double lady
Eunice alikuwa haraka angekuwa patience . Huyu kijana hana maneno
Haha Acha niskize mpaka mwisho kwanza
Wah UNICE umekumbuka shuka wakati kumekucha umeshaolewa ukasahau kana kwamba mwenzako ameoa
😂😂😂😂na hivo ndio eunice alibaki singo chaiii
Aki mapenzi kweli ya umiza..one yr ago na unataka kurudiana na mtu wow...Euni huna bahati pole..
Ghost kicheko yako ni noma
we need story za ghost back...
Bahati yangu ilienda vibaya,
Waah mambo na katiba doh
Alafu nilidhaniaga Ghost nimrefu mkonde😂😂😂kumbe hii kicheko niya mafuta hivi watu wazito😆😆😆
This one killed me Pwehehehe desperate women unaamua tena unajirudisha God tafuta job dada acha kuwa desperate kiasi hio
Mniambie kama bangi ilihalalishwa kenya tafadhali huyu Eunice si mzma
Team kujiamini mpo
Nko ndani ndani saaaaana
@@zainafwenah7751 kama kawa
@@agneswanjihia1383 yep
Here I am
😁😁😁ghaaaiii noma aki
Gonga Kichwa Yangu😉
Woi...Kiswahili imeungua tu😆
Nmepita nayo
Waaaah..... ati hasomi katiba!!!.... Hmmm kuna kitu hapa si bure
Tafadhali wanaume tutombeni vizuri tutulie
👏👏👏👏 hata mi mtu akinitomba vizuri siezi muacha
Hahaha
😜😜😜😜😜😜ongezea volume
😲🏃♀️
Aisha Elias ukuje Tanzania tusome katiba uzuri
Huyu jamaa ni km amegrow😂😂 but sijasikia kitu muhimu nilikuwa nasubiri....what about the baby??
Please remember the lady she's the one who run away.
@@thadeusongera2447 True and I was waiting for the lady to grant responsibility to baby daddy
Nomad kwa ndoa
Pastor;Gidi na Ghost Mucheshi mko juu tu sana.
Jamani ghost ndo yupi hapo😉😉😉😉
Yule wa halfcoat
Eunice umepoteza nne ukifikia nane...pole,tulia sasa uache kurukaruka
Eunice wacha kujibembeleza Kwa mwanaume pongezi Kwa msimamo wako, wewe mwenyewe ulijiondoa bila kufukuzwa kula ujeuri wako
Frying pan to fire😃
This man hana shughuli...wacha akae...🙌
umepata akili sasa
Eunice mtaka yote hukosa yote ,kaa kwa Yule bwana wapili .
Huyu mwanadada Hana msimamo
Mkangala usundure vushi😂😂😂😂😂
Eunice ni mwanamke mshenzi...
Mwanaume very bored yaani unaongea maneno mengi na yeye anatamka neno moja Tu,,,Alfu wewe Eunice jichunge Sana usije poteza kila kitu katika maisha yako...."Ndanga"
Wewe unataka kuskia nini😂
hii mambo ya katiba mnatumamaliza watu wa dryspell wanacomment Wapi uku nawe mnoma unatoka unaenda kuolewa n bado ujirudishe kwa bwana am single but siwezi tapika matapiko nikule kujipendekeza utapata taabu sana tafuta kazi ufanye wanaume wengine watakutumia bure kwani ndoa ni lazma.
sasa uliolewa sasa unauliza msimamo wa mtu
😳😳😏😏sidwe....hio ndio ujinga ya wateso..hawaridhikagi
Ulijia vipi ama wewe ni mteso.
@@maggiealf4474 wewe. Ni mteso??kakangu alikua AME marry mteso..buh alifagia macuzo wote Alan😏😏
Teso ladies wako wafumilivu huenda your brother alikuwa kaa huyu wa Eunice mwenye hawezi kitu ,am a teso but damu ya mbwa hatuna I can stay without a man
@@maggiealf4474 hivi mbona unaumwa jamani???kakangu hakuwa hivyio..had I waleo hajaoa...Huyo mteso ndio alisababisha...so sijui ka ni wote
This is wat called desparate time call for desperate measures. Ndingihota
😂😂😂😂😂😂ghost kicheko
Sylvia Ngunya kabisa
Eunice ndo ushike adabu ulimuacha ukidhani utapata better Kula jeuri yako
carol mamake Britney 😂😂😂😂😂😂
@@silviaminaya9289 😂😂😂😂 mpumbavu Sana huyu Eunice
carol mamake Britney 😂😂😂😂wachana naye khubus imemlewesha
Wacheni eunice jameni ule ako katiba soma ni Community hubby mwingine ni ndito mwenzake 3rd time will be sabamba!😜😜😜😜
kabla u wache mtu na ukimbilie mwingine kuwa sure huyo umewacha amuwezani
Mtaka yote hukosa vyote
True
Eunice Ndila
Aliruka mkojo kakamenga mavi
Am dead😂😂😂😂
Rest in peace
🤣🤣🤣wanawake haki
Eunice wewe ni mrembo mzuri
Mimi sioni kama ulikosea ,huyo Ronald alikua tayari na mwanamke mwengine wewe bado uko mtoto kwanini ana kuacha ukae ushago kwani wewe nimze wachana nayeye mjinga huyo huyo mwana mme ni malaya hata huyo ako naye ata muwacha usiliye nyuma yake muhurumiye
wololo wololo nyinyi wote ni wanawake kiaje
One of the many reasons why women are single, kula ujinga wako na Tamaa imekufunza adabu . Join the single club and uanze kutuita 🐕
Kama we msichana ungeolewa na ukae vizuri ungekubuka Ronald wacha kua huna msimamo..
Hii nayo nikujidhalilisha bt anyway ni Mapenzi.
aki dunia inamambo how cames ilitoka kwako na kuenda kuolewa haraka hivo but i feel for dat guy mayb ako na shinda fulani that's y hawezi soma katimba but kaa ni mimi huyo mzee kwanxa akatae kurudiana na mimi namuperekea huyo mtoi wake walee na huyo mwanamke period
Machangu
Aki ghost, imagine hua unacheka paka, mtu aeza ogopa wah, apo yunic ulikosea kuoleka, kwingine kama unampenda, usiwai oleka wewe, enda kwenu kaa kama mjinga, tafuta pesa ufanye biashara, ujiheshim na kueshim uyo mme wako, ipo sku itafika tu, atakkumbuka inaezekana,sku moja mkarudiana
Ghost yawa kicheko nayo siz wachana na ndoa ya mwengine ulijitoa mwenye the guy ni pole
Men should also understand women,mbona hao utaka tuwaelewe
At 1:25 made my day 😂😂😂😂😂
Huyo jamaa alifanya poa kuto rudia Huyo mwanamke
Lakini Eunice uko na vituko, unaezaje kuolewa na mtu si mwanaume kamili?? Kwani hamukudate kwanza?? Mi lazima nikague kwanza, siezi enda kabla nijue
Roseline Awinja wewe kwa kweli ni malaya duh 🙄
@@aishaelias3867 hii matusi Ni ya Nini??? Nikisema watu waonjane kabla waoane unanitusi??? Kila mwanamke aliye na Kuma ni Malaya, alafu tusizoeane tafadhali
@@roselineawinja6604 I support u,watu wajuane kabla waoane...Test the car before buying it
@@abdonmwangi4420 Imagine mi nimesema watu waonjane kwanza kabla waoane, na nongwe ingine inaniletea hapa nyege ya kuku, ngoja ajibu.nini huwa inafanya mwanamke anaenda kuolewa ka sio mboro?
Vitu zimedinywa hadi nunu zinawhistle na ndo zinajifanya hapa virgin, hizo matusi ameanza nazijua saaana
Jamani nipeni number za gidi na ghost please
0746608770
@@muhammade1385 hpe ni real pls not ajok
@@chainbre275 yea sure
@@muhammade1385 OK thnx
Wanaume msome katiba
Hahaha
Wololo mayooo eeh yawa
Acha nikue tu single. dry spel sio shida.kufwata mwanaume n upuuzi tu
Uongo mbaya
Kuma itawaka moto...... 😜😜
Eunice mtaka yote hukosa yote..sasa una regret after kujitoa kwa boma yako
Kabisa
Ghost yawa🤣🤣🤣🤣🤣
kula jeuri yako ww ndoa sio si mchezo wa tikri kuruka slipas urejee ushinde enda kbisa
Eunice amemiss Katiba ya x
Vijana tuache miadarati
Single mwenye Ana hardcock anitafute hapa tujuane
Haiya Mimi sina
@@johnsonmwaura131 💪?
Makubwa!! ndoa ndoano
Nashanga that lady is disparate.
Dada move on Eunice usijali
Shameful Eunice,mtaka yote hukosa vyote.
Ghost yawa kicheko yako hubaba xana
Una ruka kama grasshopper!
Hahahah Oohh my God No Love
na hii tabia tulitoa wapi ya kusema number😂😂😂😂
Hehehe that's a very good question 😉
@@johnsonmwaura131 💃💃💃💃💃😁😁😁😁😁😁
@@moreenmbatha1147 hehehe I will give you the answer soon 😂😂😂😂
@@johnsonmwaura131 waiting😁
@@moreenmbatha1147 hehehe sawa call me if I forget